International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wanaukumbi. Ripoti ya roketi kugonga hoteli ya Gosher na roketi iligonga Barja moja kwa moja Kombora la "Kornet" lilitua kwenye shabaha ya kijeshi karibu na makazi ya Avivim huko Magharibi mwa...
5 Reactions
5 Replies
791 Views
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Baada ya Israel kupata kipigo cha Paka mwizi na Waziri wa Ulinzi amekoswa kulambishwa mchanga na drone za Hezbollah sasa Netanyahu katoa mlio wa uwogaπŸ˜‚ kua anataka kuanzisha vita na...
8 Reactions
103 Replies
5K Views
Wanajeshi 25 wamehukumiwa adhabu ya Kifo baada ya kukutwa na hatia ya kukimbia Mapigano kati ya Jeshi la nchi hiyo na Waasi wa Kundi la M23 Kwa mujibu wa Msemaji wa Jeshi, Wanajeshi hao pia...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
IDF sasa inapiga hawa magaidi wa uislamu waliojichokea ambapo wamesambaratika mmoja mmoja, hawapo makundi tena, hamna kamandi. Kila mmoja anapigana kivyake.............. Lieutenant Oriel...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Rais Joseph Boakai ametangaza atapunguza mshahara wake kwa Asilimia 40 huku Ofisi yake ikieleza ni sehemu ya kuonesha Utawala Unaowajibika Hivi karibuni Wananchi wengi wamelalamikia kupanda kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Russia kawagonga wanamgambo wa Ukraine na vitu vizito sasa hivi wanalia na kusaga meno. List of impacts as the 4th group of Kalibrs approach their targets: Explosions in Kryvyi Rih Explosions...
11 Reactions
19 Replies
4K Views
Kabla ya mdahalo wa urais wa leo Donald Trump alikuwa ameamuacha Joe Biden kwenye kura za maoni. Lakini mdahalo wa huu umefunga kabisa maneno. Ni wazi kuwa Trump sasa njia ya ikulu ni nyeupe...
9 Reactions
59 Replies
3K Views
Majina hayajatajwa. Ikumbukwe jana Rais wa Rwanda Bw Kagame amekiri kuwa anawaunga mkono waasi wa M23 kwa kusema haoni sababu ya kuwapinga waasi hao. Hivyo kwa tafasiri ni kuwa Wanajeshi wa...
11 Reactions
189 Replies
15K Views
Swali. Ya Rula Da Silva wa Brazil na Mkewe yanaweza tokea Marekani this time? --- MAREKANI - Michelle Obama, mke wa Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, ndiye mgombea pekee kwa tiketi ya...
5 Reactions
55 Replies
3K Views
Huyu mwanamama mwanasiasa wa chama cha National Rally huko Ufaransa ni mtata sana. Anaamini Ufaransa imeenda mbali kukaribisha na kukubaliana na tamaduni nyingi zinazotishia kupoteza kabisa...
16 Reactions
144 Replies
5K Views
Hivi kwa mwanamke kujilipua bomu, alla wenu amewaahidi nini wanawake, maana nyie wanaume mtagegeda mabikira... Wanawake watagegedwa na mabikira au nini.... ========================== At least 18...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Sasa sio juu ya ardhi tu, na huko chini ya ardhi watazuia hawa wapalestina kupenyeza. Egypt has sent a message to Israel that if an agreement for a hostage deal and ceasefire is reached, Cairo...
1 Reactions
3 Replies
571 Views
An IDF drone carried out a targeted attack on a vehicle carrying Hamas's Lebanon supplies director, Ayman Ratma, in the Bekaa Valley of Lebanon on Saturday, the military reported. Ratma had...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Hezibollah wapo serious wanakimbiza mwizi kimya kimya mda si mrefu Israel atatoa mlio wa maumivu makali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Fires break out in Mount Meron in the Air Control Base after being targeted with a...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Hii ni habari njema kwa Wana Israel mke wa Waziri Mkuu mteule Uingereza aendaye kwa jina la Victoria Starmer ni myahudi Mungu ibariki Israel Victoria Alexander was...
12 Reactions
119 Replies
3K Views
Afisa mkuu wa elimu wa jimbo la Oklahoma nchini Marekani ameamuru shule kuanza kujumuisha Biblia katika masomo, katika agizo la hivi punde ya kuhusu mafunzo ya kidini shuleni. Agizo lililotumwa...
12 Reactions
49 Replies
2K Views
Waisrael huko na magazeti yao wamegundua moto unao wangojea huko Lebanon, sio Missiles tu zinawasubiria na drones, lakini kuna ndege vita kuliko F16, ambayo wanatamba nayo Israel ni drones ambazo...
10 Reactions
35 Replies
2K Views
Simulizi za haki za binadamu nchini China zinaanza kujitokeza katika zama mpya ya mageuzi ya kina na mabadiliko ya kihistoria. Ni hatua kubwa katika juhudi za China za kuondokana na umasikini na...
1 Reactions
1 Replies
322 Views
Mabadilishano ya kirafiki kati ya China nan chi za Afrika, amayo yamedumu kwa muda mrefu, yameongezeka zaidi katika miaka ya karibuni, na kuhusisha Nyanja mbalimbali ikiwemo siasa, uchumi na...
0 Reactions
1 Replies
339 Views
Marekani inaonyesha dalili za kesi yake sugu ya wasiwasi juu ya China wakati ikitumia vyombo vya habari na maoni ya umma kuchafua maendeleo ya China kwa kutumia maneno kama β€œkuanguka kwa China,”...
0 Reactions
1 Replies
375 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…