Kung'oa jino: Dos and Donts

S

silent lion

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Messages
610
Points
250
S

silent lion

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2012
610 250
wadau mm nna miaka 30. leo kwa mara ya kwanza nimetolewa jino moja, lilikua lishaoza.

hili jino lilikua linaniuma muda mrefu nyuma. Lakini kwa ujinga wangu nikawa napuuzia kwenda kwa dentist. nlikua likiniuma nalisugua kwa nguvu kwa mswaki. Kumbe nilikua nafanya kosa kubwa.

Leo kwenda kwa Doctor kalitolea mbalini without further notice. Sasa kwanza naomba kuwanasihi ndugu zangu tusidharau mambo kama haya. Inatakiwa tuhudhurie klinik ya meno kila baada ya miezi sita. Jambo la pili naomba wanaofahamu wanipe dos and donts za mtu aliyeng'oa jino. Nawasilisha kwa heshima.
 
M

mzurisana

Senior Member
Joined
Jun 23, 2011
Messages
133
Points
0
M

mzurisana

Senior Member
Joined Jun 23, 2011
133 0
unataka ushauri wa kuponyesha kidonda cha pengo? kwanza ucpende kusukutua sukutua sn au kwa nguvu, na ikitokea umesukutua bac sukutua na maji ya baridi na chumvi kdg, na kingne i hope ushapewa antbiotics tyr,
au ushauri wa aina gan unaulizia? km ni kabla ya kwenda kung'oa au cku ya kung'oa bac kwanza kula kbs chakula ushibe maana baada ya kung'oa hutakuwa na hamu ya kula ht km njaa ipo, kingine nenda na leso kbs maana mdomo unakuwa mzito sn , huo ndo uzoefu wangu nishang'oa meno zaidi ya kumi na bado mengne yashaoza hayatamaniki cjui nifanyaje na mswaki naswaki mara mbili kwa cku
 
S

silent lion

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Messages
610
Points
250
S

silent lion

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2012
610 250
Ahsante nlikua nataka ushauri baada ya kungoa na kuponyesha kidonda cha pengo
 
S

silent lion

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Messages
610
Points
250
S

silent lion

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2012
610 250
unataka ushauri wa kuponyesha kidonda cha pengo? kwanza ucpende kusukutua sukutua sn au kwa nguvu, na ikitokea umesukutua bac sukutua na maji ya baridi na chumvi kdg, na kingne i hope ushapewa antbiotics tyr,
au ushauri wa aina gan unaulizia? km ni kabla ya kwenda kung'oa au cku ya kung'oa bac kwanza kula kbs chakula ushibe maana baada ya kung'oa hutakuwa na hamu ya kula ht km njaa ipo, kingine nenda na leso kbs maana mdomo unakuwa mzito sn , huo ndo uzoefu wangu nishang'oa meno zaidi ya kumi na bado mengne yashaoza hayatamaniki cjui nifanyaje na mswaki naswaki mara mbili kwa cku
jee naweza kula baada ya muda gani tokea kung'oa jino?
 
M

mzurisana

Senior Member
Joined
Jun 23, 2011
Messages
133
Points
0
M

mzurisana

Senior Member
Joined Jun 23, 2011
133 0
unaruhusiwa muda wowote tuu as maumivu yakipungua sema kuwa makini huo upande uliong'oa usitumie kutafunia, by the way me sio dokta najibu tuu kutokana na uzoefu wangu wa kung'oa meno mengi
 
Kwetunikwetu

Kwetunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2007
Messages
1,542
Points
1,225
Kwetunikwetu

Kwetunikwetu

JF-Expert Member
Joined Dec 23, 2007
1,542 1,225
wadau mm nna miaka 30. leo kwa mara ya kwanza nimetolewa jino moja, lilikua lishaoza.

hili jino lilikua linaniuma muda mrefu nyuma. Lakini kwa ujinga wangu nikawa napuuzia kwenda kwa dentist. nlikua likiniuma nalisugua kwa nguvu kwa mswaki. Kumbe nilikua nafanya kosa kubwa.

Leo kwenda kwa Doctor kalitolea mbalini without further notice. Sasa kwanza naomba kuwanasihi ndugu zangu tusidharau mambo kama haya. Inatakiwa tuhudhurie klinik ya meno kila baada ya miezi sita. Jambo la pili naomba wanaofahamu wanipe dos and donts za mtu aliyeng'oa jino. Nawasilisha kwa heshima.
Hapo kwenye red.....umeng'olewa sio kutolewa
 
Zamaulid

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
17,254
Points
2,000
Zamaulid

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
17,254 2,000
dont!!!hakikisha hufanyi mapenzi hadi kidonda kitakapo pona kabisa!!
 
Zamaulid

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
17,254
Points
2,000
Zamaulid

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
17,254 2,000
loh hili tatizo. Wastani kidonda hupona baada ya muda gani?
usijali ndani ya wiki moja,wiki ya pili una endelea na maisha ya ndoa!!!!!ha ha ha ha!!kumbuka kuna maambuzo mengine hupitia kinywani hivyo hakikisha kidonda kimepona kabisaaaaaaa!!
 
Forum statistics

Threads 1,284,758
Members 494,236
Posts 30,838,875
Top