Wizara ya Ulinzi ya Urusi imeviamlu vikosi vyake kuukimbia mji wa KHERSON kabla mji huo haujazingirwa na majeshi ya Ukraine.
Akiongea na waandishi wa habari,Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Urusi...
Usiende google kucheki matokeo 😂😂 wala cnn , huko hakuna taarifa credible maana ni left wing main strem media, ni haohao walioaminisha umma mpaka dakika ya mwisho 2016 kwamba Trump kashindwa...
Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani amesema kwamba Marekani ipo kwenye mazungumzo na Korea kusini ili kununua Maroketi laki moja kutoka Korea kusini kwa ajili ya kulipatia jeshi la Ukraine...
US refuses to send advanced drones to Ukraine – WSJ
Officials are reportedly concerned that Gray Eagle MQ-1C deliveries may make the conflict worse
The administration of US President Joe Biden...
Latvia ni kataifa kadogo sana jirani ya Urusi, ila mwanachama wa NATO, sasa Urusi imezoea kuparamia vitaifa majirani ila kwa wanachama wa NATO hukaa mbali au kuandika barua za kulalamika, kama...
,Wengi Mnakumbuka Sekeseke la Juzi ambapo Marekani waliishutumu Qatar kusaidia kifedha Mitandao ya Ugaidi.
Balozi mbalimbali zilifungwa na Sasa Marekani na Qatar wamesaini deal ya Kuuziana ndege...
Wakuu Kijana mmoja raia wa Nigeria ametoa mkanda wa Video Wa Ngono wa Zanele Sifua ambae ni Spika wa bunge la Jimbo la ANC Free State Nchini Nigeria.
Kijana huyo amevujisha Mkanda Huo Baada ya...
Jameni kuwa mwanajeshi wa Urusi ni shida, kule mbele mnapigwa na kuuawa kama senene, mkirudi nyuma mnauawa na kikosi kilichobuniwa na Putin cha kuua wanaokimbia.
Sidhani kama kuna miaka itakuja...
[emoji351] The results of the midterm elections in the United States:
Democrats have 48 seats in the Senate; Republicans have 49.
In the House of Representatives the Democrats won 182 seats...
Mapigano makali yanaendelea, wazalendo wa Ukraine wanazidi kusonga mbele, vitabu vya historia vitaandikwa kuwakumbuka hawa vijana namna walijitoa mhanga kukomboa ardhi yao, mito yao, mashamba yao...
Jameni maskini Urusi, waliokua wanampa msaada wote wanajitetea na kumkimbia, juzi Iran alijitetea sana jinsi hajamsaidia, naona Korea Kaskazini naye kachomoa.....
North Korea said on Tuesday it...
Mwanadada huyu hapa ana furaha sana mgombea wa Democratic ameshinda kwenye jimbo lake kwa hiyo anafurahia kwenye jimbo hilo kutoa mimba itakuwa ni ruhusa!
Alikuwa na wasiwasi kuwa kama...
Maelfu ya wauguzi hao wanatarajia kufanya hivyo wakitaka waboreshewe maslahi ili kuendana na uhalisia wa gharama za maisha.
Imeelezwa kuwa ikiwa wauguzi hao wa Serikalini watafanya hivyo itakuwa...
Israel yalalamika kuwa Urusi kampatia Muajemi shehena za silaha za Marekani (Javelin na Stinger MANPAD) na Uingereza (Next generation Light Anti-tank Weapon, NLAW) ili Muajemi azichambue chambue...
Wizara ya ulinzi ya urusi imesema majeshi yake yanajiondoa katika mji huo ili kupunguza madhara kwa vikosi vyake na kuokoa maisha ya raia wake.
urusi iliuchukua mji huo kutoka ukraine kupitia...
Sasa nimeelewa kwa nini nchi za magharibi hazikutaka kabisa kuihusisha Urusi kwenye kuchunguza kilichotokea kwenye mabomba ya gesi toka urusi. Tuliambiwa gesi ilivuja kumbe siyo kuvuja bali...
Mji wa KHERSON ambao Ni miongoni mwa majimbo 4 yaliyonyakuliwa na Urusi umekumbwa na mashambulizi makali ya Maroketi kutoka kwa wanajeshi wa Ukraine.
Mashambulizi hayo yameharibu kabisa Njia tatu...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anasema majeshi yake yanasonga mbele ‘’hatua kwa hatua’’ katika eneo la kusini linalokaliwa la Kherson.
Mji wa Kherson ulitekwa na Urusi mapema katika vita na...