Umoja wa Mataifa kupitia Baraza la Uchumi na Kijamii la Umoja wa Mataifa limepiga Kura na kuchukua hatua hiyo baada ya kuripotiwa matukio mengi ya Ukatili dhidi ya Wanawake na Wasichana nchini...
Zaidi ya watu mia moja wamefanya maandamano hayo katika Mji wa Monrovia, yakiratibiwa na muungano wa vyama vya upinzani wakilalamika kupanda kwa bei ya vitu na uhaba wa mahitaji ya msingi...
Tafsiri kutoka gazeti la The Hindu
INDIA imelaani vikali Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislam(OIC),ikisema kuwa Jumuiya hiyo imepoteza uaminifu kufuatia ziara ya Katibu Mkuu wake Hissein Brahim...
Vladimir Makey mwenye umri wa miaka 64 alishikilia wadhifa huo tangu 2012
Waziri wa Mambo ya Nje wa Belarus Vladimir Makey, alifariki ghafla siku ya Jumamosi, shirika la habari la Belta...
The Satanic nature of the US Government and other Western Governments hidden for many generations have now been exposed: They have VOTED AGAINST The United Nations Resolution to Combat...
Habari wadau,
Nchi za Zambia na DRC Congo zimekuwa zinajitahidi kuepukana na makucha ya unyonyaji kutoka China ambae ameshika mamia ya migodi kwenye Nchi hizo Hadi kufikia Zingine kuelemewa na...
20 July 2022
Washington DC
TAARIFA YA KIKAO KIJACHO CHA RAIS BIDEN NA VIONGOZI WA AFRIKA / US - AFRICA SUMMIT 2022
Rais Joe Biden awaalika Viongozi wa Afrika kwa Majadiliano Washington
Taarifa...
Wapenzi wa Soka ambao watakuwa nchini Qatar kwa ajili ya Kombe la Dunia la Novemba 2022 wamepewa maagizo ambayo ni lazima wayafuate ili kufurahia kukaa kwao wakati wa mashindano ya kimataifa ya...
In mid-November, while the whole world was focused on the Ukraine crisis, the US midterms or whatever other “big story” the media decided was more important, a truly momentous shift took place in...
Kwa mara ya kwanza duniani, wanasayansi wa Marekani katika Maabara ya Lawrence Livermore katika jimbo la California kupitia process ya nuclear fusion wameweza kuzalisha nishati kubwa zaidi kwa...
Hukumu hiyo imetolewa na Mahakama ya Sharia, Jimbo la Kano baada ya Abduljabar Nasir Kabara kukutwa na hatia ya kumkufuru Mtume Muhammad na uchochezi kupitia baadhi ya mahubiri yake, ingawa...
Katika tukio lisilo la kawaida, Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir mwenye miaka 71 ameonekana akitokwa na haja ndogo wakati wa hafla ya Kitaifa na wimbo wa Taifa ukipigwa. Kitendo hicho kinaibua...
Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) linadaiwa kuwa limekataa ombi la Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky kutaka kuhutubia kabla ya mchezo wa Fainali ya Kombe la Dunia kati ya Argentina na...
Nimefika hapa Qatar toka tarehe 11.12.2022 kwa ajili ya kushuhudia mechi ya France vs Morocco ila jambo moja nimeshuhudia hawa wenyeji washenzi wa tabia. Vijana toka Afrika wanadhalilishwa na...
Chama tawala nchini Afrika Kusini cha African National Congress kimewateua wajumbe wawili kugombea nafasi ya uongozi wa chama hicho. Mshindi wa kinyangànyiro hicho atagombea urais katika uchaguzi...
Rais wa Sudan Kusini: Tumeshafikia makubaliano na Machar ya kuunda serikali ya umoja
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amesema, yeye na aliyekuwa kiongozi mkuu wa waasi Riek Machar leo wamefikia...
Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 20 amehukumiwa kifungo cha miezi sita baada ya kukubali kosa, awali alihukumiwa kifo kwa kupigwa mawe, lakini baada ya malalamiko ya wanaharakati na taasisi...
Naona taarifa mbili zinarushwa kwa kurudiwa rudiwa sana na Al jazeera
Moja ni Rais Biden akikutana na Viongozi wa Afrika
Mbili, Rais Biden akisaini Sheria ya kuruhusu Ndoa za Jinsia Moja...
Twitter yasitisha akaunti za waandishi wa habari wanaoandika habari za Musk
Twitter ilisimamisha akaunti Alhamisi ya zaidi ya wanahabari nusu dazeni waliokuwa wakiandika kuhusu kampuni hiyo na...