International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Aliyekuwa mbunge na mwanaharakati wa demokrasia Nathan Law ni miongoni mwa watu sita ambao pasipoti zao za Hong Kong zimefutwa na serikali. Serikali ya Hong Kong leo Jumatano, Juni 12, 2024...
2 Reactions
1 Replies
530 Views
Chama cha Umkhonto we Sizwe (MK) kinachoongozwa na Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma kimewasilisha maombi katika Mahakama ya Katiba kuzuia kikao cha kwanza cha Bunge kinachotarajiwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hali ni tete sana Huko Ukraine baada ya urusi leo asubuhi kufanya mashambulizi makubwa katika mitambo ya kuzalisha umeme Huko Kiev na miji mingine mikubwa nchini Ukraine. Inakadiriwa watu...
22 Reactions
138 Replies
8K Views
Pamoja na Israel mara kadhaa kujitutumua kwamba karibuni itatangaza vita na Hizbullah lakini vita hivyo kiuhalisia vimekuwa vikiendelea kwa miezi kadhaa sasa sambamba na vita vinavyoendelea Gaza...
5 Reactions
63 Replies
4K Views
Despite kupewe onyo kali lilitolewa na mahakama ya ICJ siku chache zilizopita, Israel imeendelea kushambulia kambi ya wapalestina Rafah kwa kuilipua na mabomu yenye paundi 2000 zaidi ya mara...
5 Reactions
65 Replies
3K Views
The Satanic and Talmudic nature of Benjamin Netanyahu’s ideology in Israel is purely under Satanic forces, and Benjamin Netanyahu seems to have imbibed a Satanic ideology through the teachings of...
5 Reactions
95 Replies
4K Views
Hivi kama shida yenu huwa Marekani na Israel, hawa Warusi mumewashikilia kwanini, ukizingatia Urusi huwashobokea hususan kwa kubwa la magaid yenu Iran. ============== June 11 (Reuters) -...
0 Reactions
1 Replies
706 Views
Taarifa zaidi za operesheni ya kuokoa mateka 4 wa Israel zimezidi kutoka na kuonesha ilikuwa ni shughuli mbaya ya uokoaji iliyosababisha vifo vya watu 274. Wengi wao walikuwa ni wanawake na watoto...
0 Reactions
57 Replies
3K Views
Baada ya kuuchoma na kuuharibu kabisa mji wa Kyrat Shmona na Upper Galliilee sasa Hezbollah wameanza kuuchakaza mji wa biashara wa Haifa Ikumbukwe kuwa Haifa ndo mji kitovu cha uchumi na biashara...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Hermes 900 kwa mujibu wa Israel ni drond ghali na ya kisasa haswa na yenye teknolojia ya hali ya juu Lakini kwa sasa Zinaangushwa kama maembe kwa manati na hezbollah hii ni drone ya 5 ya aina ya...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Linajifanya taifa lenye nguvu kumbe hamna kitu, Miezi 9 ya vita sasa wameshindwa kung'amua mateka wako wapi...Miezi 9 wameokoa mateka wanne kwa maana hyo itawachukua miaka 22 kuwaokoa mateka...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Hunter Biden, mwenye umri wa miaka 54, alipatikana na hatia ya makosa matatu ya silaha katika mashtaka ya kwanza ya jinai dhidi ya mtoto wa rais aliyeko madarakani nchini Marekani. Waendesha...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Ushoga au liwati ni dhambi mabaya na yenye kuangamiza jamii kimaadili. Katika Torati dhambi hii imeitwa "machukizo" kwa kuwa inachukiza mbele ya uso wa Mungu. Katika Biblia katazo la kushiriki...
17 Reactions
225 Replies
18K Views
Chinese people LOVE to eat. If eating is a sport, no other country will come close. I’ve never seen a nation having so much time for consuming anything that walks, crawls, flies swims, slithers...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Katika hali ya kuchanganyikiwa na vita vya Gaza Israel imeelezwa kukubali kimsingi vita visitishwe ili irejeshewe mateka wake. Hali ya kuchanganyikiwa kwa Israel kumeonekana hapo juzi ambapo...
2 Reactions
67 Replies
4K Views
Kwa ukaidi wa hali ya juu jeshi la Israel limesema litaingia Rafah ili kuwamaliza Hamas.Hata hivyo vijana wa Hamas wameonekana kujikushanya maeneo mengine mengi ya Gaza wakitoa upinzani mkali kwa...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Shughuli za utafutaji na uokoaji zitaendelea hadi ndege iliyotoweka iliyombeba makamu wa rais wa Malawi, Saulos Klaus Chilima, ipatikane, rais wa taifa hilo la kusini mwa Afrika alisema. Chilima...
0 Reactions
1 Replies
816 Views
Jana, habari zilisambaa kwamba ndege ya Makamu Rais wa Malawi Saulos Chilima ilipotea wakati wa safari kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu (Lilongwe) kwenda Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...
13 Reactions
39 Replies
5K Views
Chama cha Marine LePen kimepata kupata karibu 30%, wakati upande wa chama cha Macron kimepata kura kwa karibu 15%. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza kuvunja bunge la kitaifa na kutoa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Rais wa Malawi Lazarus Chakwera amemvua Makamu wake Saulos Chilima mamlaka yote aliyokabidhiwa baada ya Makamu huyo kutajwa katika kashfa ya ufisadi ya Dola za Marekani Milioni 150 sawa na Tsh...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom