International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rais Volodymyr Zelenskyy ametoa amri za kuwafuta kazi, Mkuu wa Idara ya Usalama Ivan Bakanov, na Mwendesha Mashtaka Mkuu, Iryna Venediktova na kumteua Naibu wake Oleksiy Symonenko kama Mwendesha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Qatar, Sheikh Khalid bin Khalifa bin Abdulaziz Al Thani, amesema watu waliopata Chanjo dhidi ya COVID19 pekee ndio wataruhusiwa kushuhudia Kombe la Dunia mwaka 2022. Taifa hilo...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
New Zealand Medical Professionals Demand Police Investigation Into Unusually High Number of Covid Jab Deaths Prime Minister Jacinda Ahern on the firing line for making deadly shots mandatory...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Ndege ya abiria ya Shirika la Ndege la Jubba imeanguka wakati ikitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Aden Adde Jijini Mogadishu Nchini Somalia huku chanzo cha ajali hiyo kikiwa bado hakiajulikana...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Hungary, nchi mwanachama wa Umoja wa Ulaya (EU), amesema kuwa Umoja wa Ulaya umejipiga risasi kwenye mapafu yake kwa kuweka vikwazo dhidi ya Urusi pasi na upembuzi yakinifu, vikwazo...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Ulaya (EU) yazitaka chi zenye hifadhi ya gesi ya Urusi zitumie na nchi nyinginezo za EU ili kupunguza makali ya uhaba unaoendelea kuzitafuna nchi za EU zilizokaidi kulipia gesi ktk sarafu ya...
11 Reactions
41 Replies
4K Views
Explosions for two hours after plane carrying 12 tonnes of weapons crashes Drone footage captures how the cargo plane crash landed in the fields (Picture: Reuters) A cargo plane carrying 11.5...
9 Reactions
43 Replies
5K Views
Idara ya ujasusi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imemzuilia mwanahabari wa Marekani Stavros Nicolas Niarchos baada ya kudaiwa kukaribia makundi yenye silaha Kusini Mashariki mwa nchi...
0 Reactions
1 Replies
979 Views
Russia comments on deadly strike on Ukrainian city Moscow said it targeted a meeting of Kiev's military commanders with foreign arms suppliers in central Vinnitsa. Russia attacked the House of...
30 Reactions
64 Replies
7K Views
China imefanikiwa kurusha satelaiti mbili za Siwei 03/04 kwa kutumia roketi ya Long March 2C kutoka kwenye kituo cha kurushia satelaiti cha Taiyuan. Satelaiti zote mbili zimeingia kwenye obiti...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Hungary ni nchi ya ulaya ambayo ilikubali mapema kabisa kulipia gesi ya urusi kwa ruble, na ni nchi pekee kwenye umoja wa ulaya iliyokataa kuiwekea vikwazo binafsi urusi na pia ilikataa kuisaidia...
10 Reactions
27 Replies
3K Views
Idadi ya watu waliofariki kutokana na ghasia za Kikabila katika Jimbo la Blue Nile Nchini Sudan imefikia watu 65 na wengine 150 wakijeruhiwa tangu kulipozuka machafuko wiki iliyopita. Waziri wa...
0 Reactions
4 Replies
778 Views
Mwezi Januari, 2008 Mji wa Guizhou ulipokumbwa na maafa ya mvua, theluji na barafu, Xi Jinping alipokuwa mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya Siasa ya Kamati Kuu ya Chama na Katibu wa Ofisi ya...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Xi Jinping, Mwaka 1989 alipokuwa Katibu wa Kamati ya Chama ya Eneo la Ningde la Mkoa wa Fujian alishiriki kazi kijijini. “Maneno matupu yanaleta madhara kwa taifa, juhudi halisi zinastawisha...
1 Reactions
5 Replies
934 Views
Rais Xi Jinping wa China Xi Jinping alipokuwa na umri wa miaka 59 aliteuliwa kuwa Katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China kwenye Mkutano wa Kwanza wa Wajumbe Wote wa Kamati...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Sudan imefungua tena mpaka wake muhimu na Ethiopia wa Gallabat ambao ulifungwa Juni 27, baada ya kuishutumu Ethiopia kwa kuwanyonga wanajeshi wake saba. Taarifa ya kamati ya kiufundi ya Baraza la...
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Serikali ya Iran imetoa orodha ya Watu 61 wa Marekani kuwa hawaruhusiwi kuingia Iran kutokana na madai ya kuunga mkono kikundi cha ugaidi Mojahedin-e Khalq (MEK) ambacho kinashutumiwa kwa kufanya...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Salama wandugu, Ikumbukwe Kwanza kwa Nini Dola ya marekani ina nguvu katika biashara ya kimataifa, Katika ajenda za muasisi wa Taifa la marekani George Washington ya Kwanza ilikuwa kuifanya Dola...
17 Reactions
24 Replies
3K Views
Ghana imethibitisha visa viwili vya Virusi vya #Marburg, ugonjwa wa kuambukiza ulio katika familia moja na Virusi vinavyosababisha #Ebola huku wagonjwa wote wawili wakiripotiwa kufariki Kusini mwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…