Jeshi la Polisi limemsimamisha kazi mtuhumiwa ambaye inadaiwa alimpiga risasi Mwanamke huyo ambaye ni Mwanasheria wakati alipokuwa na familia yake wakirejea nyumbani kutoka kanisani Jijini Lagos...
Askofu Fikremariam Hagos aliwekwa kizuizini Tangu Oktoba 2022 akiwa pamoja na Padri Abba Mihretab Stefanos huku kukiwa hakuna sababu zilizowekwa wazi na mamlaka juu ya kushikiliwa kwao
Kanisa...
Unajua wa Afrika mara nyingi tunakosea kupata viongozi imara kwasababu ya ushabiki wetu
Mtu anaweza kujua kabisa huyu bwana credit yake sio nzuri lakini atapenda kutumia ushabiki wake kumchagua tu...
Uamuzi huo umefikiwa baada ya China kutangaza kufungua mipaka yake kuanzia wiki ijayo, maamuzi kama ya Marekani pia yamefanywa katika Nchi nyingine zikiwemo Italia, Japan, Malaysia, Taiwan na...
Mkutano wa Tano wa Vyombo visivyo na Rubani umefunguliwa mjini Zhuhai, mkoani Guangdong, nchini China.
Mkutano huo ulifadhiliwa kwa pamoja na serikali ya mji wa Zhuhai, shirika la anga la China...
Kama kuna siku Marekani imechezewa sharubu ni leo!! Marekani hudai majeshi yake yako korea ya kusini ili kuilinda korea ya kusini dhidi ya kitisho cha korea ya kaskazini. Anga la korea ya kusini...
Rwanda ya kagame inacheza game moja chafu sana eneo la maziwa makuu.
Kwanza walipovamia congo walipandikiza majasusi kibao congo. Jeshi la DRC Fardc si chochote ni mkusanyiko wa wahuni tu...
Tofauti kabisa na mawazo ya timu Marekani humu jamvini ambayo hung'ang'ania ushindi hata kama imepigwa za uso, jeshi la Korea ya Kusini limeomba msamaha wa wazi kwa kushindwa kuzipiga drones za...
Shirikisho la Kuhimiza Biashara la China hivi karibuni limehoji zaidi ya makampuni 160 ya kigeni nchini China, na matokeo ya hojaji hiyo yameonyesha kuwa, asilimia 98.7 ya makampuni yana nia ya...
Rais wa Urusi, Vladimir Putin, hataki kubadili msimamo wake hata nukta moja juu ya vita vya Ukraine.
Hii inafuatia kukataa ushawishi kutoka kwa mawaziri waandamizi wa serikali ya Cuba, ambayo ni...
Salaam!
Kupitia ukarasa wake wa Twitter, Makamu Mwenyekiti wa baraza la Usalama la Urusi na aliyepata kuwa Rais mwaka 2008 hadi 2012 na Waziri mkuu wa Urusi mwaka 2012 hadi 2020, Dimitri...
Rais wa Taifa la Marekani Joe Biden ametangaza Msamaha wa kiasi cha dolla 10,000 za kimarekani kwa wadaiwa wa mikopo ya elimu ya juu wenye kipato cha chini na cha Kati.
Uamuzi huo unalenga kutoa...
Natarajia Melitopol itakuwa sehemu kuu ya vita katika miezi ijayo (labda wiki). Baada ya kuchukua Melitopol, Waukraine watahamia kwa urahisi Bahari ya Azov, wakikata kwa ufanisi njia za usambazaji...
Baraza la usalama la Umoja wa mataifa Jumanne limeomba wanawake na wasichana nchini Afghanistan washirikishwe kikamilifu na kwa usawa,
likilaani marufuku kwa wanawake kusoma kwenye vyuo vikuu au...
imeripoti baadhi ya Benki za Urusi hazina pesa taslimu za kukidhi utoaji wa malipo ya pensheni na ATMs nyingi hazina pesa.
Hili limetokea kwenye mikoa amabayo haijaendelea na midogo. Ila Bado...
Nionavyo mimi
1: Kwa hatua ya sasa, anaweza kushambulia popote na chochote ndani ya Russia kupitia mgongo wa Ukraine bila Russia kumjibu moja kwa moja.
Mfano Mashambulizi na milipuko ya kigaidi...
Wizara ya Ulinzi ya Taiwan imesema jeshi la China limetuma ndege 71 za kivita na meli saba katika kile ilichokiita "maonesho ya saa 24 ya uchokozi" dhidi ya kisiwa hicho.
Taiwan imesema...
Sherehe ya Uvuvi wa Majira ya Baridi katika Ziwa Jingbo imefanyika tarehe 27 mkoani Heilongjiang, China, ambapo takriban kilo laki 1.2 za samaki zilipatikana kwa kutumia wavu wenye urefu wa mita...
Kanali katika jeshi la zamani la Rwanda aliyepatikana na hatia kutokana na nafasi yake katika mauaji ya kimbali ya mwaka 1994 ambapo watu zaidi ya 800,000 waliuawa, amefariki gerezani nchini Mali...
Maonyesho ya Sanaa ya madini ya fuwele (crystal) ya Njia ya Hariri yamefanyika mjini Zhuhai, mkoani Guangdong, nchini China. Maonyesho hayo yamekusanya zaidi ya vito 30 vya fuwele kutoka maeneo...