International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Nchi ya China ndio nchi inayotengeneza na ku export karibu nusu ya bidhaa zote duniani, Sio magari, electronics, vifaa vya ujenzi na umeme na pia katika ujenzi wa miundombinu mingi duniani...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Vita vya Iran kwa Israel vimeanza rasmi kwa njia za awali kutumia mbinyo wa kiuchumi. Houth kutoka Yemen ambao ni washirika wa Iran walisema zamani kuwa wataifunga Homutz na Mediteranean na watu...
4 Reactions
77 Replies
4K Views
LIVE UPDATES: Jumatatu April 17, 2024 Njaa yatanda Sudan,manusura wa vita wasimulia madhila ya mauaji na ubakaji Raia walionaswa katika vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan wametoa maelezo...
0 Reactions
3 Replies
539 Views
Hili tukio la shambulizi la Mall huko Sydney Australia na kuuwa zaidi ya watu sita, siku linatokea tu wakaanza kutukana waislamu magaidi warudishwe toka nchi za West, hata picha ilipotoka wakaanza...
10 Reactions
6 Replies
754 Views
Pamoja na purukushani zinazoendelea sehemu mbalimbali za dunia za kuchokozana, kuvamiana na kubutuana siku za hivi karibuni uwezekano wa kutokea vita vikuu vya tatu vya dunia bado ni mdogo sana...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Vita ni kitu cha gharama Sana na ni mzigo Kwa dunia. Ebu piga hesabu Kwa usiku mmoja zimetumika USD kibao Kwaajili ya ulinzi Tu wa anga, Kwa mfano fighter jets za F-35 zilikuwa zinaruka hewani...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
Afisa muandamizi wa jeshi la Israel Brigedia Generali Reem Aminoach amelalamika kuwa "Muajemi" kaiingiza Israel kwenye hasara kubwa mno kwa shambulio lake la jana usiku ambalo limeifanya Israel...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Iran yazionya Marekani na Israel juu ya 'matokeo hasi makali' endapo jinai za kivita zitaendelea Gaza Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amezionya Marekani na utawala wa...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
BREAKING Iran's General Salami: "We want to create a new equation: from now on, any Israeli attack against Iranian assets, interests, personalities anywhere on the planet will be met with a...
8 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi mamia ya makombora, mizinga na drone zingeelekezwa kwa nchi ya Kiafrika, je kuna yenye uwezo wa kudungua kama ilivyofanya Israel? Yaani Iran imetumia nguvu zote hizo na kufanikiwa kumjeruhi...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Washington is reportedly worried about a major escalation fraught with “catastrophic consequences” US President Joe Biden has told Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu that Washington would...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
1. Zipo jitihada nyingi za kheri kuzuia Shari. Ugumu uliopo uko wazi: 2. Hata hivyo wanayo kheri kuu walio wapatanishi na wenye kuipigania amani pasipo kukoma: 3. Kumbe kipi kilicho bora...
8 Reactions
130 Replies
6K Views
Kinachoendelea ulimwenguni kwa sasa sio cha kawaida. Kuanzia mwaka 2000 kumekuwa na speed kubwa ya matukio ya kutisha ulimwenguni. Wote tumeshuhudia Vita, magonjwa, na Mambo mengi ya kutisha. Je...
2 Reactions
6 Replies
777 Views
Iran imetafutwa siku nyingi na raundi hii naona inaingia yenyewe kichwa kichwa kwenye ndoano..... The U.S. rushed warships into position to protect Israel and American forces in the region...
6 Reactions
47 Replies
3K Views
1. Tarehe 9/4/2024 kulitolewa siku 2 za tafakuri: 2. Kuelekea Tafakuri walisikika wawili hao: 3. Hata hivyo: kutokea Israel, somo lilisha eleweka: Natenyahu akubaliana na kilichopo mezani...
0 Reactions
4 Replies
472 Views
Syrian President and Family EVACUATED; Iran Attack Upon Israel Said "Likely" within "Hours" HAL TURNER WORLD 09 APRIL 2024 Multiple sources are indicating that Iran is going to directly...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Truong My Lan mdada alieiba asilimia 3% ya Gdp ya vietnam https://www.youtube.com/watch?v=__nTGfQi9N0
3 Reactions
7 Replies
983 Views
Eneo la Mashariki ya kati ni kama eneo lenye laana fulani hivi ya vurugu. Tangu nimeanza kupata akili za kufuatilia habari sijawahi kusikiliza taarifa ya habari katika redio au TV bila kusikia...
0 Reactions
13 Replies
972 Views
Mtaalamu bingwa wa mambo ya Linguistic, Noam Chomsky, ambaye naye pia ni myahudi amesema kuwa ni FACT kuwa Wayahudi wa kizungu na yeye akiwa mmoja wao, hawana uhusiano wowote na asili ya hapo...
11 Reactions
84 Replies
5K Views
Ni Furaha na Shangwe zimetawala katika siku hii ya Leo iran ilipoishambulia Israel kwa makombora takribani 200 huku mengine 80 yakiongezwa, baadhi yametunguliwa na mifumo ya ulinzi baadhi yameweza...
10 Reactions
52 Replies
3K Views
Back
Top Bottom