International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Baada ya uvumi uliokuwa ukiendelea wengi wakihoji ukimya na kutokuonekana kwa Mojtaba Khamenei aliyechaguliwa kuwa Kiongozi Mkuu mpya wa Iran baada ya kifo cha Baba yake Ayatollah Ali Khamenei...
2 Reactions
1 Replies
311 Views
Ukimsikiliza rais wa Marekani Donald Trump kwa makini na bila upendeleo, unagundua ni mtu mwenye changamoto ya akili. Ni muotaji ndoto wa mchana, muongo, mjinga, na mpumbavu. Anaongopa hata bila...
13 Reactions
42 Replies
933 Views
Rais wa Madagascar, Michael Randrianirina, ambaye alichukua madaraka kufuatia maandamano ya Oktoba 2025, amemfuta kazi Waziri Mkuu na kuvunja baraza lote la mawaziri siku ya Jumatatu Machi 9...
1 Reactions
3 Replies
276 Views
Wizara inalalamika, Mazayuni hawapati muda wa kuliona jua, kila muda Mazayuni wanakimbilia kwenye mahandaki. Hezbollah hawawatendei haki Waisrael...
9 Reactions
11 Replies
350 Views
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amelishukuru Baraza la Wataalamu kwa kumchagua mrithi wa Ali Khamenei licha ya "tishio la Trump la kulishambulia kwa mabomu", kwa mujibu wa...
10 Reactions
101 Replies
2K Views
Jamaa wamegoma watu wasirekodi kwa kipigo wanachoshushiwa Imebidi waweke amri ya kuwapiga watu risasi ukionekana ukirekodi Waliokufa sio mamia tu ni maelfu Kuanzia wanajeshi hadi raia The bad...
22 Reactions
91 Replies
2K Views
Hali ni mbaya mno huko Israel, Iran anazidi kuipasua hilo taifa vipande vipande.. Jamaa wanashusha kipigo kama kile cha Sodoma na Gomora Jana wamerusha kombora hatari la kohramshahr 4 lenye...
13 Reactions
97 Replies
2K Views
Kupitia taarifa iliyotolewa na Wizara ya Tawala za Mikoa, ilieleza kuwa vyama hivyo vimeshindwa kutimiza wajibu wao wa kisheria, na kuamuru kusitishwa kwa shughuli za vyama hivyo pamoja na...
1 Reactions
8 Replies
278 Views
China imesema inapinga hatua yoyote ya kumlenga kiongozi mpya wa juu wa Iran, Mojtaba Khamenei, kufuatia vitisho vilivyotolewa na jeshi la Israel dhidi ya mrithi huyo wa baba yake aliyeuawa, Ali...
1 Reactions
10 Replies
494 Views
Kamanda Mkuu Wa Jeshi🇮🇱. "Tumeangamiza asilimia 60% ya makombora ya Iran tunaingia kwenye hatua nyingine ya mashambulizi ya kushangaza"
1 Reactions
10 Replies
328 Views
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Iran (IRGC) limetangaza kufunga mfereji maarufu wa Harmuz (Strait of Hormuz) ambao ni maalum kwa kupitisha meli za mafuta kwa meli zinazotoka Marekani, Israel na...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Jeshi la Israeli lime toa tishio jipya dhidi ya viongozi wa Iran, likisema litawafuatilia wote watakaofuata Khamenei, ambaye aliuawa katika mashambulizi ya Marekani-Israeli mnamo Februari 28...
3 Reactions
5 Replies
213 Views
Jamaa wameanza kutumia makombora mapya na yenye kasi aina ya Hypesonic [emoji599] BREAKING: Iranian President Masoud Pezeshkian: We have entered a new phase of the war. Tehran has finished its...
6 Reactions
19 Replies
720 Views
Jamaa alikuwa anaelekea Airport kukimbia ili arudi Telaviv Mimi binafsi siwezi visasi na wairan wana visasi kinoma Jamaa kalipuliwa vibaya mnoo mkono wa Iran unafika popote 🚨 BREAKING...
3 Reactions
6 Replies
358 Views
Simu moja toka ikulu ya dodom...aa,, hello captain natumai ni mzima// Habari za mashariki nadhani unaziona,, Ziko tofauti usifaninishe na Goma// Ripoti kikosi cha anga kile cha kigoma,, Usiage mtu...
1 Reactions
8 Replies
440 Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema hajafurahishwa na taarifa kwamba Mojtaba Khamenei amepewa nafasi ya kuwa Kiongozi Mkuu mpya wa Iran baada ya kifo cha Ayatollah Ali Khamenei. Trump...
6 Reactions
16 Replies
663 Views
Kwenye vita inayoendelea kati ya Israel na Iran, Kuna mambo yananishangaza Sana, lakini hili moja limezidi mengine. Kila Israel ikishambuliwa zinaonekana juhudi za kuficha madhara yanayotokana na...
11 Reactions
20 Replies
640 Views
Kwanza nianze kwakusema hakuna anayefurahia mauaji yanayotokea kwa raia wasio na hatia pande zote mbili Iran na Israel,kwakuwa wao ni victim tu au wahanga tu Twende kazi..... Mzee wa hovyo Trump...
13 Reactions
66 Replies
1K Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, ameashiria kuwa serikali yake bado inalenga kuiondoa madarakani serikali ya Cuba, licha ya vita vinavyoendelea kati ya Israel na Marekani dhidi ya Iran kuingia wiki...
2 Reactions
11 Replies
472 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…