International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Muuza duka anaonesha sahani ya mchuzi wa pilipili wa Harissa katika soko huko Tunis, Tunisia. Mchuzi wa Harissa unaotengenezwa kwa pilpili umewekwa katika orodha ya urithi wa dunia na Shirika la...
1 Reactions
1 Replies
806 Views
Massata Samb aliyekuwa akitoa hotuba Bungeni alisitisha na Kwenda kumshambulia Amy Ndiaye Gniby kwa kumpiga kichwani, Gniby akajibu mapigo kwa kumrushia kiti Samb. Licha ya Wabunge wengine...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
"Ni muhimu kuheshimu masuala makuu ya kila mmoja na maslahi yake ya msingi, hasa mamlaka, uhuru na umoja wa kitaifa na kuacha kuingilia mambo ya ndani ya kila mmoja, ili kuhifadhi kwa pamoja...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
Mapema leo, akiwa ziarani nchini humu kuimarisha uhusiano katika nyanja ya elimu, utamadan n.k, Bi.Auxillia Mnangagwa alitembelea Chuo Kikuu kijulikanacho kama "Russian State University for the...
1 Reactions
2 Replies
701 Views
Vijana kutoka nchi 8 za Afrika wameongea na wanaanga wa China walioko kwenye Kituo cha Anga ya Juu Tiangong kwa njia ya mtandao. Wanaanga hao wakiwemo Chen Dong, Liu Yang na Cai Xuzhe wamejibu...
1 Reactions
5 Replies
909 Views
Habari wadau.. Licha ya Taifa la Ghana Kukumbwa na shida kubwa ya madeni na mfumuko mkubwa wa maisha ila Taifa Hilo linaendelea kukaza kwa kujenga miundombinu ya gharama na viwango vya Juu...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Malawi imeanza kampeni kubwa ya chanjo ya watoto wachanga dhidi ya Malaria ambayo ni kampeni ya kwanza kabisa duniani, mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini Dk Neema Kimambo amesema...
0 Reactions
9 Replies
948 Views
Elon Musk amesema Kampuni ya Apple imesitisha matangazo yake mengi kwenye mtandao wa Twitter na kuishutumu kampuni hiyo kwa kutishia kuiondoa Twitter kwenye program zake. Mzozo huo umeibuka baada...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Zambia ambayo inakabiliwa na wimbi la tatu la Virusi vya Corona imesema maeneo ya starehe ikiwemo baa na casino zitafungwa kwa siku 14, ili kupunguza kasi ya maambukizi ya Ugonjwa huo. Wiki...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Na Gianna Amani Inawezekana kuwa hujui hili lakini taarifa za kihistoria zilizopo zinaeleza kuwa chai na kinywaji cha chai asili yake ni nchini China na Myanmar na jambo la kushangaza zaidi...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Hamna namna kwa waarab sasa, na wao wameona wachangamkie fursa, Mrusi hana wa kumuunga mikono labda waarab wa Bongo tu... ================= Germany will receive liquefied natural gas (LNG) from...
4 Reactions
73 Replies
3K Views
Habari kutoka Ofisi ya Uhandisi wa Anga ya Juu ya China zinasema baada ya chombo cha anga za juu na kituo cha anga ya juu kufanikiwa kuunganishwa haraka, wanaanga wa Shenzhou 15 wameingia kwenye...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Friday, October 14, 2022 Natural News A former candidate for president in France says he had to undergo four heart operations to fix the damage caused by Wuhan coronavirus (COVID-19) “vaccines.”...
1 Reactions
3 Replies
905 Views
Nov 26, 2022 02:33 UTC Serikali ya Ghana inaanda sera mpya ya kununua bidhaa za mafuta kwa kutumia dhahabu badala ya sarafu ya dola ya Marekani. Makamu wa Rais wa Ghana, Mahamudu Bawumia amesema...
10 Reactions
17 Replies
2K Views
Tuesday, November 29, 2022 Natural News During the covid-19 scandal, Danish Prime Minister, Mette Frederiksen, threatened individual rights, slaughtered animals out of hysteria, and repeatedly...
1 Reactions
2 Replies
834 Views
Monday, November 28, 2022 Natural News God is dead, according to the World Economic Forum Claus Schwab, who has also declared that “Jesus is fake news,” and that WEF leaders have “acquired...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Mahakama Kuu ya Nigeria imetoa hukumu hiyo kwa kosa la kutotii amri ya Mahakama, uamuzi huo umetokana na kesi ya Afisa wa Polisi ambaye alifutwa kazi mwaka 1992, ambapo alipinga kustaafu kwake kwa...
0 Reactions
1 Replies
726 Views
Kufuatia kuondolewa ushuru kwa asilimia 98 ya bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi 9 za Afrika mwezi Septemba, kuanzia tarehe mosi, Disemba, China haitatoza ushuru wa asilimia 98 za bidhaa za nchi...
1 Reactions
0 Replies
608 Views
"Mbinu za Jadi za Kichina za Kutengeneza Chai na Desturi Zinazohusiana” zilizowasilishwa na China tarehe 29 Novemba, zilipitishwa kwenye Mkutano wa 17 wa Kamati ya Kiserikali ya UNESCO ya Kulinda...
0 Reactions
1 Replies
619 Views
Wizara ya Mambo ya nje ya Zambia inaitaka Serikali ya Moscow kutoa maelezo juu ya kifo Cha mwanafunzi wa Uhandisi nchini Urusi aliyekufa vitani nchini Ukraine. Lamekhani Nathan Nyirenda (23)...
6 Reactions
64 Replies
6K Views
Back
Top Bottom