International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Na Caroline Nassoro Mkutano mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC utafanyika tarehe 16 Oktoba hapa Beijing. Lakini kabla ya kufanyika kwa Mkutano huo, ikiwa sasa watu wa China...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Donald Trump anakuwa rais mstaafu wa kwanza wa Marekani kushitakiwa, baada wazee wa mahakama ya Manhattan jijini New York kupiga kura ya kumshitaki Trump Trump anatuhumiwa kumlipa hela, Stormy...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Mzee Kenneth Kaunda ndiye Rais wa kwanza wa Zambia baada ya kupata Uhuru kutoka kwa Waingereza. Aprili 28,2021 Kiongozi huyo mstaafu na Mzalendo wa hali ya juu Afrika atatimiza umri wa miaka 97...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Finland officially joins NATO, as Russia says it may have to respond Finland shares a 1,340km (832-mile) border with Russia, so its entry will more than double the size of NATO's border with the...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Mkuu wa kampuni binafsi ya ulinzi nchini Urusi, Wagner yenye vikosi vya mamluki vinavyopambana dhidi ya Ukraine, ametahadharisha kwamba Urusi iko katika nafasi mbaya kwenye eneo la mji wa...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Serikali ya Australia imebainisha kuwa itachukua maamuzi hayo kwa sababu za kiusalama, ikiunga na Marekani, Ufaransa na Uingereza ambazo nazo zimechukua maamuzi kama hayo. Katazo hilo linatokana...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump (76) atasafiri kutoka Florida kwa ndege yake binafsi kuelekea New York kisha kujisalimisha kwa mamlaka za Usalama ambapo anatarajiwa kufikishwa Mahakamani...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama huamini kwamba Kiongozi anatakiwa kuabudiwa, hauwezi kuishadadia Urusi. Kama wewe unaamini kila mtu ana haki ya kuelezea hisia zake bila ya kutishwa na dola, huwezi kuishabikia Urusi. Kama...
18 Reactions
105 Replies
3K Views
Greatest Threat to the USA is Peace. By: Chua Chin Leng Date: 24-March-2023 The greatest threat to the USA is not China, but Peace. Peace in the world would bring an end to the evil American...
12 Reactions
17 Replies
2K Views
China ni nchi inayo ongozwa na chama cha kikomunisti. Chama cha kikomunisti sio chama pekee kilichopo katika nchi ya China bali kuna vyama vingine nane ukiondoa chama cha kikomunisti. Vyama hivi...
2 Reactions
133 Replies
5K Views
Chama tawala cha South Africa cha ANC kimesema kuwa kimewatuma maafisa wake kwenda Russia ku-discuss na chamade tawala cha Urusi juu ya kurekebisha 'global order' ili mataifa yawe huru kufuata...
11 Reactions
25 Replies
2K Views
Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Bi. Nikki Haley amejiuzulu wadhifa wake hivi punde. Taarifa rasmi kutoka Ikulu ya White House zinatabanisha hapa katika viunga vya UN, kuwa Rais Donald...
1 Reactions
56 Replies
6K Views
Takriban watu sita wamefariki dunia, na wengine kadhaa hawajulikani walipo, baada ya boti kuzama katika upepo mkali Ziwa Kivu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Boti hiyo ilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Pamoja na madhaifu ya Trump yaliyokuwa yakishindiliwa na hata kuongeza chumvi lakini vyombo vya habari vilikuwa havitipoti mazuri aliyokuwa akiyafanya, hii ilifanya watu wengi sana hasa walio nje...
1 Reactions
11 Replies
894 Views
Muungano huo ukiongozwa na Saudi Arabia utapunguza kiasi cha Mapipa Milioni 1.5 kila siku kuanzia Mei 2023 huku ukiita hatua hiyo ni ya tahadhari na inayolenga utulivu wa soko. Saudi Arabia...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Maafisa wa eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamesema maporomoko ya ardhi ya Aprili 2, 2012 asubuhi yamesababisha takriban vifo 19, huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka...
0 Reactions
2 Replies
736 Views
Supapawa anatapatapa, kalemazwa na kainchi kadogo. "We have new information that Russia is actively seeking to acquire additional munitions from North Korea," said White House national security...
11 Reactions
146 Replies
7K Views
Kitendo cha Wanahabari hao wawili wanaoripoti katika magazeti ya Ufaransa ni mwendelezo mbovu wa uhusiano kati ya Serikali za mataifa hayo. Waandishi hao ni Sophie Douce na Agnes Faivre ambao...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais wa Madagascar amemfukuza kazi waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo kwa sababu alipiga kura kuunga mkono azimio la Umoja wa Mataifa linalolaani kura za maoni za Urusi kuchukua sehemu za ardhi...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Karibu tujifunze siasa za China katika hii thread. Upi utofauti wake katika kuingia katika mfumo wa siasa zao, muundo wa siasa zao, namna viongozi wanavyo patikana katika mfumo wao. Thread hii...
4 Reactions
138 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…