International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mkutano wa Mawaziri wa Kundi la BRICS umefanyika kuanzia Juni 10 hadi 11 huko Nizhny Novgorod, nchini Russia. Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi alihudhuria mkutano pamoja na Mawaziri wa...
1 Reactions
7 Replies
571 Views
VENEZUELA TAIFA LILOBARIKIWA MAFUTA NA GESI, LILIASISIWA NA SIMÒN BOLIVAR, LIKAJENGWA NA HUGO CHAVEZ SASA LINATEKETEA MIKONONI MWA NICOLAS MADURO. Na. Comred Mbwana Allyamtu Thursday -14/3/2019...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hali inazidi kuwa tete katika mashariki ya kati na kwa Israel kufuatia taarifa kwamba wapiganaji wa Houthi wameanza mazungumzo ya kuwapatia wanamgambo wa Alshabaab silaha kama walizonazo wao ili...
5 Reactions
76 Replies
3K Views
Israel akitembeza kichapo kizito kwenda kwa Hesbollah kwa kutumia style zile za kizamani 😂😂😂 source aljazerra
0 Reactions
6 Replies
790 Views
Tukio la Jana la Israel kushambulia kwa ndege nchini Iran kujibu shambulizi la drones la Iran lililotangulia ni la kiwango cha juu kuashiria vita kamili . Hili Shambulizi lilipangwa kwa mkakati...
37 Reactions
135 Replies
11K Views
Kwa hofu ya kupewa kipigo cha mbwa mwizi Marekani imejitutumua kukwepa aibu na kutuma Nyambizi Guantanamo bay #BREAKING – 🚨🇺🇸⚡The US sends an attack submarine, USS Helena (SSN-725) to Guantanamo...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Wiki hii nzima Hizbullah wamekuwa wakirusha makombora mfululizo kuzipiga kambi za jeshi kaskazini ya Israel.Kinachoshangaza majibu ya makombora hayo yamekuwa hafifu sana kutoka kwa Israel ukiondoa...
4 Reactions
11 Replies
830 Views
Jamaa walipitia mateso sana, ila ingekua vizuri Israel ikawakagua kwa karibu na kuwafuatilia isijetokea walisilimishwa na kuwa misukule ya dini ile ambapo wanaweza wakajilipua humo humo Israel...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Mabikira wanaendelea kupungua kule akhera.... A senior Hezbollah official was eliminated in a strike in the village of Jennata in southern Lebanon's Tyre District Thursday night, Saudi news...
4 Reactions
12 Replies
881 Views
Mwanamke akamatwa kwa kosa la kutega bomu kwenye nchi ya Poland. Bahati nzuri kule mifumo ya kiusalama iko imara sana, sio rahisi ufanikishe ugaidi. Wazungu waliachia hawa watu wajazane na...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
https://www.aljazeera.com/news/2024/6/10/ukraine-says-it-struck-su-57-fighter-jet-on-ground-at-russian-air-base
3 Reactions
7 Replies
953 Views
Kutegemea Us ndio awape silaha kupigana na vikundi vya wanamgambo, taifa teule limeanza kuishiwa silaha za msaada, na sasa wameaanza kutumia silaha za zama za mawe. Huyu bila msaada wa US...
5 Reactions
17 Replies
744 Views
Uzi huu unaangazia kile kinachoendelea kuhusu mgogoro ulioibuka sasa wa NATO na Russia katika vita vya Ukraine. Ikumbukwe kuwa katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg, alitaka silaha za misaada kwa...
11 Reactions
51 Replies
6K Views
Rais Joe Biden amesema ataheshimu uamuzi wa Kisheria wa Mahakama baada ya mwanawe kupatikana hatia katika Makosa Matatu ya uhalifu wa bunduki ambaye anakabiliwa na kifungo cha hadi Miaka 25 jela...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Siongei sana. Sina maneno mengi! Video yenyewe iliyosheheni operation za Hezbollah inajisemea. Tazama! https://m.youtube.com/watch?v=JpONxjW0X9Q
4 Reactions
103 Replies
4K Views
Wanaukumbi. 🚨 HAMAS ILITUMA MAJIBU KUHUSU PENDEKEZO LA KUSITISHA MAPIGANO KWA WAPATANISHI PAMOJA NA MABADILIKO. Haniyeh na Nakhaleh walikabidhi majibu ya pendekezo la "israeli" la kusitisha...
2 Reactions
167 Replies
5K Views
Marekani ambayo huko nyuma ilionyesha waziwazi kuwa ndiye muungaji mkono mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuyapigia kura ya turufu mara kadhaa maazimio tofauti ya Umoja wa Mataifa ya...
2 Reactions
12 Replies
654 Views
Taarifa kutoka katika vyanzo mbalimbali kutoka nchi za kiarabu ambazo hazijathibitishwa zinasema Mohammed Deif ([emoji1193]Hamas's chief of staff ) ameuawa katika operesheni maalum iliyofanywa n...
18 Reactions
188 Replies
6K Views
Kundi la Kijeshi la Wagner Group limetangaza nafai ya kazi huku likitoa maslahi makubwa kwa waajiriwa ikiwa ni mshahara mnono, nyumba, bonus kubwa ya uhakika, silaha ya kisasa ya kupigania, bima...
15 Reactions
89 Replies
6K Views
Waziri mkuu wa Armenia, Nikol Pashnyan ametangaza kuiondoa nchi yake kwenye Muungano wa Kiulinzi unaoongozwa na Urusi wa CSTO. Hayo yamejiri baada ya nchi ya Azerbaijan kulichukua kijeshi jimbo la...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom