International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Raia wa Uchina anayefanya kazi katika mradi wa umeme wa maji amekanusha madai yaliyotolewa na wafanyikazi wenzake wakidai alikufuru kwa kutoa maneno ya kashfa kwa Mungu na Mtume Mohammed hali...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Idadi ya Nchi zinazowahamisha raia wake kutoka Sudan inazidi kuongezeka kutokana na mapigano yanayoendelea kuwania madaraka katika Jiji la Khartoum. Baadhi ya mataifa yanayoondoa raia wake ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Fox News, kampuni kubwa ya habari huko Marekani ya mrengo wa kulia imekubali kulipa kitita cha dola za Kimarekani milioni 787 kwa kampuni ya Dominion Voting Systems inayohusika na kutoa huduma za...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Walianza kama utani kulaumiana nani kaboronga kwenye shughuli ambayo imekwama kwa sasa, ghafla wakaanza kufyatuliana risasi na baadhi kuuawa maeneo ya Stanytsia Luhanska. Nasemaje!!! Safi sana...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Tangu Urusi iivamie Ukraine mwezi February mwakajana bila uhalali wa sababu, wananchi, hata wale ambao mwanzoni waliona maamuzi hayo ya Putin hayawagusi moja kwa moja, sasa taratibu kila mmoja...
22 Reactions
145 Replies
7K Views
Trump atiwa hofu na wasiwasi na muungano wa Iran, Saudia, China na Russia Trump atiwa hofu na wasiwasi na muungano wa Iran, Saudia, China na Russia Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwanasiasa mwingine akiri: Marekani iliunda kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) Apr 21, 2023 08:22 UTC [https://media] Mwanasiasa wa Marekani ambaye ametangaza nia yake ya kugombea katika uchaguzi...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Hizbullah: Tutatumia nguvu za kijeshi ikiwa Israel itachimba mafuta na gesi kabla ya kufikiwa mwafaka Oct 07, 2022 11:42 UTC [https://media] Mwakilishi wa Hizbullah katika Bunge la Lebanon...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Urusi ilibugi sana kwa kushindwa kutekeleza malengo ya kuiteka Kyev pale mwanzo, sasa kinachofata ni aibu tupu maana tayari wamekwama Bakhmut, wameshindwa kuteka hako kamji licha ya kupoteza...
12 Reactions
122 Replies
8K Views
Katibu Mkuu wa Nato, Jens Stoltenberg, amesema nchi zote wanachama zimekubaliana kwamba hatimaye Ukraine itajiunga na muungano wa kijeshi unaovuka Atlantiki pindi vita vitakapomalizika, kabla ya...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Marekani imekuwa ikijaribu kuzuia maendeleo ya nchi inazozihofia kwa kuziwekea vikwazo kwa matumaini kwamba zitadhoofika kiuchumi na kuzifanya zisiendelee kijeshi hata kuzifanya zisiwe tishio...
8 Reactions
9 Replies
1K Views
Hii ni Timu ya HESABU ya US iliyoishinda Timu ya China. Know what If US Get bombed today kilio kitagusa kila kabila duniani. Kuna waSukuma watapoteza wapendwa wao, Waha, Wahaya, Wakurya Etc...
0 Reactions
0 Replies
485 Views
Maisha yanazidi kuwa magumu Urusi, jameni Putin ameliingiza taifa pabaya.. Putin's invasion of Ukraine IS a flop: Erectile dysfunction pill sales surge in Russia – with young men of conscription...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
March 28, 202 The Khazarian Mafia (KM) is a worldwide Organized Crime Syndicate that has deeply infiltrated and hijacked the political institutions of the World. The KM has especially gained...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Hii ndio orodha ya nchi tano zinazoongoza kwa uzalishaji wa dhahabu duniani. Pamoja na wanasiasa wa Tanzania hasa wale wa ccm kutudanganya hasa miaka ya nyuma kwamba na sisi tulikuwa miongoni mwa...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Msanii tajwa hapo juu kaponea chupu chupu jaribio la kutekwa na mpaka sasa watuhumiwa kadhaa akiwemo dereva wake mpya wako mikononi mwa police wakibinywa korodani. -- Popular singer, Tiwa Savage...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Kwa sasa hizi ndo ndege hatari zaidi duniani zinalinganishwa na F-35 za Marekani lakini ni zaidi ya F-35 IRAN YAMALIZA TARATIBU ZOTE ZA MANUNUZI YA NDEGE ZA KIVITA ZA URUSI Su-35. Bado haijatajwa...
7 Reactions
16 Replies
3K Views
Sakata la makasisi na kulawiti na kunajisi watoto 600 lautia doa Ukatoliki, hali ni mbaya sana [emoji1313][emoji1313][emoji1313]. Makasisi wanajisi watoto 600, dhoruba ya mahakama yatikisa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Picha halisi ya sura ya familia ya kifalme ya Uingereza katika kitabu "Spare" Feb 09, 2023 Leo kitatupia jicho sura ya familia ya kifalme ya Uingereza katika kitabu cha Spare. Kitabu cha...
5 Reactions
3 Replies
1K Views
Naona Beijing wameamua kusambaza upendo na kumaliza vita kila mahali sasa soon kuna mtu machumachuma yake hapo West yatamdodea [emoji599] China offers to mediate between Israel and Palestinians...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…