Vikwazo vya uchumi vinaiumiza Urusi

Vikwazo vya uchumi vinaiumiza Urusi

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,110
Reaction score
2,787
Hamna vita ngumu kama ya kuwekewa vikwazo vya uchumi, huuzi, hununui, Mali za matajiri zinazuiliwa, baadhi ya nchi haupati visa, makampuni makubwa kufunga Biashara na kuondoka, bila kusahau utalii ndio umekufa Huko Saint Petersburg.

Mtanzania aliyeko huko Moscow atujuze kuhusu mdororo wa uchumi , sio hawa wapuuzi wanaomshabikia Matakore PUTIN.
 
Russia bado inauza nje bidhaa zake kama kàwaida. Kama gesi na mafuta anauza india na china mara 3 zaidi alivyokua anauza nchi za magaribi.

Utalii bado upo sana hizo nchi za west bado zinafanya biashara na urusi .huyo Marekani ndiyo usiseme.
 
Russia bado inauza nje bidhaa zake kama kàwaida.kama gesi na mafuta anauza india na china mara 3 zaidi alivyokua anauza nchi za magaribi.utalii bado upo sana
Hizo nchi za west bado zinafanya biashara na urusi .huyo marekani ndiyo usiseme
Kwa haya uliyoandika unaitendea haki kweli nafsi yako?
 
Hamna vita ngumu kama ya kuwekewa vikwazo vya uchumi, huuzi, hununui, Mali za matajiri zinazuiliwa , baadhi ya nchi haupati visa , makampuni makubwa kufunga Biashara na kuondoka , bila kusahau utalii ndio umekufa Huko Saint Petersburg.Mtanzania aliyeko huko Moscow atujuze kuhusu mdororo wa uchumi , sio hawa wapuuzi wanaomshabikia Matakore PUTIN.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani Dunia inamuitaji Urusi, kuliko Urusi inavyoitaji Dunia.

(1) madini
(2)Nishati
(3)mbolea
(4)Gesi
(5)mafuta
(Ngano)


Yani uwe na ivi vyote alafu upate tabu.umesikia wapi iyo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Russia bado inauza nje bidhaa zake kama kàwaida.kama gesi na mafuta anauza india na china mara 3 zaidi alivyokua anauza nchi za magaribi.utalii bado upo sana
Hizo nchi za west bado zinafanya biashara na urusi .huyo marekani ndiyo usiseme
Bangi mbaya sana.
 
Back
Top Bottom