China offers to mediate between Israel and Palestinians

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Naona Beijing wameamua kusambaza upendo na kumaliza vita kila mahali sasa soon kuna mtu machumachuma yake hapo West yatamdodea

[emoji599] China offers to mediate between Israel and Palestinians. [emoji1134][emoji630][emoji1193]

China is highly concerned about heightened Israeli-Palestinian conflict and favours the two sides resuming peace talks as soon as possible, Foreign Minister Qin Gang said on Monday. [emoji630]

Mr Qin, in separate phone calls with his Israeli and Palestinian counterparts, said China is willing to play a constructive role in promoting peace in the region, according to statements posted by China's foreign ministry. [emoji3578]

[emoji3504] militarycognizance.com
 
Hao jamaa usije kuwaamini.

They never do things that are not on their benefits, CCP of China is trying to act like a peace broker is trying to consume superiority inajaribu kufanya majukumu ya usupa power

Anarukaruka tu, ameshindwa kusolve tatizo la Urusi na Ukraine, ameshindwa kuikemea urusi kwa matendo yake ya kuivamia ukrain, Xi amepeleka peace plan yake urusi lakini hamna alichokifanya.

Peace broker anamalumbano kila Kona ya nchi yake, ana malimbano na India, Vietnam, Philippines, Taiwan, Indonesia, kila kona.
 
Hao jamaa usije kuwaamini,

They never do things that are not on their benefits,
CCP of China is trying to act like a peace broker is trying to consume superiority inajaribu kufanya majukumu ya usupa power

Anarukaruka tu, ameshindwa kusolve tatizo la Urusi na Ukraine, ameshindwa kuikemea urusi kwa matendo yake ya kuivamia ukrain, Xi amepeleka peace plan yake urusi lakini hamna alichokifanya.

Peace broker anamalumbano kila Kona ya nchi yake, ana malimbano na India, Vietnam, Philippines, Taiwan, Indonesia, kila Kona....,
China ana ugomvi na jirani zake especially India, mbona asimalize kwanza matatizo ya nyumbani?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Hao jamaa usije kuwaamini.

They never do things that are not on their benefits, CCP of China is trying to act like a peace broker is trying to consume superiority inajaribu kufanya majukumu ya usupa power

Anarukaruka tu, ameshindwa kusolve tatizo la Urusi na Ukraine, ameshindwa kuikemea urusi kwa matendo yake ya kuivamia ukrain, Xi amepeleka peace plan yake urusi lakini hamna alichokifanya.

Peace broker anamalumbano kila Kona ya nchi yake, ana malimbano na India, Vietnam, Philippines, Taiwan, Indonesia, kila kona.
Sasa mkuu ni yupi bora anaye patanisha watu walio kosana kwa maslahi yake au mtu anaye hamasisha vita kwa maslahi yake?!

NB: Hakikisha umejibu kwa kutumia akili.
 
Hao wavimba macho ni wasanii tu hawana lolote. Charity begins at home. China is a dictatorship, the Chinese people have never been allowed to elect leaders of their choice.

Xi and his henchmen have imposed themselves on the people of China and are ruling that country with an iron fist.

Dictator Xi Jing Ping is playing a role of an avuncular to the Chinese society and whose people he is reigning like a medieval monarch with absolute power.

China's attempt to assume the role of a mediator to some hostile countries seems to be nothing but a mere hypocrisy bearing in mind the territorial disputes the communist state is having with several of its neighbours and which it has failed to resolve.
 
Unaposema neno "masilahi yake" unaelewa maana yake kwa selikari ya CCP?

Maana yake hata mkifa kama China na selikari ya CCP inafaidika na vifo vyenu yenyewe haina shida na wala haitojihusisha.

China imehusika na usambazaji na uuzwaji wa madawa ya kulevya aina ya fentanyl kupitia Mexico kwenda marekani. Vidonge vunazalishwa kwa wingi China na selikari ya CCP inalijua hili, vinaharibu vijana watu wanawehuka kwa kutumia madawa haya ya kulevya na wengine wanakufa lakini kwakuwa CCP na China kwao vina masilahi wenyewe wanaona poa tu,

Hiyo ndio maana ya masilahi kwa China na ccp
 
nan anahamasisha vita ? kahamasisha vita wap ? na tupe ushaidi pia alivyohamasisha
 
Hao jamaa usije kuwaamini.

They never do things that are not on their benefits, CCP of China is trying to act like a peace broker is trying to consume superiority inajaribu kufanya majukumu ya usupa power

Anarukaruka tu, ameshindwa kusolve tatizo la Urusi na Ukraine, ameshindwa kuikemea urusi kwa matendo yake ya kuivamia ukrain, Xi amepeleka peace plan yake urusi lakini hamna alichokifanya.

Peace broker anamalumbano kila Kona ya nchi yake, ana malimbano na India, Vietnam, Philippines, Taiwan, Indonesia, kila kona.
Urusi na china wako pa1 na ukrein kuvamiwa kwa China ni poa urusi ashinde na China & urus wataleta usawa dunian mda si mrefu maana UN ni kama CCM kwa tz..
 
.
Screenshot_20230309-174106.jpg
 
Urusi na china wako pa1 na ukrein kuvamiwa kwa China ni poa urusi ashinde na China & urus wataleta usawa dunian mda si mrefu maana UN ni kama CCM kwa tz..
duh waafrikq ndio maana hatuendelei mahana ndo yanaamua tuongee lipi , mpk sass China ndo anatawa afrika tunaona anavyopora airports na ports za nchi nying za afrika hlf yupo mswahili anasema china ndo italeta usawa dunian
 
Unaposema neno "masilahi yake" unaelewa maana yake kwa selikari ya CCP?

Maana yake hata mkifa kama China na selikari ya CCP inafaidika na vifo vyenu yenyewe haina shida na wala haitojihusisha.

China imehusika na usambazaji na uuzwaji wa madawa ya kulevya aina ya fentanyl kupitia Mexico kwenda marekani. Vidonge vunazalishwa kwa wingi China na selikari ya CCP inalijua hili, vinaharibu vijana watu wanawehuka kwa kutumia madawa haya ya kulevya na wengine wanakufa lakini kwakuwa CCP na China kwao vina masilahi wenyewe wanaona poa tu,

Hiyo ndio maana ya masilahi kwa China na ccp
Chai.

Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
 
Hao jamaa usije kuwaamini.

They never do things that are not on their benefits, CCP of China is trying to act like a peace broker is trying to consume superiority inajaribu kufanya majukumu ya usupa power

Anarukaruka tu, ameshindwa kusolve tatizo la Urusi na Ukraine, ameshindwa kuikemea urusi kwa matendo yake ya kuivamia ukrain, Xi amepeleka peace plan yake urusi lakini hamna alichokifanya.

Peace broker anamalumbano kila Kona ya nchi yake, ana malimbano na India, Vietnam, Philippines, Taiwan, Indonesia, kila kona.
Ndyo upeo wako wa kufikiri umeishia apo pole sana kama ameweza kuipatanisha Irani na saudia, Yemen na Saudi, bahrn na Quter, Syria na nchi zote jirani zilizomtengaga basi ndyo ujue mambo hubadilika marekani najua hatakubali makubaliano yoyote ya Israel na palestina ila jua kwamba ushawishi wa China ndyo unaendea polepole kama kinyonga kama haendi vile ila ndyo anasogea

Kuwa mnunuzi mkubwa wa mafuta duniani kumetoa fursa ya kuongeza ushawishi wake kwenye nchi izoo tutaona mengi mbeleni maana ata ukrein lazima ataongea na China ili kufungua njia ya mazungumzo na Russia ngoa iyoo counter offensive ifanyike, shida ya watu hampendi kukubali
 
Hao wavimba macho ni wasanii tu hawana lolote. Charity begins at home. China is a dictatorship, the Chinese people have never been allowed to elect leaders of their choice.

Xi and his henchmen have imposed themselves on the people of China and are ruling that country with an iron fist.

Dictator Xi Jing Ping is playing a role of an avuncular to the Chinese society and whose people he is reigning like a medieval monarch with absolute power.

China's attempt to assume the role of a mediator to some hostile countries seems to be nothing but a mere hypocrisy bearing in mind the territorial disputes the communist state is having with several of its neighbours and which it has failed to resolve.
Angalia hii mtu kuna nchi ngapi hii dunia hawafanyi election na maisha yanakwendaa vizurii tu acha kuwa mjinga wakati ulipata elimu sahihi ulishaona wanaandamana kutaka mabadiliko ya kiutawala China siyo ya Leo ilianza miaka iyoo na ilikuwa chini ya mfalme ndyo itakuaa saivi nyie ambao hamjui historia yenu zaidi ya hii ya Uhuru unaifananisha na china
 
Back
Top Bottom