MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,152
- 3,967
Mamia ya wanajeshi wa Ukraine wameingia katika mji wa kimkakati wa KHERSON baada ya kuyafurusha majeshi ya Urusi ambayo yaliukalia mji huo tangu ulipotekwa miezi 8 iliyopita. Haya yanajiri baada ya Urusi kutangaza kuyaondoa majeshi yake katika mji huo baada ya kushindwa kufikisha mahitaji Muhimu ya wanajeshi hasa Chakula,Madawa na Silaha.
Hiyo ni baada ya majeshi ya Ukraine kuharibu madaraja Muhimu matatu yanayounganisha mji huo na eneo la Mashariki mwa mji huo kwa kutumia Mifumo ya Makombora ya Masafa ya Kati ya HIMARS iliyopewa na Marekani.
Hata hivyo majeshi ya Ukraine yalitilia Shaka tangazo la Urusi la kuondoa wanajeshi wake yakidai huenda Ni mtego na hivyo kuamua kwenda taratibu huku wakitegua mabomu yaliyoachwa na Urusi.
Majeshi ya Urusi yamebomoa miundombinu Muhimu katika mji huo ikiwa Ni pamoja na njia za umeme,maji na madaraja.
‘Kherson is returning to Ukrainian control,’ says Kyiv, after Russia announced retreat from southern city. Ukraine says its forces have entered Kherson city