IDF inasema iliharibu kituo cha anga cha Iran kilichofanya kazi katika 'kushambulia setilaiti'
IDF inasema ilishambulia na kuharibu kituo cha anga cha Iran huko Tehran ambacho kilitumiwa na...
Memorial actions for the 168 schoolgirls – the “Angels of Minab” killed by an American missile in Iran – are taking place around the world
Activists, civil society groups and children are placing...
🇺🇸 Rais Donald Trump kuhusu Iran:
"Naam, tutakuwa katika hali nzuri sana. Unaona kinachoendelea?
Wako karibu mwisho wa mstari. Haimaanishi kwamba tutamaliza mara moja, lakini wako.
Hawana Jeshi...
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Félix Tshisekedi alisaini amri yenye nguvu ya sheria siku ya Jumamosi kuanzisha mahakama maalum itakayoshughulikia makosa ya kiuchumi na kifedha kama vile...
Kipindi Irani inaongozwa na vibaraka wa Marekani ndio ilikuwa hivyo hapo Sasa ndio Marekani ilikuwa inajisikia raha maana walikuwa na nafasi ya kufanya biashara zao za
Pombe
Madawa ya kulevya...
Ayatollah Khamenei
Israel wao katika shughuli zao uwa wanadili na viongozi
Hezbollah walipukutika
Hamasi wakapukutika
Sasa Iran ile crew yote ya juu imesafishwa
Target yaweza kuwa khamenei...
Suala Iran linaonekana limeanza kuwa gumu kwa Marekani, Trump leo ametema Nyongo na kuzishutumu baadhi ya nchi kutokuwa na shauku za kuisaidia Marekani kutatua changamoto ya mfereji wa Hormuz...
Kwa sababu shambulio moja tu la droni kwenye kitu muhimu kama kituo cha kuondoa chumvi kwenye maji ya bahari (desalination plant) au bandari ya biashara linaweza kuleta madhara makubwa kuliko...
Iran imewakamata watu 500 wanaotuhumiwa kushirikiana na maadui kwa kutoa taarifa nyeti, mkuu wa polisi wa nchi hiyo Ahmadreza Radan alisema Jumapili, wakati ndege za kivita za Israel na Marekani...
Mahakama nchini Azerbaijan Jumatatu imemhukumu raia wa Ufaransa, Martin Ryan, kifungo cha miaka 10 jela baada ya kupatikana na hatia ya ujasusi kwa niaba ya Paris, tuhuma ambazo alikiri kwa...
Baada ya kuponea kwenye tundu la sindano kuuwawa hapo Feb 28,2026 Gaidi Ayatollah Majitaka Khamenei alijeruhiwa vibaya na Hali yake huko alikojificha Inasemekana ni mbaya sana.
Taarifa kutoka...
Serikali ya Urusi imesema hakutakuwa na mpango wowote wa kuwarudisha nyumbani Wakenya wanaodaiwa kuhudumu katika jeshi la Urusi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Musalia Mudavadi na Waziri mwenzake...
Jeshi la Marekani limethibitisha Ndege yake ya Kijeshi kuanguka nchini Iraq.
Ndege hiyo ya kijeshi ya KC-135 ilianguka baada ya ajali kati ya Ndege mbili.
KC-135 ni Ndege iliyotengenezwa na...
Irani ilikuwa imejipanga. Ilichora chini maghorofa na viwanda kama vya ukweli. Ikaweka na matoy kila sehemu. Marekani imeshambulia michoro na matoy. Ikamshambulia Khayatollah fake toy la kichina...
Kiongozi Mkuu wa Iran Mojtaba Khamenei huenda yuko katika hali ya kukosa fahamu, Marekani yasema ameharibika maumbile.
Kiongozi mpya wa Irani aliyeteuliwa, Mojtaba Khamenei, yuko katika hali ya...
Kumeanza kuchangamka
Umati mkubwa wa watu umefurika katika mitaa ya Tel Aviv, wakielekea kwenye majengo ya serikali katika maandamano makubwa yanayotikisa utawala. Kulingana na BRICS News, hali...
Wakati uchaguzi wa uraisi unaendelea jamhuri ya kongo mtandao wa NetBlocks umetangaza kukatika kwa intaneti karibu nchi nzima.
Kwa mujibu wa mkurugenzi wa NetBlocks, Alp Toker, kiwango cha...
Wakuu,
Rais wa South Korea, Lee Jae-myung, amesema serikali itaongeza juhudi za kuwatambua wanaharakati zaidi walioshiriki katika harakati za demokrasia za miaka ya 1960 na kuhakikisha wanapata...
Vikosi vya Marekani na Korea Kusini vikiwa katika matayarisho ya mazoezi ya pamoja ya kuvuka mto katika wilaya ya YeonCheon. Picha na Reuters.
Siku ya Jumamosi ilopita Korea Kaskazini ilitupa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.