Katikati ya vita vya Urusi na Ukraine kulikuwa na uchaguzi huko Ufaransa. Mpinzani wa rais Macron alikuwa na sera ya kuitoa ufaransa nato na eu lakini wafaransa wakamkataa kwenye box la kura...
Ulaya inaendelea kushuhudia maandamano ya kupinga Urusi kuwekewa vikwazo hasa sekta ya nishati.
--
Tens of thousands of people have protested in Paris against the high cost of living and for a...
Vikosi vya Urusi vimeanzisha mashambulizi mapya katika eneo la Kyiv kwa kutumia ndege zisizo na rubani za Kamikaze zilizotengenezwa na Iran, maafisa wa Ukraine wamesema.
Vifaa muhimu vya...
BREAKING NEWS: ndege ya jeshi la urusi imeanguka kwenye jengo la ghorofa huko Yeysk, urusi na kusababisha mlipuko mkubwa.
Moto mkubwa uliosababishwa na kuanguka kwa ndege ya kivita ya urusi...
Uamuzi huo umechukuliwa ili kudhibiti idadi ya wageni pamoja na wale wanaotarajiwa kuwasili kwaajili ya kushuhudia Kombe la Dunia linaloanza Novemba 20.
Mkuu wa Idara ya Vibali vya Ukaazi, Saad...
Mataifa ya NATO yaanza mafunzo na maandalizi ya jinsi watacheza iwapo vita vya nyuklia vitaibuka.....
The 30-nation alliance has stressed that the "routine, recurring training activity", which...
Somalia iliwasilisha ombi la kuwa mwanachama wa Afrika Mashariki katika kikao cha wakuu wa nchi walipokaa kumuidhinisha Congo D.R kuwa mwanachama kamili wa Jumuiya hiyo.
Stay tuned.
Ukraine wasiingie huu mkenge, vita vilianzia Crimea inapaswa viishie Crimea.
Mrusi kwa sasa ameachwa bila kete, amejaribisha mabomu yake yakapanguliwa, akabaki kupiga maeneo ya raia, madubwana...
Picha:Jumatatu ya majonzi mji wa Kiev unatanda moshi tu Urusi kweli kapania jiji limepigwa kiberiti
Mosi, leo kituo cha train mjini kiev kilshambuliwa kwa drones za kamikaze
Anga ya jiji la kiev...
Ukraine leo amenyukwa balaa kila mahali Russia anapiga
Tayari nchi nyingi zimeanza kuwaondoa watu wake na mabalozi washaanza kufunga virago
Wingu la vita lazidi kuwa nyeusi nchini Ukraine mara...
Russia itakuwa hoi bin taabani baada ya miaka 3 wakiwa kwenye hii vita . ACHANA na vita vya kuwekewa vikwazo vya uchumi. Kwa watu wanafikiria na ubongo watanielewa.
Wanaofahamu maana ya SMO watashangaa sana ,huu uvamizi kuitwa SMO, kwanza SMO lazima ifanywe na special force(SF).
Kwa putin tumeshuhudia kikosi ambacho kiukweli ni jeshi lisilo na mafunzo...
Iran ni adui mkuu wa Israel kwa sasa. Na Israel inekuwa ikuhujumu mikakati ya kisiraha hatarishi ya Iran miaka yote.
Ikumbukwe Moja ya sababu kushindwa kutoa mifumo ya Ulinzi Kwa Ukraine, Israel...
Mrusi ameshindwa frontline hadi ameamua kushambulia maeneo ya bustani yenye bembea za watoto, alishambulia kwa mabomu 75, ila 41 yalipanguliwa maana yalielekezwa kwenye miundo mbinu ya kijeshi...
Biden is busy funding American proxy war with Russia while his citizens lives on dropouts and sleeping rough. I wonder if organizations for human right are seeing this level of poverty or It's...
Rais wa Iran, Ebrahim Raisi ametoa shutuma hizo na kudai kuwa Rais wa Marekani, Joe Biden anahamasisha machafuko baada ya kifo cha Mahsa Amini, mwamnamke ambaye inadaiwa alikufa katika mikono ya...
Nchi za Opec Plus zimekubaliana kupunguza uzalishaji wa mafuta kwa sababu za kiuchumi. Lakini marekani yakurupuka na kusema Saudia amefanya njama na Urusi ili kupitisha azimio hilo.
Matokeo yake...
kuna msemo kuwa muda ni mwalimu mkuu. Kila jambo wewe lipe muda ukweli utajulikana tu.
Makandokando ya chanzo za covid yaanza kujitokeza. Mkurugenzi wa Kampuni ya Pfizer akihojiwa na kamati ya...
Mwenye ufaham kuhusu siasa za DRC Naomba anifafanulie, kuhusu hawa Marais wawili Hayati Roula Kabila na Joseph Kabila.
Ninavyojua mim Laurent Kabila aliuawa kwa risasi na nchi ikatawaliwa kwa...
Baada ya Hamas kuwepo Gaza sasa kuna kundi jipya la silaha huko West bank israel kupigwa pande zote
Wazayuni watiwa kiwewe na kundi la "Arin al Usud" la Ukingo wa Magharibi
Kundi jipya la...