DRC: Maporomoko ya Ardhi yaua takriban watu 19

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,026
1,622
Maafisa wa eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamesema maporomoko ya ardhi ya Aprili 2, 2012 asubuhi yamesababisha takriban vifo 19, huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka

Huku jitihada za uokozi na kuwatafuta manusura zikiendelea, imeelezwa kuwa Wanawake takriban 25 na Watoto waliokuwa wakifua kwenye mto ulio chini ya Mlima wamefukiwa na vifusi baada ya ardhi kuporomoka chini yao


................

A landslide killed at least 19 people in the eastern Democratic Republic of Congo on Sunday, residents and local officials in the region said.

The disaster occurred in the late morning in the village of Bulwa, in North Kivu's Masisi territory, according to Chadrack Mbukanirwa Ndibanja, one of the village leaders.

He said at least 19 people had died in the landslide, with the search for more victims due to continue on Monday.

Alphonse Mushesha Mihingano, a local administrator, confirmed that 19 bodies had been retrieved but emphasised that the death toll was provisional.

He said around 25 mothers, with their children, had been doing laundry in a stream at the foot of a mountain when ground gave way, burying some of them.

Bulwa resident Musafiri Balume gave a similar account, saying he had lost a sister in the landslide, which occurred during heavy rains.


Source: BBC
 
Yatakuwa mabomu hayo yamesababisha
Huko si ndio kwenye vita na UN wapo pia?

Itakuwa imesababishwa na vita tu
Screenshot_20230403_091930_Maps.jpg
 
Back
Top Bottom