Baada ya Nigeria kuikatia umeme Niger, Algeria wako tayari kuwapa umeme bure

political monger senior

JF-Expert Member
Nov 26, 2020
1,801
5,788
Baada ya Transmission Company of Nigeria (TCN) kusitisha kusambazia umeme Niger, Algeria yatangaza kuipa Niger Umeme Bure. Wakati huo huo, za chini chini ni kuwa Urusi inataka kujenga kinu cha umeme wa Nuclear Niger.

1692278377029.jpg
 
View attachment 2720784
Huo ni mchakato sio jambo la siku moja au mwezi moja zaidi ya mwaka kuja kuweka miundombinu ya kufikisha umeme kwao.
 
Mwamba Putin ndani ya nyumba!! Upinde France itabidi arudi kwanza Europe kudiscuss na wenzie
 
Back
Top Bottom