Iran inapumuliwa kote, kwa sasa inafuatiliwa kwa makini, meli yoyote yenye silaha za Iran ni halali ya wababe wa dunia hii....
The British navy seized anti-tank missiles and fins for ballistic...
Mapigano katika mji wa Mashariki mwa Ukraine wa Bakhmut ambayo ni ngome muhimu, yanaongezeka na Rais Volodymyr Zelensky anasema hali huko inazidi kuwa mbaya.
Rais huyo anasema wanajeshi wa Urusi...
Wahamiaji takriban 18 wanadaiwa kufariki na wengine kujeruhiwa wakati umati mkubwa ulipojaribu kuvuka mpaka kuingia eneo la Melilla, Uhispania Kaskazini, baadhi ya waliofariki walikuwa wanadaiwa...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amerejea wito wake wa kutaka kusitishwa kile alichokiita vita vya "kipuuzi na kikatili" nchini Ukraine.
Wito huo ameutoa Jumatano mjini...
Ziara hiyo ya Rais Emmanuel Macron imeanzia Nchini Gabon na kufanya mazungumzo na Rais Ali Bongo na baadaye ataelekea Angola, Congo-Brazzaville na DRCongo ambako tayari kumeibuka vurugu za...
Aliyekuwa Mgombea Urais kwa Chama cha Labour Party, Peter Obi ameahidi kupinga matokeo yaliyompa ushindi Rais Mteule, Bola Tinubu wa Chama Tawala cha APC.
Obi alishika nafasi ya 3 amedai matokeo...
Miaka ya hivi karibuni wafuasi wa dini ya Kihindu huko India wamezidi kuchukua mrengo mkali wa kidini kitaifa dhidi ya wafuasi wa dini nyingine na wakosoaji wa dini yao.
Wafuatiliaji wa India...
Tangu juzi Rais Zelensky amesikika akisema hali kwenye mji aliosema hautowaponyoka hata siku moja kuwa ni mbaya na inadorora kwa upande wao kila saa.
Pamoja na malalamiko hayo lakini alikuwa...
Hivi karibuni, puto moja la China ambalo lilifika Marekani kwa bahati mbaya lilisababisha wasiwasi mkubwa kuhusu “tishio la China” nchini Marekani.
Mwishowe, jeshi la Marekani liliangusha puto...
Huu sasa ni mwaka mzima yaani siku 360.
Rais Putin ameweza kukabiliana na kibaraka wa Marekani na wenzao wa NATO.
Rais wa Ukrane inabidi awaombe radhi wananchi wa nchi yake kwani ukibaraka wake...
Mashirika ya Kiraia yameandamana nje ya Ubalozi wa Ufaransa, kupinga ziara ya Rais Emmanuel Macron ambayo imepangwa kufanyika baadaye wiki hii
Waandamanaji wanaishutumu Ufaransa kwa kuegemea...
Tuesday, February 28, 2023
A new, mind-blowing research about the Covid so-called “vaccinations” has been published recently in medical journals. Sadly, mRNA “technology,” not Covid, is...
JF SUMMARY
Kupitia Sheria mpya iliyoanza kutumika Nchini humo na Wales ambako awali Watu walikuwa wakioana wakiwa na miaka 16 au 17 ikiwa watapata kibali cha Wazazi. Ndoa ilikuwa haramu endapo...
Hawa Wahindi wa india ambao ni waamini wa dini ya Kihindu wanawachukia sana Waislam wanakwambia wangeweza wangewateketeza kwa bomu kama lile la USA kwenda Japan.
Hii chuki inatokana na nini...
At least 32 people were killed and more than 85 injured when a passenger train carrying more than 350 people collided with a freight train on Tuesday evening in Central #Greece, the Greek Fire...
Wakuu habari za muda,
Nimeshangazwa sana kuona sasa kamanda mkuu wa majeshi ya Urusi sasa anapokea amri kutoka kwa kamanda wa kikundi kidogo cha Wagner Group amacho sio jeshi rasmi ni kikundi...
Kwa muendekezo wa hivi vita asilimia kubwa ya wataalamu wa hizo mazana matukufu ni Watakatifu Wamerekani wanaobonyeza.
Remote control kwenye mazana yao ya high technology. Baada ya UKRAINE kupata...
Baada ya kuendelea kupokea kichapo heavy kutoka kwa Urusi sasa Ukraine wameamua kutimua kamanda wao wa Jeshi!
Kwangu naona kama hii ni dalili mambo hayaendi sawa kwa hawa vibaraka wa West!!
NB...