International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kuna sehemu nimeona Putin amelazimika kuita kikao cha ghafla maana haimuingii akilini namna wanajeshi wake wanaachia maeneo na kuikimbia moto wa Ukraine.....yaani haelewi ukifanya mchanganyiko wa...
3 Reactions
4 Replies
903 Views
Soko la rejareja limekuwa sababu ya kuwavutia Matajiri wengi kutokana na kuongezeka kwa wateja wanaotumia bidha tofauti tofauti ,imekuwa ndiyo sababu kuu ya kuongezeka kwa nembo za kigeni nchini...
0 Reactions
1 Replies
932 Views
Utawala wa Taliban wa Afghanistan Jumatano umepiga marufuku vyama vyote vya kisiasa nchini humo ukisema kuwa ni kinyume cha sheria za kiislamu au Shariah. Tangazo hilo limefanywa baada ya...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Watu watano wa familia moja ,baba, mama na watoto watatu wamefariki dunia kwa kula chakula chenye sumu iliyotokana na mdudu mwenye sumu jamii ya mjusi aliyedondokea kwenye chakula. Tukio hilo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ni orodha ya mataifa kumi yanayoongoza kwa viwanda barani Afrika. https://thenationonlineng.net/nigeria-among-10-most-industrialised-countries-in-africa/
1 Reactions
0 Replies
804 Views
Mahakama ya Juu imetoa kibali cha uchunguzi huo kutokana na tuhuma zilizoibuliwa kuwa Kiongozi huyo alifanya ubadhirifu wa Fedha, Madini na Zawadi alizopokea kwa niaba ya Serikali wakati akiwa...
1 Reactions
1 Replies
816 Views
Taarifa zilizopatikana mida hii zinasema kuwa Marekani imefanikiwa kumuua Kiongozi wa Al Qaeda, Ayman al Zawahiri katika shambulio lililofanyika huko Afghanistan Al Zawahiri alichaguliwa kuwa...
9 Reactions
98 Replies
10K Views
Takriban watu 1,400 wameripotiwa kufa kwa njaa katika eneo la Tigray, tokea Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa, WFP kusitisha Misaada ya Chakula nchini humo Aprili, 2023 baada ya kubaini kuwa...
1 Reactions
4 Replies
940 Views
Vita huja kwa ajili ya kuokoa wengi wasijeumizwa na wengine,majeshi yapo kwa ajili ya ulinzi wa mataifa Yao ili yasivamiwe na wakorodi. Ingawa Ni kweli, toka zamani vita zilitumika kuleta usawa...
9 Reactions
17 Replies
3K Views
Baada ya Umoja wa Kiuchumi wa Nchi za Africa ya Magharibi ECOWAS kuidhinisha Niger kuvamiwa Kijeshi, Tayari vikosi vya Ulinzi na Usalama vya Umoja huo vimeanza kusogeza Majeshi yake mipakani mwa...
16 Reactions
108 Replies
9K Views
Picha 1: Eneo ambalo ndege imeanguka Watu takriban 10 wamepoteza maisha baada ya ndege ya kukodisha kuanguka kwenye barabara kuu kaskazini mwa Kuala Lumpur siku ya Alhamisi. Ndege hiyo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Baada ya Transmission Company of Nigeria (TCN) kusitisha kusambazia umeme Niger, Algeria yatangaza kuipa Niger Umeme Bure. Wakati huo huo, za chini chini ni kuwa Urusi inataka kujenga kinu cha...
15 Reactions
20 Replies
2K Views
In the small hours of 13 August, a Russian ship opened "warning" fire on the Sukru Okan, a bulk carrier which was heading for the port of Izmail in Odesa Oblast, Ukraine, under the flag of Palau...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Warusi wanaendelea kupelekewa moto na kukimbia maeneo yanayokombolewa. Hanna Maliar, Deputy Defence Minister of Ukraine, has reported that Ukrainian defenders have liberated the village of...
0 Reactions
9 Replies
970 Views
Katika miaka ya hivi majuzi, mauaji ya kufyatua risasi yamezidi kuwa ugonjwa sugu wa kijamii nchini Marekani. Wakati huo huo, Marekani inasafirisha maafa haya kwa nchi nyingine duniani kupitia...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Huu ndio ukweli ila wale wafuasi wake Watapinga. Idadi ya Watu wanaozaliwa China imepungua kuliko vifo. Idadi ya Wazee inazidi kuongezeka Ukuaji wa Uchumi wake Umepungua sana. Shida ya Kisiasa...
12 Reactions
93 Replies
7K Views
Mr X is a Congolese man who was living in Dar es Salaam, Tanzania. In early June 2006, he lost his passport. He went to the Tanzanian police to register the loss of his passport and to the DRC...
4 Reactions
100 Replies
3K Views
Hii ndio habari ya hivi karibuni Bado ya moto. Mda wowote Niger atapokea kichapo kutoka ECOWAS,wanasubiriwa Wakuu wa Nchi watoe ruhusa. -- Wakuu wa jeshi la Afrika Magharibi wamesema wako tayari...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Gazeti la kila siku la Ufaransa 'Le Figaro' liliripoti ya kwamba Marekani "imefanya kinyume kabisa na kile tulichofikiri wangefanya. Paris inahofia kwamba Washington inaweza kufikia makubaliano...
13 Reactions
19 Replies
3K Views
MAMLAKA YA KUFICHUA UOVU Mathayo 10:926-28 26 Basi, msiwaogope, kwa maana hakuna neno lililositirika, ambalo halitafunuliwa; wala lililofichwa, ambalo halitajulikana. Mathayo 10:26 27...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…