International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wakati MK254 akimtukana na kumshambulia Rais Putin kila siku, yeye aamua kumjibu kwa vitendo kwa kupeleka mbolea bila malipo nchini Kenya na gharama za usafiri italipia Russia yenyewe ili...
15 Reactions
46 Replies
3K Views
China yaendelea kuomba isije ikaeleweka vibaya, imejitetea mara kadhaa sasa kwamba haijawahi kuwa na nia ya kutoa misaada ya silaha kwa Urusi...... Aisei Mrusi analo....Kwa sasa hivi hata fununu...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Hii itakua habari mbaya kwa wayahudi weusi tayari huyu jamaa keshaliwa kichwa sahivi yupo kuzimu huko. Media coverage: "Maj. Bar Falah, 30, the deputy commander of the Israeli army's elite Nahal...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Rais Joe Biden wa Marekani amesema jeshi la Marekani likiwa na ndege 6 za kijeshi za kubeba mizigo limewaondoa maafisa wa ubalozi na familia zao kutoka Sudan mpaka eneo la Siri nchini Ethiopia...
0 Reactions
0 Replies
572 Views
[emoji1130]/[emoji635][emoji845]BREAKING: U.S. Government-funded think tank RAND claims that Iran will be receiving 60 Su-35's from Russia This is more than double the amount that was initially...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Najua watutsi kote eneo la maziwa makuu watapinga kwa nguvu ila huu ndio ukweli. Ili kutatua tatizo la ukosefu wa amani mashariki ya congo ni lazima kwanza kuung'oa utawala wa kitutsi unaoongozwa...
11 Reactions
36 Replies
3K Views
Takribani wanajeshi elfu kumi (10000) wa Urusi wamejisalimisha kwa Ukraine kutoka mwezi wa tisa-2022, baada ya Ukraine kuanzisha kampeni inayojulikana kama nataka kuishi ambapo askari hupiga au...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
sudani si shwari tena. sio mzuri wa makala ila kiukweli uwezi kuwa na fisi wawili kwenye zizi moja.tatizo lilianza kwa bashiri . ARF NA JESHI LA SUDANI ndio mwendo wa simba na yanga
0 Reactions
1 Replies
739 Views
Msemaji wa Serikali Patrick Muyaya amesema Rais Paul Kagame ana lengo la kumdhoofisha Rais Tshisekedi kwenye Uchaguzi ili aendelee kufanya uporaji wa madini kwenye maeneo yenye migogoro Muyaya...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Yaani breaking news :Fox news in number one for 10 years (msnbc plus CNN plus HLN combined haifikii fox news) hata hapa kutwaa mpo obsessed with Fox news .Hamlalii haha Obama amejitahidi wewe...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ndege ya Urusi Antonov An-124 RA-82078 ambayo iliyozuiwa kuondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Toronto Pearson kwa zaidi ya mwaka mmoja itapelekwa Ukraine. Ikiendeshwa na Shirika la Ndege la...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Tukio limetokea Mji wa Pietermaritzburg katika Jimbo la KwaZulu-Natal, kati ya waliouawa Wanawake ni saba na Wanaume watatu. Ripoti ya awali ya Polisi imeeleza watu wenye silaha wasiojulikana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani, hapa chini nimekuwekea video inayoonesha nini wanafunzi wanakula wakiwa shuleni kutoka mataifa mbalimbali. Toa maoni yako kuhusu video hiyo.
0 Reactions
2 Replies
697 Views
Mapigano mengine makali ya wenyewe kwa wenyewe yameibuka nchini Sudan.Safari hii ni kati ya general Abdel Fattah al-Burhan ambaye ndiye kiongozi wa nchi hiyo kwa sasa na mkuu wa jeshi. Mpinzani...
8 Reactions
180 Replies
11K Views
Rescuers work outside a restaurant following a fire, in Madrid, Spain. Two men died and 10 others were injured after a fire at a restaurant in the Spanish capital Madrid, emergency services said...
0 Reactions
0 Replies
345 Views
Ndege ya Kivita aina ya Su-34 imeupiga mabomu mji wa Belgorod ndani ya Urusi yenyewe kimakosa na kusababisha watu 3 kujeruhiwa sana. Mlipuko Mkubwa ulisikika umbali wa Kilometa 11 na moshi mkubwa...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Ukraine imepangua mashambulizi 47 juzi huku siku zikitimia 400 tangu Urusi ijiingize kwenye huu msala.... Kiev, Mar. 31, (dpa/GNA) - Ukrainian troops defeated several simultaneous Russian attacks...
8 Reactions
45 Replies
2K Views
Kwa ambavyo Urusi imepoteza wanajeshi kisa kugombania kamji ka chumvi, ni dhahiri hivi vita Putin amedhamiria hata kama itabidi kuzamisha nchi, hivyo imebidi Ukraine wajiandae kuua Warusi kwa...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Maandamano yalizuka katika Jiji la Kansas, Missouri, mwishoni mwa juma baada ya mwenye nyumba kumpiga risasi mbili kijana mweusi ambaye aligonga kengele ya mlango wao kimakosa. Ralph Yarl mwenye...
10 Reactions
75 Replies
7K Views
Hizi drone ni moto wa kuotea mbali zina uwezo mkubwa wa kuchakaza na kushambulia na zina speed kubwa sana yaan babkubwa [emoji1130] BREAKING: Iran receives delivery of new & updated suicide...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…