Wanasubiri tufungue accounts za benki kwao (Ulaya) ili siku moja watwambie fanyeni hiki, fanyeni kile, vinginevyo tunawafungia. Sisi hatujali… Hatuna accounts huko na hatuhitaji kuwa na accounts…...
Urusi imeishutumu Nato na Marekani kwa "kuchochea kiwango kipya cha mvutano" baada ya Marekani na Ujerumani kuwa washirika wa hivi punde kuruhusu jeshi la Ukraine kutumia silaha zinazotolewa na...
Tangia Putin na Kiduku waingie makubaliano ya kusaidiana kivita, mambo yanaendelea kuongezeka kwa kasi ya hatari. Mfano sasa baada ya Ukraine kupewa ruhusa kushambulia ndani ya Urusi kwa kutumia...
Why it’s too late to stop World War 3
Apocalypse now: a nuclear test in French Polynesia, 1970 - Science History Images / Alamy Stock Photo
Hebu fikiria, kwa muda, kwamba serikali ya Iran...
Waziri Mkuu Narendra Modi na mwenzake wa Bangladesh, Sheikh Hasina, walitoa maono yao ya pamoja juu ya amani, ustawi na maendeleo ya majirani hao wawili na kanda nzima, yakiongozwa na...
New Delhi
Prime Minister Narendra Modi and his Bangladesh counterpart Sheikh Hasina on Saturday articulated their shared vision for peace, prosperity and development of the two neighbours and the...
Huko Burkina Faso Hali inazidi kuwa tete Kwa bwana mdogo Rais Captain Ibrahim Traore ambae kwa Sasa anaishi Kwa kujificha ficha akihofia usalama wake.
Hali hii inajiri kuliwa na taarifa za...
Russia tangu ameingia vita vya kijeshi na ka nchi kadogo kanakoingia mara 8 kwa Russia, ametafuta ushirika na mataifa mengi na makubwa yenye uwezo mbalimbali kijeshi mpaka kafika Africa akajipatia...
Tuongee ukweli, hawa jamaa almaarufu kama "taifa teule" hawawezi pigana vita na taifa lolote la Mashariki ya kati wao kama wao na wakashinda.
Hata mataifa kama Syria, Iran, Lebanon, au Yemen...
Wanaukumbi.
BREAKING:
🇷🇺Mapigano na magaidi yanaendelea, baadhi ya wanamgambo wameondolewa, wengine wamezuiliwa.
- Wanamgambo wawili waliangamizwa huko Dagestan,
-Gari la doria linawaka moto...
Leo kwa mara ya pili Waziri mkuu wa Israel katika mtandao wa X amesema yupo tayari kubeba lawala na matusi yote anayotukanwa na wananchi wake ili Marekani waweze kumsaidia silaha ili kuwawezesha...
Monday, June 24, 2024
Eurasia Review
A Journal of Analysis and News
East African Community. Credit: EAC
The Horn Of Africa States: All Is Not Well In The EAC – OpEd
June 24, 2024 0...
Dunia inakwenda kwa kasi sana...
Warembo wa kusadikika 10 waingia kwenye fainali za kinyang'anyiro cha mlimbwende wa akili bandia(Miss AI) ambapo watachuana kugombania kitita cha USD 13,000...
Kwa muda mrefu sasa Marekani imekuwa ikijinasibu kuwa ni kinara wa usawa duniani, ikijitangaza kwa msingi wa katiba yake na maadili yake, inatenda haki kwa watu wake wote bila kujali rangi, dini...
More and more countries are joining the winning team BRICS and this block is getting stronger by the day whereas western block is crumbling [emoji23]
The world is sick and tired of western...
Wadau hamjamboni nyote?
Hali ni tete Mashariki ya kati huku hofu ya vita ikitanda
Kanada inatayarisha uhamisho mkubwa wa raia wake kutoka Lebanon ikiwa vita kamili vitazuka kati ya Israel na...
TAIFA la Urusi lilikuwa chanzo cha Vita ya Dunia, Wakati Siasa za kifashisti zinazaliwa na kushamiri hasa Ulaya na Utanuzi wa mipaka kwa kuvamia nchi jirani
Molotov-Ribbentrop Pact 1939
Malengo...
Mabkira wanaendelea kuisha kule akhera
---
The Israel Defense Forces killed a senior member of Hezbollah’s rocket unit in a drone strike in southern Lebanon Monday morning, as a top Biden...
Israel's Prime Minister Benjamin Netanyahu has said that if Lebanon's Hezbollah opened a second front in the ongoing war between Israel and Hamas, then he would bring devastation in southern...
Korea kusini ilianza kuahidi kutoa silaha na ushirikiano na Ukraine Juzi Rais Putin kaenda Korea Kaskazoni nakuahidi ushirikiano wa Kijeshi baina yao yaani Nchi moja ikishambuliwa nyingine...