International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ghana ni Taifa namba mmoja mzalishaji wa dhahabu Africa. Ni mojawapo ya wazilishaji wakubwa wa mafuta Africa na pia ni mojawapo ya wazalishaji wakubwa zaidi wa Cocoa duniani. Kwa sasa uchumi wao...
12 Reactions
114 Replies
7K Views
Hii ndio picha halisi tofauti na inayosambazwa na member ami.
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Supapawa anazidi kutia huruma, amesaidiwa na Syria, Iran, Korea Kaskazini, wafungwa kwenye gereza zake wakiwemo baadhi ya Waafrika, ameokoteza hadi wanywa gongo mtaani ila bado anapigwa tu...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Mashirika ya Serikali yameanza kupiga marufuku matumizi ya huduma maarufu ya mitandao ya kijamii ya TikTok kwenye vifaa vinavyodhibitiwa na serikali kwa kuhofia kwamba China inaweza kuitumia...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Korea kaskazini imekana kuwa haimpi mrusi siraha wala haina mpango huo baada ya ripoti ya marekani kuwa korea ambaye ni mshirika wa karibu wa urusi imeombwa na urusi kumpa siraha. =========...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Akiwahutubia wana usalama, amesema ngoma ni ngumu sana pale Donetsk na Lugansk, yaani huyu jamaa ni kama huvuta bangi, nakumbuka alipompa Zelensky masaa 24 aihame nchi, leo analia lia... Na...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwa mara ya mwanzo tangu vita vianze raisi Zelensky wa Ukraine ameondoka nchini mwake kuelekea Washington ili kukutana na Rais Biden. Huku safari ikiwa imeiva nchi nzima ilisikika ving'ora...
12 Reactions
48 Replies
3K Views
Super power anafundishwa jinsi ya ku hit Target. Hii ni baada ya mashambulizi ya Russia kwenye soft target nchini Ukraine kupungua wakambembe wazee wakazi wameona watoe darasa kidogo. taarifa ni...
14 Reactions
126 Replies
9K Views
Naibu waziri mkuu wa Zamani wa Urusi, Dmitry Rogozin ajeruhiwa baada ya Makombora ya HIMARS kupiga Hotel moja mji wa Donetsk na kusababisha vifo vya makamanda wengine 2 wa kijeshi wa Urusi. Katika...
5 Reactions
7 Replies
897 Views
In a sudden turn of events,the snake spits it's vernom:WHO declares war on unvaccinated people, likens them to murderers by calling them “a major killing force globally.” So what is next,is force...
0 Reactions
4 Replies
795 Views
Ukraine wametoa taarifa walivyotumia kombora aina ya Neptune kuipiga meli kubwa ya kivita ya Urusi, yaani kombora moja tu, limeli lote chali, gharama yote hiyo, hasara yote hiyo, Mrusi bado...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Hali imekua tete kwa makundi ya kigaidi ya waislamu, Iran iliyokua ikiwafadhili imeishia na haitumi hela tena.... Na maandamano Iran bado yako pale pale ili kupinga dhuluma zinazofanywa na...
4 Reactions
88 Replies
4K Views
Sasa sijui wanalia nini, kwani rais wa Ukarine hana uhuru wa kufanya ziara ya nchi nyingine aitakayo??? Subirini mfumo wa Patriot usimikwe vizuri ili show iendelee... The Kremlin said that...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Yaani masaa machache baada ya Putin kusheherekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwake (birthday), wazalendo wa Ukraine wakamtumia salamu kwa kulipua daraja ambalo lipo moyoni mwake, alilotumia hela ndefu...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Jenerali wa Kiukraine na kiongozi mzoefu, ambaye yuko kwenye mstari wa mbele wa mapigano. Amekili wazi katika mahojiano na chombo cha habari na kusema Urusi siyo mjinga, pia siyo mdhaifu...
6 Reactions
46 Replies
4K Views
Iran imemnyonga Majidreza Rahnavard ambaye ni Mtuhumiwa mwingine aliyetiwa hatiani kutokana na vurugu kwenye maandamano yanayopinga utawala wa Kiislamu Iran. Amekutwa pia na kosa la kutangaza...
12 Reactions
64 Replies
4K Views
Akizungumza kwenye Mkutano na Rais Joe Biden wa Marekani na Marais takriban 50 wa Afrika, Rais Nana Akufo-Addo amesema Afrika lazima iache kutegemea nchi za Magharibi ili kubadili mitazamo duni...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Asubuhi ya leo Jimbo la Urusi la Siberia ambalo ndilo lenye utajiri mkubwa wa Mafuta limekumbwa na milipuko 2 katika viwanda 2 vya kusafisha Mafuta. Milipuko hiyo imesambaratisha kabisa...
7 Reactions
64 Replies
4K Views
Dimitri Zakarchenko,Mkuu msaidizi wa Kitengo cha Kudhibiti Rushwa wizara ya mambo ya ndani ya Urusi akutwa na ameficha rundo la noti ikiwemo dola za kimarekani milioni 120($120),Pound milioni 2(€...
11 Reactions
63 Replies
3K Views
Mkutano wa pili wa wakuu wa Marekani na nchi za Afrika umekamilika hivi karibuni mjini Washington. Vyombo vya habari vya kimataifa vinaona baada ya miaka minane, Marekani inatupia macho yake tena...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…