International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mlipuko wa hivi karibuni wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo uko kwenye mkondo wa kupitisha mlipuko hatari zaidi wa ugonjwa huo kuwahi kutokea, alisema Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la...
2 Reactions
2 Replies
83 Views
Angalia mbinu iliyotumika kumlinda dhidi ya Iran. Julai 8, 2026, Rais Donald Trump alitolewa kwa siri Uturuki wakati wa mkutano wa NATO baada ya maafisa wa Marekani kubaini tishio linaloaminika...
11 Reactions
52 Replies
1K Views
Vitu vya Iran vimetua Ukraine https://youtu.be/_eX4qA8y1d8?si=qsxopyxvgp18eaXO
4 Reactions
13 Replies
643 Views
Iran ana nguvu za kijeshi according to some people, andiko langu sijaja kuzungumza ilo. Iran alifunga mlango bahari wa Hormuz kama kete ya kuiadhibu Dunia. Na alidhani Dunia itamnyenyekea. Iran...
11 Reactions
102 Replies
1K Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza ushuru wa hadi asilimia 100 kwa ndege zisizo na rubani (drones) zinazoagizwa kutoka nje ya nchi pamoja na baadhi ya vipuri vyake, hatua inayolenga...
2 Reactions
8 Replies
216 Views
Utawala wa Trump umeunda kikosi kazi cha kimataifa kinacholenga kupambana na biashara ya kinachoitwa "utalii wa uzazi" (birth tourism), kikilenga watu wanaotuhumiwa kutumia vibaya visa za Marekani...
1 Reactions
5 Replies
165 Views
Zoezi la kuhesabu kura linaendelea nchini Zambia baada ya Uchaguzi Mkuu wa jana Alhamisi, Agosti 13, 2026. Uchaguzi huo unatajwa kuwa kipimo cha imani ya wananchi kwa Rais Hakainde Hichilema...
2 Reactions
1 Replies
156 Views
Seneta wa Marekani, Ilhan Omar, ameshinda uchaguzi wa awali wa chama cha Democratic katika wilaya ya 5 ya Minnesota, baada ya kupata zaidi ya asilimia 80 ya kura. Ilhan Omar alishiriki uchaguzi...
7 Reactions
11 Replies
365 Views
Eighteen children, including a one-year-old girl, are among 44 people whose deaths have been confirmed following a boat accident on Lake Kariba in northern Zimbabwe. The Rural Infrastructure...
0 Reactions
0 Replies
51 Views
Ukianza kuelewa teknolojia hata kidogo lazima ujiulize maswali kadhaa kuhusiana na habari zao NASA... Mara ya kwanza 'wametua' mwezini miaka ya 1960... mawasiliano ya simu yalikuwa duni na hata...
5 Reactions
49 Replies
1K Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, anaripotiwa kuondoka nchini Uturuki kwa siri baada ya kuhudhuria mkutano wa NATO mjini Ankara mwezi uliopita. Hatua hiyo inadaiwa kuchukuliwa kutokana na wasiwasi...
4 Reactions
33 Replies
785 Views
The mood in Kariba has been one of grief and uncertainty as families gathered at Nyamhunga Stadium on Thursday to mourn victims of the ferry disaster on Lake Kariba. The recovered bodies were...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Shirika la habari la The Intercept na taasisi ya Freedom of the Press Foundation wamemshitaki Rais wa Marekani Donald Trump katika Mahakama ya Shirikisho jijini New York, wakimtumu kwa jaribio la...
2 Reactions
1 Replies
129 Views
Utawala wa Rais wa Marekani, Donald Trump, umekamilisha kanuni mpya zitakazozuia fedha za serikali kupitia Medicaid na mpango wa bima ya afya kwa watoto wa CHIP kutumika kugharamia baadhi ya...
1 Reactions
3 Replies
117 Views
Tazama jinsi roketi ya China ilivyolipuka muda mfupi baada ya kurushwa angani Roketi ya China, Long March 7A, ilishindwa kuendelea na kulipuka wakati wa kurushwa kwake Agosti 10 huko Wenchang...
0 Reactions
11 Replies
326 Views
Baadhi ya wanasiasa wa Marekani hivi karibuni walidai kuwekea vikwazo dhidi ya teknolojia ya Akili Bandia (AI) ya China, lakini wamekumbana na upinzani mkali kwanza kutoka kwa makampuni mapya...
1 Reactions
1 Replies
84 Views
Mamilioni ya watu kote barani Ulaya walishuhudia tukio la ajabu la kimaumbile siku ya Jumatano 12 August 2026, baada ya mwezi kupita katikati ya dunia na jua na kutumbukiza maeneo kadhaa ya bara...
0 Reactions
4 Replies
107 Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Eti ndugu zangu watanzania (wale tu mnaofuatilia siasa za kimataifa kwa muda mrefu kama mimi); Kwanini Russia ilishindwa kumtetea Saddam...
16 Reactions
202 Replies
23K Views
Breaking News: Vivian Ngek Nongseh and Maxwell Pavlovic Osondo: A Second Chance at Love as Cameroon and Nigeria Unite in a Powerful 2026 Wedding Yaoundé, Cameroon — July 25, 2026: Love, they say...
1 Reactions
0 Replies
59 Views
Bashar al-Assad, rais wa zamani wa Syria ambae yuko uhamishoni, amehukumiwa kifo kwa uhalifu uliotendwa wakati wa vita vya karibu miaka 14 nchini humo. Mahakama ya Jinai jijini Damascus imewatia...
1 Reactions
9 Replies
227 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…