International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

NA BRYAN OTIENO Kuna methali moja nchini Afrika Kusini, “Mto ukiwa na kina kirefu kuna chanzo cha maji”. Mazungumzo ya kirafiki kati ya China na Afrika yana historia ndefu. Katika miaka ya 1950...
0 Reactions
0 Replies
531 Views
Uchunguzi mpya uliofanywa na chuo kikuu cha Harvard cha Marekani umeonesha kuongezeka kwa kiwango cha raia wa China kuridhika na utendaji wa serikali ya nchi hiyo tangu mwanzoni mwa karne hii...
0 Reactions
1 Replies
600 Views
Rais Xi Jinping wa China leo amefanya ziara ya ukaguzi mkoani Anhui, katikati ya China, na kuanzia ziara hiyo katika mto Huai ambao unachukuliwa kama mpaka wa kijiografia kati ya sehemu za kusini...
8 Reactions
8 Replies
2K Views
Rais Xi Jinping wa China ametoa mwito wa kuweka msisitizo kwenye kuunda mtindo mpya wa maendeleo, ambapo soko la ndani na solo la nje yanahimizana, lakini soko la ndani kuwa njia kuu ya kuendeleza...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Miaka 40 baada ya kuanzishwa kama eneo maalum la kwanza la Ukanda wa Kiuchumi nchini China, Shenzhen imeibuka na kuwa alama ya mageuzi na ufunguaji mlango wa China. Mji huo umebadilika kutoka...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais wa Marekani, Joe Biden ameionya Urusi kuwa Nchi yake haitatishwa na itisho vya Rais wa Urusi, Vladimir Putin ambaye amtenganza kuendelea kuyashikilia maeneo kadhaa ya Ukraine na kutishia...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
MK254 , huyu kamanda wetu mpya Sergei Surovikin ni ukoma aisee... Leo jumanne pia kampelekea moto mkali Zelensky kama nyongeza ya kisasi juu ya vitendo vyake vya kigaidi vya kulipua daraja la...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
Tangu dunia iumbwe binadamu kiasili niwashindani (competitive nature) kuna ushindani mkubwa sana katika, utafiti, uzalishaji, ubunifu, utamaduni na vita. Kuna nchi duniani nimaarufu kwa uzalishaji...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Marekani ilikuwa inakasirika sana kuona nchi za ulaya magharibi zinapata gesi ya rahisi toka urusi, maana ilishindwa kupata soko la gesi yake ya LNG huko ulaya. Ilipiga vita bomba la gesi la pili...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Uingereza yasema kuwa leo giza totoro (kiza kinene) limetanda Ukraine kotee kufuatia makombora ya Urusi ya leo kuharibu miundombinu ya umeme. Zelensky asema Ukraine haitaweza tena kuuza umeme nje...
17 Reactions
38 Replies
4K Views
Afisa wa kiwanda cha nyuklia cha Zaporizhzhia alitekwa nyara, Ukraine inasema Naibu mkuu wa kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia kinachokaliwa na Urusi ametekwa nyara na kuzuiliwa na vikosi vya...
1 Reactions
0 Replies
725 Views
War is between two armies and their resources until one opponent is either killed, salender, exhausted or umatched. Hiting civilians houses, nursery schools, hospitals, electricity and...
2 Reactions
8 Replies
770 Views
Watu wengi wanashangaa kwanini U.S anamwaga mpunga Ukraine katika nyakati ngumu za recession nchini kwake. Kama mtakuwa na kumbukumbu mtakumbuka Donald Trump alikuwa impeached kwa kutishia...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakazi wa Kijiji cha Maharashtra wamedai wamejitangazia uhuru kutoka katika Dunia ya digitali baada ya kuchukua hatua hiyo ili kuwawezesha wananchi kupata muda wa kuzungumza. Uamuzi huo umefikiwa...
0 Reactions
3 Replies
901 Views
taking advantage of EU energy crisis – Paris Washington is selling gas to the EU for four times what it charges at home, the French finance minister says US taking advantage of EU energy crisis –...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Mnamo tarehe 8 Oktoba 2022, kila mtu Duniani aliamka na habari ya mlipuko katika daraja la Kerch, ambalo linaunganisha nchi ya Urusi na Peninsula ya Crimea. Mlipuko huo ulisababisha njia moja ya...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Rais Putin amesema kuwa Ukraine imehusika kwenye shambulizi la kigaidi la daraja la Crimea. Shambulio hilo lilisaidiwa na baadhi ya raia wa Urusi na raia wa nchi nyinginezo. Shirika la kijasusi la...
10 Reactions
91 Replies
6K Views
Marekani yalalamika kuwa Sergei Surovikin, kamanda mpya anayeongoza mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine, ndiye aliyesuka na kutembeza jana kipigo kitakatifu kisicho na chembe ya huruma koote...
10 Reactions
42 Replies
4K Views
Wanajeshi wa Urusi walifanya shambulizi kubwa la roketi katika miji yote ya Ukraine Jumatatu asubuhi. Kwa mara ya kwanza baada ya muda mrefu, shambulizi lilifanywa katikati mwa Kyiv. Milipuko...
2 Reactions
58 Replies
3K Views
Zelensky asema majeshi ya Urusi yamenyesheleza mvua za makombora Ukraine kote. Kyiv imepigwa kibiriti...mtaa wenye ofisi kuu za shirika la kijasusi la Ukraine pia umepelekewa moto mkali wa mvua...
19 Reactions
138 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…