Matokeo ya Uchaguzi Nchini Marekani.

Matokeo ya Uchaguzi Nchini Marekani.

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,664
Reaction score
8,285
[emoji351] The results of the midterm elections in the United States:

Democrats have 48 seats in the Senate; Republicans have 49.

In the House of Representatives the Democrats won 182 seats, the Republicans 206.
 
Wanasema ni ngumu sana kwa chama tawala kushinda hizi midterm elections.
 
Hata kipindi cha Obama ilikuwa hivi hivi lakini ulipokuja uchaguzi mkuu,akashinda tena Urais.Ni kawaida
Una amini Biden ataweza rudia tena?

Naona ni kama sera zake za chuki dhidi ya Republicans zimeshindwa fua daFu
 
Biden anakubalika sana marekani, sijawahi shuhudia maandamano ya kumpinga
 
Mwenye andiko la mabunge ya Marekani naomba nisome kidogo niongeze maarifa.

Manake nasikia sijui Senate, House, mara nasikia kuna kikundi cha watu ndo wanaamuaga Rais ni nani regardless kura za wananchi.

Yaan kifupi sijui kitu, ila sasa natamani kujua.
 
Una amini Biden ataweza rudia tena?

Naona ni kama sera zake za chuki dhidi ya Republicans zimeshindwa fua daFu
Nilikuwa naongelea hiyo point ya ugumu wa chama kilichopo madarakani kushinda uchaguzi wa mid term.
 
Back
Top Bottom