Wafuatiliaji wa shughuli za kijeshi wamesema kwamba rais wa Belarus Alexander Lukashenko anatoa msaada wa kijeshi na silaha kwa Russia katika vita vinavyoendelea Ukraine.
Belarus imeruhusu karibu...
kupanda mchongoma kushuka ndio ngoma
: Bei ya mafuta ya Urusi imeporomoka chini ya kiwango cha EU kilichopendekezwa.
Mafuta yasiyosafishwa ya Urals ya Urusi yameshuka hadi $51.96 kwa pipa kwenye...
Samaki katema ndoano.
Twende kazi
Mkuu wa shirika la nyuklia nchini Ukraine, Petro Kotin amesema kwamba kuna ishara kwamba wanajeshi wa Russia wanajitayarisha kuondoka kutoka kiwanda cha nyuklia...
Government of Zambia says a Zambian student, Lemekhani Nathan Nyirenda, has “died at the battlefront in Ukraine”.
Zambia has asked Russia to provide info on how “Zambian citizen serving a prison...
MiG-31, ambayo ilifanya majaribio yake ya kwanza mnamo 1975, bado inawatia wasiwasi wataalamu wa kijeshi wa Western Military Watch imeripoti.
Urusi haikuwahi kuza ndege hii, ndiyo sababu nchi za...
Kwa miaka mingi Marekani imekuwa ikiiwekea ajenda za kuikwamisha Venezuela hasa katika sekta ya mafuta.
Vikwazo hivyo viliitikisa sana Venezuela na kuirudisha nyuma kiasi kwamba watu walipanga...
Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, Toomaj Salehi anatuhumiwa kueneza Propaganda, Kushirikiana na Serikali yenye Uadui na Kuchochea Vurugu.
Salehi alikamatwa Oktoba 2022 baada ya kuunga mkono...
Inadaiwa endapo kama ndege za marekani zitafuta Safari zake kwenda China basi hasara watakayoipata kwa mwaka inakadiriwa kufika dola bilioni hamsini(50billion USD).
Chanzo: China center, US...
Wachina ni watu ambao ni risk takers, baada ya Wamarekani kuondoka afghanistan, wajasiriamali kutoka China wamekuwa wakikimbilia huko wakidai kuwa Afghanistan kwa sasa ni kama China ilivyokuwa...
Waziri wa Mazingira, Adam Aw Hirsi amesema amenusurika katika tukio hilo lililotokea katika Hoteli ya Villa Rose inayotumiwa mara nyingi na maafisa wa juu wa Serikalini.
Inadaiwa kuwa Waziri wa...
Mashindano ya kwanza ya roboti ya akili bandia yalifanyika jana mjini Xiamen, na kuvutia zaidi ya wanafunzi 1,000 wa shule za msingi na sekondari kutoka kila sehemu ya jiji hilo kushiriki...
Mamia ya waandamanaji wanazidi kukabiliana na Polisi kwa kupinga Sheria kali zilizowekwa na Serikali ili kudhibiti hali ya mambukizi mapya yanayorejea tena nchini humo
China bado imeweka Sheria...
Katika vita inayoendelea Kati ya taifa la URUSI na UKRAINE' mataifa ya ulaya na marekani yamekuwa yakiisaidia ukrane Kwa kulani uvamizi huo,na pia Kwa kuiwekea URUSI vikwazo vya kiuchumi.
Hivyo...
Wizara ya Ulinzi ya Russia: Wamarekani wametengeneza virusi vipya vya corona
Nov 27, 2022 06:54 UTC
Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa: Chuo Kikuu cha Boston cha nchini Marekani...
Maonyesho ya safari za ndege yafanyika Nanchang, China
Wakati hali ya hewa katika Uwanja wa Ndege wa Yaohu huko mjini Nanchang ikiwa nzuri, maonyesho ya safari za ndege yalifanyika kwa siku ya...
Niliwahi kuandika humu kwamba hapa JF asilimia 90 ya wanaomuunga mkono Putin ni Waislam na nikatoa na sababu ila moderators walifuta ule uzi.
Wengi wanaamini hivyo kwamba Putin analipiza madhira...
Waziri wa fedha, Samuel Tweah amesema Rais George Weah "anastahiki" posho ya kila siku ya $2,000 sawa na Tsh. 4,660,000 wakati wa safari yake ya Nje ya Nchi iliyoanza Novemba 1 hadi 23...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.