International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Trump alijaribu kutuma Kikosi cha Wanamaji cha Marekani kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz wakati wa mazungumzo nchini Pakistani. Iran ilisema haikujali mazungumzo na ingeilipua meli. Kisha Trump...
6 Reactions
6 Replies
561 Views
Taarifa zinazosambaa kwamba Marekani imekubali kuilipa Iran dola bilioni 6 ni propaganda za zinazorejelea tukio la zamani lililotokea Septemba 2023 kipindi Biden akiwa Rais wa Marekani. Dola...
3 Reactions
7 Replies
220 Views
Kuna kila sababu ya marekani kupotea kwenye ramani ya super power na ushawishi wake kwenye maswala ya kidiplomasia duniani ikiwa haitoweza kuipigisha Iran magoti. Katika hii vita tumeona na...
3 Reactions
47 Replies
1K Views
Wanaukumbi. 🚨 MABADILIKO MAKUBWA KATIKA NGUVU YA DUNIA: BRICS sasa inaivutia Jumuiya ya Kiarabu Balozi wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu nchini Urusi, Walid Hamid Shiltag, anasema BRICS inaonekana...
1 Reactions
17 Replies
346 Views
Magaidi wa Hezboullah huko Lebanon toka jana na leo wamegaragazwa vibaya sana, wengi wa makamanda wao wameuwawa pamoja na wapiganaji wao. Picha hizi ni baadhi tu ya makamanda wao waliouliwa...
2 Reactions
44 Replies
741 Views
Niaje waungwana Naona Netanyahu kawekwa mtu kati 🤣🤣🤣🤣 Akienda mbele nchale ( Iran ) Akirudi nyuma nchale ( Hezbollah ) Akikaa nchale ( Houthis ) Muona mbali, na mjuzi wa mambo ya vita...
9 Reactions
31 Replies
1K Views
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alisema Israeli inaendelea kuishambulia Hezbollah "kwa nguvu, usahihi, na azma," akitangaza kumwondoa Ali Youssef Kharshi, katibu binafsi wa shirika la kigaidi la...
3 Reactions
27 Replies
515 Views
Kuna msemo wa kiingereza husema hivi "mpe mbwa wako jina baya, kisha umuue". Mnamo tarehe 8 mwezi huu Raisi wa Marekani Donald Trump ametangaza kwamba jeshi la mapinduzi la Iran, ambalo ni sehemu...
27 Reactions
80 Replies
10K Views
Tofauti na waziri wake wa ulinzi,Hegeseth,Trump yeye hajivungi tena kuhusu kushindwa vita alivyovianzisha na Iran. Wakati wa mahojiano hapo jana na mashirika ya habari.Trump amerudia kwa mara...
9 Reactions
19 Replies
541 Views
Wanaukumbi. 🇮🇱🇮🇷🇱🇧🇺🇸 Usitishaji mapigano uko karibu kuvunjika, Iran inajiandaa kuitenga Israeli kutoka kwa mchakato wa mazungumzo kutokana na shambulio kubwa dhidi ya Lebanon Iran yafunga...
8 Reactions
117 Replies
1K Views
Hebu msikilize huyu myahudi https://youtu.be/FWAk6JNTv0s?si=1hE0a49Ql33hDgAY
6 Reactions
92 Replies
1K Views
Roketi ya NASA ya kwenda Mwezini sasa iko rasmi kwenye eneo la kurushia roketi. Roketi hii kubwa ya NASA yenye urefu wa futi 322 iitwayo Space Launch System (SLS) imekamilisha safari yake ya...
6 Reactions
36 Replies
1K Views
Nimezungumza humu JF kuhusu Serikali kupiga Marufuku Dini. Basis kubwa ya dai hilo ni Unabii wa Biblia tafadhali soma Ufunuo Sura 17. Sura hiyo kwa lugha ya mfano inamtambulisha mwanamke kahaba na...
2 Reactions
28 Replies
636 Views
Wengi waliambiwa lakini hawakusikia. Rais wenu aliyekuwa ''mfano wa kuigwa wa Afrika'', tayari keshalewa madaraka. Nukuu: ''Demokrasia inaua na watu wa Burkina Faso lazima wasahau kuhusu hilo”...
15 Reactions
68 Replies
1K Views
Nimeshangaa mno na uwezo wa baadhi ya watu wanaoshabikia kuwa America amekubali masharti ya Iran, yaani ata vikao vya mazungumzo bado ila wabongo washa conclude. In my opinion Iran ni tough...
11 Reactions
53 Replies
1K Views
https://youtube.com/shorts/QXKmNjDbk9U?si=eo_ckgeSH-mDtbep Ujumbe ndio huo Iran anasema Israel kashambulia Iran lazima tufunge tena Hormuz hapa naona Iran anamtafuta Israel amtie adabu Hio ni...
8 Reactions
53 Replies
1K Views
🌲 - 🇱🇧🇱🇧 Chuo Kikuu cha Lebanon kilitangaza kifo cha Dkt. Ali Zeaiter, mkurugenzi wa Taasisi ya Sayansi ya Jamii - Tawi la 1. Zeaiter alikuwa mwanajeshi wa Hezbollah ambaye aluliwa asubuhi ya leo...
1 Reactions
1 Replies
95 Views
Jinsi ambavyo huwa naona hapa bongo watu wanavyogombania kazi za jeshini hadi wengine wanahonga, wanaenda kwa vimemo na wengine kutapeliwa huwa nashangaa sana jinsi jeshi la Marekani linvyoshindwa...
7 Reactions
52 Replies
1K Views
Kati ya mataifa 9 duniani yanayomiliki nyuklia, Marekani ndiyo taifa pekee lililowahi kutumia silaha za nyuklia katika vita kuishambulia nyingine. Mwishoni mwa Vita vya Pili vya Dunia Agosti...
8 Reactions
22 Replies
684 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…