Kituo cha Afya Mtae kilichopo Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga kinalipisha huduma ya opereshen kwa wamama wajawazito Tsh 78,000 kwa kila anayejifungua kwa operesheni na hatulipi kwa Control Number...
Waziri wa Afya, Mchengerwa tunaomba fuatilia kwa ukaribu Hospitali ya Ngamiani - Tanga kuna uzembe flani wa wauguzi, tarehe 24/6/2026 kuna mgonjwa alikutwa amefia chooni bila ya wauguzi kujua...
Zahanati ya Kata ya Itundu, Wilaya ya Urambo katika Mkoa wa Tabora, Mganga Mfawidhi anakuja kazini anapojisikia ni kama Mganga Mkuu wa Wilaya ameshindwa cha kufanya.
Kwa wiki anaweza kuna mara...
Kuanzia asubuhi ya leo Juni 30, 2026, Wananchi wengi tumekwama kupata huduma ya kununua dawa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) kufuatia mkwamo wa kimfumo uliosababisha hitilafu katika...
Nipo hapa Hospitali ya Taifa Muhimbili ya Upanga Kitengo cha Mifupa (MOI) nina mgonjwa ambaye tayari anaingia wiki ya pili tangu alazwe. Changamoto kubwa ni kuwa mgonjwa ana tatizo la mshipa...
Kama kinavyoonekana hiki ndicho Kituo cha Afya Nyangoto, kinapatikana Mkoa wa Mara, Wilaya ya Tarime Vijijini, Kata ya Matongo (eneo kwa ujumla linafahamika kama Nyamongo).
Changamoto yake
Ni...
Habari,
Ninaomba kuwasilisha kero kuhusu mfumo wa uongozi ndani ya Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC).
Kwa muda mrefu sasa, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wauguzi wengi kuhusu...
Nipo katika Mwananyamala Hospital na nakutana na changamoto kubwa ya upungufu wa madaktari. Wagonjwa ni wengi sana na foleni ni ndefu kiasi kwamba watu wanazidiwa hadi kwenye mabenchi ya kusubiri...
Nina mgonjwa wangu ambaye amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sekou-Toure (Mwanza), moja ya changamoto ambayo nimeishuhudia hapa ni kwamba kuna tatizo kubwa sana la umeme kukatika mara kwa...
Habarini za mchana,
Wakuu mimi huwa situmii pombe, ni juice na soda tu na soda yangu pendwa ni Pepsi.
Kila siku huwa nakunywa Pepsi tena napenda ikiwa baridi sana. Nilianza kunywa moja kwa siku...
Watoa huduma za afya nchini Tanzania wamepewa nyongeza ya mwezi mmoja kukamilisha usajili wa lazima wa kitaaluma, kufuatia malalamiko mengi kuhusu changamoto za kiufundi katika mfumo wa mtandaoni...
Kituo cha Afya cha Bunju kimekuwa kikitoa huduma zisizoridhisha kwa wananchi, hasa katika upande wa kliniki za wajawazito. Mbali na utaratibu kuwa mbovu, pia kuna kutoza gharama kubwa...
Habari wakuu,
Kumekuwa na mtindo mpya wa kuchoma chapati nyingi kwa wakati mmoja kwenye 'maframpeni' makubwa sehemu za migahawa mikubwa ili kuweza kukidhi huduma kwa wateja kwa haraka.
Lakini...
Tunaomba msaada , hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tabora haaina huduma ya VIFUNGASHIO kwa ajili ya kubebea dawa, mgonjwa akipewa dawa analazimika kubeba mikononi au kwenye mabox kitu ambacho...
Kuna tabia imeibuka au yawezekana ipo kwa muda mrefu, nasema hivyo kwa kuwa sikuwahi kuelewa kuhusu hilo siku za nyuma lakini baada ya hili nitakalozungumza hapa kutokea nikishuhudia, nimepata...
Mfamasia Neema J. Nagu kutoka Wizara ya Afya anasema kuna dawa za aina mbili zinazouzwa kwenye Duka la Dawa, zipo ambazo hazitolewi bila cheti kama Panadol na zile za mafua na nyinginezo.
Anasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.