International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ripoti zinasema kuwa FBI imetoa tahadhari kwa vyombo vya usalama katika jimbo la California kwamba Iran inaweza kufanya shambulio la kulipiza kisasi dhidi ya Marekani. Inaelezwa kuwa shambulio...
3 Reactions
10 Replies
513 Views
Niaje waungwa Hii habari ingeandikwa na Al Jazeera misukule ya Netanyahu ingesema ni uongo, lkn kwa bahati nzuri imeandikwa na gazeti lao wenyewe kupitia kauli halali ya raisi wa Ukraine Mr...
6 Reactions
44 Replies
684 Views
Baada ya Hezbollah kuamua kuingia kichwa-kichwa ku zaidi a Bwana wake Iran tutarajie muda si mrefu wataanza kutoa milio isiyoeleweka. Israel imetuma Kikosi cha vifaru kupambana na magaidi hao...
1 Reactions
2 Replies
182 Views
Katika Hesabu 34:1-15, Mungu anampa Musa maelekezo mahususi kuhusu mipaka ya Nchi ya Ahadi (Kanaani) ambayo Waisraeli walipaswa kuimiliki. Mipaka hiyo imegawanywa katika pande nne kuu: Kusini...
7 Reactions
105 Replies
1K Views
Rais mwendawazimu wa US anasema kupanda kwa bei ya mafuta duniani ni faida kubwa kwa US kwa sababu wao ni wazalishaji wakubwa zaidi duniani. ============== IRAN WILL BE STOPPED! The United States...
6 Reactions
18 Replies
482 Views
Mama wa Taifa la Iran ni mzima kabisa Hayo yamethibitishwa na vyombo vya habari ya Iran At the Same media za Iran zimechapisha video ya kutengebeza inayosema "Khamenei is back" BREAKING: Wife...
1 Reactions
5 Replies
204 Views
Dear Pastors, Please remember that the married women in your congregation are also wives and mothers before they are workers in the church. When a married woman spends long hours in church service...
1 Reactions
5 Replies
191 Views
Inasemekana Trump ameweka msisitizo kwa viongozi aliowateua kuvaa aina ya vitu anayoipendelea zaidi vya brand ya Florsheim. Inasemekana viongozi wengine hadi anawanunulia hivyo viatu anawatumia...
0 Reactions
0 Replies
140 Views
Russia kimya kimya anatengeneza mtonyo wa maana kwenye kipindi hiki mgogoro kati ya Us/Iran umechachamaa. Kremlin inaingiza angalau kiasi cha dola za kimarekani 150 kila siku kutokana na mauzo ya...
4 Reactions
3 Replies
260 Views
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ametangaza kuwa Ufaransa itapeleka meli nane za kivita, manowari ya kubeba ndege za kivita, na meli mbili za kubeba helikopta katika maeneo ya Bahari ya...
3 Reactions
18 Replies
565 Views
MAOMBI YA USIKU MAOMBI YA KUOMBA AMANI NA UTULIVU KATIKA [TAJA HIZO NCHI]LI KUSIWEKO NA MAGOMVI. KWENYE FAMILIA TAJA HIZO NCHI MUNGU AKUBARIKI NAIONA IKIISJA KWA.AMANI NA UTULIVU ---...
1 Reactions
1 Replies
134 Views
1. Nguruwe Netanyahu lazima akabidhiwe kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai. 2. Chombo cha Israeli lazima kiondoke Gaza na kusini mwa Lebanon hadi mipaka ya Oktoba 7, 2023 na kufuta mpango wa amani...
9 Reactions
55 Replies
1K Views
Spain removes ambassador from Israel in protest to Iran war, Gaza genocide Madrid recalls ambassador amid rising diplomatic tensions and criticism of US-Israeli actions in Iran. Serikali ya...
2 Reactions
4 Replies
293 Views
Wakuu, Kiongozi wa North Korea, Kim Jong Un, pamoja na binti yake walionekana wakifyatua risasi za bastola wakati wa ukaguzi katika kiwanda cha kutengeneza silaha ndogo, kulingana na picha...
5 Reactions
13 Replies
380 Views
Wakuu, Nikisema hawa watu sio wa kuwaamini na hata Tanzanian tunapaswa ku-rethink mahusiano yetu na wao huwa mnaona kama siwakubali hawa jamaa Haya sasa Nigeria limeshawakuta jambo...
1 Reactions
12 Replies
402 Views
Maafisa wa utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump wamekadiria katika kikao cha taarifa kwa wabunge wa Bunge la Marekani wiki hii kuwa siku sita za kwanza za vita dhidi ya Iran zimeigharimu...
0 Reactions
3 Replies
270 Views
"Donald Trump, THANK YOU!" "Benjamin Netanyahu, THANK YOU!" Huko Iran wananchi wamefungiwa majumbani lakini wanaendelea kushangilia, watawala wamepanik wanawafyatulia risasi
1 Reactions
14 Replies
403 Views
Vikosi vya Ukraine vimeshambulia kimoja kati ya "viwanda muhimu zaidi vya kijeshi" vya Urusi, kulingana na kauli ya Rais Volodymyr Zelensky. Jeshi la Ukraine lilisema kuwa makombora ya masafa...
0 Reactions
4 Replies
416 Views
Wakuu vipi, kwema. Wakuu Iran ni mmoja kati ya nchi ambazo ziliwekewa vikwazo vikali na nchi za magharibi toka mnamo mwa miaka ya 70s huko hadi leo hii na siku zijazo. Vikwazo hivyo ni vya...
73 Reactions
297 Replies
21K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…