Marekani yakataa kuipatia Ukraine "drones"

Marekani yakataa kuipatia Ukraine "drones"

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,868
Reaction score
8,279

US refuses to send advanced drones to Ukraine – WSJ​

Officials are reportedly concerned that Gray Eagle MQ-1C deliveries may make the conflict worse

The administration of US President Joe Biden has rebuffed Kiev’s requests to provide it with state-of-the-art drones over concerns that doing so could escalate the Ukraine conflict, the Wall Street Journal reported on Wednesday, citing sources.

According to US officials and people familiar with matter interviewed by the newspaper, the US won’t send the Gray Eagle MQ-1C drones to Ukraine that it has been requesting for months. This type of military aid, they said, could “signal to Moscow that the US was providing weapons that could target positions inside Russia
 
Marekani Si kwamba anaogopa Bali anajua kuwa Ukraine akianza kishambulia Moscow na miji muhimu ndani ya urussi oG , basi Retaliation ya Mrussi itakuwa hatari sana kwa ukraine. Itakuwa tishio kubwa kwa Russia na itawafanya wa launch full scale attack .

Tutawalaumu sana Kremlin kwa hilo lakin maafa yatakuwa makubwa.
 
Sasa kama walishambulia daraja kipigo kilikuwa vile ndio washambulie Moscow itakuwaje USA kaona mbali kumnyima
 
Kawaida yao kukataa lakini baada ya Muda utasikia mzigo umetua! Si hata mwanzo waligoma kutoa Siraha, then HIMARS wakakataa na majuzi walikuwa wanagoma kutoa Rada za kulinga anga lkn mpaka sasa mizigo iko Frontline. So tusiwachukulie serious kwamba wamegoma kumpatia hizo drones maana akili zao wanazijua wenyewe
 
Sasa kama walishambulia daraja kipigo kilikuwa vile ndio washambulie Moscow itakuwaje USA kaona mbali kumnyima
Na daraja ni Crimea, siyo Russia OG.

Vile vipigo alikuwa anaonya kuwa tupiganie majimbo tu na siyo kuanza kufanya ‘ugaidi’ .
Nadhani somo lilieleweka kwa Ukraine, wameacha milipuko ya kuvizia ya kigaidi.

Ndo swali linakuja, je Russia anataka kuifuta Ukraine ama vp?.. kama anaweza kuipiga Kiev vile kwa madakika , kwa nini asiishambulie mfululizo siku 2 ainalize kabisa??

What is the interest of Russia and US in this battle??
NYIE !
 
Kawaida yao kukataa lakini baada ya Muda utasikia mzigo umetua! Si hata mwanzo waligoma kutoa Siraha, then HIMARS wakakataa na majuzi walikuwa wanagoma kutoa Rada za kulinga anga lkn mpaka sasa mizigo iko Frontline. So tusiwachukulie serious kwamba wamegoma kumpatia hizo drones maana akili zao wanazijua wenyewe

Himars ni za masafa mafupi.
Wanatoa msaada kwa ajili ya kujilinda na Si kwa ajili ya kushambulia.

NATO si wajinga, wanafahamu what will happen Ukraine akipiga masafa marefu kupiga Moscow mjini. Itakuwa “Kremlin under attack” , matokeo yake tusiombee .

Us anavyopigana Iraq alikuwa anabuy time na kumdhoofisha adui lakin Cuba angshambulia New York . Ingekuwa shida nasisitiza
 
Back
Top Bottom