International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

7 Reactions
24 Replies
2K Views
Imechukua uamuzi huo ambao utaendelea hadi vikwazo walivyoita vya ‘kibaguzi’ dhidi ya Wachina wanaotaka kuingia katika Nchi hizo vitakapoondolewa. Japan na Korea Kusini ni baadhi ya mataifa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Papa Francis amekiri kwamba pornography ni tatizo kubwa kwani hata Mapadri na Sisters ni wapenzi wakubwa sana wa kuangalia hizo video. Papa amesihi viongozi hao wa dini kuacha kuangalia ngono za...
2 Reactions
71 Replies
9K Views
Kuanzia tarehe 8 mwezi Januari, China imerekebisha hatua zake za kukabiliana na janga la COVID-19 kutoka ngazi A hadi B. Kwa mujibu wa hatua mpya, watu walioambukizwa na virusi vya Corona...
1 Reactions
1 Replies
646 Views
Imezoeleka kusikia tahadhari za usafiri kwa raia wa Marekani kwamba wasiende nchi fulani na fulani kwa vitisho tofauti na mara nyingi ni kile wanachokiita ugaidi.Tahadhari hizo zilitiliwa maanani...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Saudi Arabia ambayo huendeshwa kwa sheria za dini ya kiislamu, wanafanya maandalizi ya kupindisha sheria ili Ronaldo aruhusiwe kuishi na mpenzi wake ndani bila ndoa.... Ni nchi ambayo huwa...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Kupitia waziri wake wa mambo ya nje, Ukraine imelalamika wazi na kusema hakuna aliyeweza kutusaidia kiasi cha kutosha katika vita dhidi ya urusi. Pamoja na kutambua misaada iliyopokea hadi sasa...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardiit amewafukuza kazi Waziri wa Fedha, Agak Achuil Lual ikiwa ni miezi minane tangu alipomteua katika nafasi hiyo pamoja na Gavana wa Benki Kuu, Moses Makur...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Waliokamatwa ni wafuasi wa Rais aliyepita, Jair Bolsonaro ambao walivamia Bunge, Mahakama ya Juu na Ikulu Jijini Brasilia ikiwa ni wiki moja baada ya Luiz Inacio Lula da Silva kuapishwa kuwa Rais...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hili ndio jengo ambalo Urusi inadai kufanya shambulizi zito la kulipiza kisasi na kuua zaidi za wanajeshi 600 wa Ukraine. Kitu cha kushangaza, Makombora yenyewe yamepiga pembeni. Sasa sijui hao...
6 Reactions
60 Replies
4K Views
Hamna vita ngumu kama ya kuwekewa vikwazo vya uchumi, huuzi, hununui, Mali za matajiri zinazuiliwa, baadhi ya nchi haupati visa, makampuni makubwa kufunga Biashara na kuondoka, bila kusahau utalii...
3 Reactions
10 Replies
914 Views
Ajali hiyo imehusisha mabasi mawili ambayo yamegongana katika Mji wa Kaffrine, ambapo Rais Macky Sall ametangaza siku tatu za maombolezo. Uchunguzi wa awali umebaini kuwa chanzo cha ajali ni...
2 Reactions
5 Replies
986 Views
Baada ya Urusi kushindwa Ukraine, ilibidi watumie wafungwa, kundi la kwanza ambalo limerudi kutoka Ukraine limeachiwa huru ila kwa kuombwa wasibake wanawake... The first batch of Russian...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Haya maeneo ambayo Ukraine hataki kwenda meza ya mazungumzo pasipo kukabidhiwa .Russia amekwapua maeneo hayo kwa ajili ya mkakati wake wa kuikabili NATO. Kama Ukraine atang'ang'ana na mpango wake...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Camera za CCTV zilimnasa jamaa akiruka ukuta na kwenda kufanya yake.... A military building in Bratsk, Russia, was set on fire overnight. The building was reported to go up in flames at about 2am...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Hali inaonesha kuwa kumekuwa na ongezeko la juu la vifo vya viumbe aina ya Nyangumi ambavyo vimehisiwa ni kutokana na ongezeko la vyombo vya baharini (manowali) baharini. Aidha miungurumo ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwili wa Papa Mstaafu Benedict wa 16, na kichwa chake kikiwa juu ya mito ya rangi nyekundu, umelazwa katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro huku maelfu ya watu wakiwasilisha maombi ya kutoa heshima...
11 Reactions
70 Replies
7K Views
Wafuasi hao wa Jair Bolsonaro ambaye hakukubali kushindwa kwenye uchaguzi wa Urais, Jumapili Januari 8, 2023 walivamia Bunge, Mahakama ya Juu na Ikulu katika Mji Mkuu wa Brazil, wiki moja baada ya...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia mitandaoni ambako taarifa za hali ya UVIKO huko china imekuwa ya kutisha. Yaonekana kuwa kuna vifo vingi, wagonjwa wengi to the tune of having no space in hospitals, having...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Tukio hili limetokea huko USA ambako mtoto na mwalimu walishindwa kuelewana na ndipo dogo akamshona teacher risasi. Bwana mdogo ni mwanafunzi wa darasa la kwanza na hali ya teacher ambaye ana...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom