Je,kujamiana huondoa msongo wa mawazo kwa wanawake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je,kujamiana huondoa msongo wa mawazo kwa wanawake?

Discussion in 'JF Doctor' started by MziziMkavu, Sep 7, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280  [​IMG]

  Utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha State University cha Jijini New York nchini Marekani umesema ya kwamba manii ni nzuri kwa wanawake kwani huwaondolea msongo wa mawazo.Pia watafiti hao wamesema wanawake wanaofanya tendo la ndoa mara kwa mara bila kutumia kinga (mapenzi salama) wanakuwa na kiwango idogo cha msongo wa mawazo na hufanya vizuri katika vipimo vya akili.


  Hali hii wamesema inatokana na manii kuwa na kemikali ambazo humfanya mtu kuwa vizuri kihisia, huongeza upendo/unyenyekevu, huchochea mtu kupata usingizi na huwa na angalau aina tatu za kemikali za kuondoa msongo wa mawazo (anti-depressants).


  Utafiti huo uliofanywa kwa kuwahoji wanawake 293 kwa kufuatilia maisha yao ya kujamiana dhidhi ya afya za akili zao (mental health).Manii huwa na mchanganyiko wa kemikali aina ya cortisol ambayo huongeza upendo, kemikali aina ya esterone na oxytocin ambazo zote humfanya mtu kuwa vizuri kihisia (elevates mood).


  Pia huwa na homoni aina za thyrotropin releasing hormone ambayo huondoa msongo wa mawazo, melatonin ambayo huchochea usingizi na serotonin homoni inayoondoa msongo wa mawazo.


  Kutokana kuwepo kwa mchanganyiko wa kemikali na homoni hizo kwenye manii, watafiti Gallup na Burch pamoja na mtaalamu wa saikolojia Steven Platek wamesema ya kwamba wanawake ambao hujamiana na wanaume bila kinga yoyote (mapenzi salama) wana asilimia ndogo ya msongo wa mawazo tofauti na wale wasiojamiana.


  Matokeo muhimu ya utafiti huu ambao umechapishwa katika jarida la Archives of Sexual Behavior ni kwamba hata baada ya baadhi ya watafitiwa kuongeza kiwango chao cha kujamiana, wale ambao walikuwa hawatumii kinga yoyote walikuwa na kiwango kidogo cha msongo wa mawazo tofauti

  na wale ambao walikuwa wakitumia kinga kama kondomu wakati wa kujamiana.Pia wanawake hawa ambao hawakutumia kinga walikuwa na kiwango kidogo cha msongo wa mawazo tofauti na wale ambao hawakushiriki tendo la ndoa kabisa.


  Hata wale wanawake ambao ni wasagaji na wana wapenzi wengi pia wameonekana kuwa na kiwango kikubwa cha msongo wa mawazo kama wale wanawake ambao hawakushiriki tendo la ndoa kabisa.


  Watafiti hao wamesema sio tu kujamiana huongeza furaha kwa mwanamke na hivyo kumuondolea msongo wa mawazo bali kiwango cha furaha pia huendana na wingi wa manii katika mili yao.


  Utafiti huu usiwe chanzo cha watu kufanya mapenzi bila kinga bali uwe chanzo cha ufanya mapenzi salama na mwenza unayemuamini.Pia tunakemea na kupinga wale wote wanaofanya vitendo vya usagaji kwani ni hatari kwa afya zao kwani ni chanzo kimojawapo cha magonjwa ya akili.Tutakuletea makala ya uhusiano kati ya usagaji na ugonjwa wa akili.

  [​IMG]


  Hii ni kweli kabisa.
  Je,Kujamiana Huondoa Msongo wa Mawazo kwa Wanawake?

   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,811
  Likes Received: 83,208
  Trophy Points: 280
  1. Keeps our skin young and healthy. Sex increases blood circulation, which helps pump oxygen to our skin resulting in a brighter appearance-which explains that after-sex glow. Regular sexual engagement has prolonged effects in this regard and can actually make us look younger. Sex boosts our natural collagen production, which staves off age spots and sagging. So simply put, more wrinkles in the bed = fewer wrinkles on your face!

  2. Boosts immunity. You know the old saying, "An apple a day keeps the doctor away"? Turns out there was a typo in that medical journal. It should have said, "Having sex once or twice a week increases levels of an antibody called immunoglobin A (that's the stuff that fights off colds and other infections), which really keeps the doctor away!" Deduction: more sex means a stronger immune system. And with all of those unused sick days, we can cash them out and use them as sex days. Now we're talking!

  3. Gives us great hair. Hormones not only control our sex drives, but also the condition of our hair. Research has shown that a satisfying sex life results in healthy, lush hair due to the body's increased ability to receive and metabolize nutrients efficiently. Proof positive that Angelina Jolie and Catherina Zeta-Jones have healthy sex lives!

  JUST DO IT!
   
 3. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 420,234
  Trophy Points: 280
  MziziMkavu seems our women are beneficiary of everything we dish out to them............ule msemo wa "Umdhaniye ndiye kumbe siye" ndipo mahala pake hapa.......kumbe siye ni teja tu....but the question most men ought to be asking themselves............what do we get in return after all the hassles comes to..... an anticlimactic end...............men lose women gain..............are they really not laughing at our backs..........thereafter?
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,516
  Likes Received: 19,940
  Trophy Points: 280
  mashoga nao vile vile?
   
 5. unknown animal

  unknown animal JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  it is disgrace to see people are still in random thoughts
   
Loading...