International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Nguvu ya mashambulizi ya Israel imeonekana hapo jana na mapema leo, ambapo mashambulizi ya ndege za kivita yameendelea usiku kucha huko Gaza ambako tayari eneo kubwa limekuwa kifusi. Sambamba na...
10 Reactions
190 Replies
16K Views
Hali inazidi kuwa mbaya kwa wafuasi wa iblis Wakati wa ziara yake ya kutembelea msikiti mjini Toronto, Waziri Mkuu wa Canada amezomewa na hadhirina kotokana na msimamo wake kuhusu mauajii...
0 Reactions
4 Replies
894 Views
Mahakama ya juu ya Nigeria Alhamis imethibitisha ushindi wa rais Bola Tinubu na kufikisha mwisho wa kesi iliyofunguliwa na wapinzani wake wawili, ambao walisema ushindi wake uligubikwa na makosa...
0 Reactions
1 Replies
669 Views
Wasanii wa kada zote nchini Uiengereza wanaozidi elfu mbili wamesaini waraka kuonesha kukerwa kwao na ukatili wa Israel kwa wapalestina. Wasanii hao ni pamoja na Tilda Swinton, Steve Coogan...
5 Reactions
57 Replies
5K Views
Wadau na Wanzazuoni wote. Nimeweka nukuu kutoka sura 17 ya Quran tukufu: 17:2 - Na tukampa Musa Kitabu, na tukakifanya uwongofu kwa Wana wa Israili. (Tukawambia): Msiwe na mtegemewa ila Mimi...
0 Reactions
3 Replies
576 Views
Ujerumani inampango wa kuanza kuwarudisha kwao wahamiaji waliotoka nchi za kiislamu nchini kwao haya yamejili baada ya channellor wa ujerumani kutembelea nchi ya Israel na kushuhudia mauji ya...
18 Reactions
157 Replies
12K Views
Upon completion, the Dangote oil refinery will have the capacity to refine 650, 000 barrels of crude oil a day making it Africa's biggest oil refinery and the world's biggest single-train...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
On October 8, thousands of young people took to the streets of Lagos to call for the dissolution of the Special Anti-Robbery Squad (SARS), an infamous police unit accused of extortion...
0 Reactions
1 Replies
644 Views
https://www.instagram.com/p/CytxASppZGn/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== https://www.instagram.com/p/Cyttef9pL-Z/?igshid=MzRlODBiNWFlZA== Wavamizi wa kiyahudi wakifanya yao, huku wanauwa watoto...
0 Reactions
1 Replies
497 Views
MAMLAKA nchini Korea Kaskazini zinadaiwa kuwalazimisha wasichana na wanawake wanaoshiriki jina moja na binti wa kiongozi wa taifa hilo Kim Jong Un, Ju Ae, kubadilisha majina na kuwa na majina...
11 Reactions
49 Replies
4K Views
Shirika la OXFAM ambalo linatoa Misaada mbalimbali ya kibinadamu huko Gaza limesema Njaa na Kiu inatumika kama silaha za Vita Hali ni mbaya sana kuliko unavyoweza kufikiria Source Al jazeera news
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Kwa mara ya mwanzo tangu mashambulizi ya Hamas nchini Israel amiri wa Qattar ameitahadharisha jumuiya ya kimataifa kuwa isiendelee kuiacha Israel iuwe watu kama inavyopenda huko Gaza. Sheikh...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Hizbullah yafanya mazoezi ya kijeshi kusini ya Lebanon ya kujiandaa na vita na Israel May 22, 2023 11:41 UTC [https://media] Vikosi vya Hizbullah ya Lebanon vimefanya mazoezi maalumu ya kijeshi...
11 Reactions
59 Replies
6K Views
Poleni sana wahanga, mara radi mara mabomu ya Israel https://www.youtube.com/watch?v=FZNyigarxoI
0 Reactions
55 Replies
4K Views
Wanasema uzee dawa na ni kuona mengi katika maisha ya ubinadamu. Nakumbuka miaka hiyo ya 1965, nilikuwa kijana mdogo kabisa na nikifuatilia kwa karibu mzozo wa Mashariki ya Kati. Nilibahatika...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Takriban watu 22 wameuawa kwa kupigwa risasi huko Lewiston, Maine na watu 50-60 kujeruhiwa katika maeneo mawili tofauti: uchochoro wa mpira wa miguu na baa. Robert Card, askari wa...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Mapigano yanaendelea kwenye mpaka wa Israel na Lebanon, ambapo hadi dasa wanamgambo 40 wa hezbollah wameuawa. Source: CRI Kiswahili
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Sikupenda kujiingiza kwenye mjadala juu ya ugaidi na mauaji ya kimbari vinavyotokea Gaza, ila kinachoendelea kinatisha. Sikupenda kwa sababu Waafrika yanapotukuta haya, huwa wenzetu hawajali...
8 Reactions
99 Replies
7K Views
Rais Jinping amemfuta Kazi Waziri wa Ulinzi Li Shangfu bila kueleza sababu Baraza la Mawaziri la China litaendelea kufanyiwa mabadiliko kulingana na wakati tulionao, amesema Rais Jinping -----...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amepongeza msimamo ulioonyeshwa na Russia na China katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na hatua hayo ya...
2 Reactions
4 Replies
764 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…