International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Vita vya hivi karibuni vitakuwa 'shida moja kubwa' ikiwa uranium iliyosafishwa ya Iran haitaondolewa kwenye mikono ya magaidi hao— afisa wa IDF alisema. Afisa wa jeshi la Israeli anasema kwamba...
6 Reactions
56 Replies
1K Views
Israeli inaendeleza haraka njia mpya za kukabiliana na ndege zisizo na rubani za Hezbollah. Ndege hizi zisizo na rubani zinazotolewa na Iran tayari zimewajeruhi na kuwaua wanajeshi wa IDF ndani...
1 Reactions
2 Replies
168 Views
Wakati mjadala wa bei ya mafuta ukiendelea kupanda duniani kufuatia mgogoro wa Mashariki ya Kati baina ya Marekani, Iran na Israel, hali ya upatikanaji inaendelea kuwa mbaya zaidi. Changamoto...
3 Reactions
6 Replies
301 Views
Habari mbaya kwa mashabiki wa Magaidi duniani kote hasa kwa Waarabu-Koko wa Bonyokwa akiwema zitto junior na Mzee wa UHARO Ritz. Licha ya vita na Iran vilivyoanza Februari 2026 na mgogoro...
6 Reactions
67 Replies
929 Views
Halimat Adenike Tejuosho, Dorcas Okoro and Nosa princess Okoro marriage scam and thief exposed as EFCC Declare them wanted over fake contract and appointment scam, The embattle Halimat Adenike...
0 Reactions
0 Replies
253 Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa anapitia mapendekezo 14 yaliyotolewa na Iran kwa ajili ya kumaliza vita vyake dhidi ya nchi hiyo, huku akionya kuwa Washington inaweza kuanza tena...
1 Reactions
4 Replies
239 Views
Wanachama 14 wa IRGC waliuawa na wengine 2 walijeruhiwa katika mlipuko wakati wa kubomolewa kwa mabaki ya mashambulio ya Marekani na Israeli katika Mkoa wa Zanjan. Mmoja wa waliouawa ni kamanda...
1 Reactions
7 Replies
275 Views
Israeli yaidhinisha ununuzi kutoka Marekani wa vikosi 2 zaidi vya ndege za kivita za F-35I na F-15IA Israeli itanunua vikosi viwili zaidi vya ndege za kivita za F-35I na F-15IA, kufuatia masomo...
0 Reactions
3 Replies
152 Views
Kwa miaka kadhaa kumekuwa na huu mjadala: Je, ndege vita na silaha za China zina ubora gani katika medani za kivita na hazijawahi kujaribiwa? Hatimaye jibu limeanza kupatikana. Jeshi la anga la...
32 Reactions
242 Replies
13K Views
Nyani akimaliza miti huingia mwilini. Kumekuwepo na ongezeko kubwa la vitendo vya chuki dhidi ya wakristo na ukristo hususan Lebanon na Palestina. Baada ya kulivunja sanamu la yesu Kristo, juzi...
4 Reactions
5 Replies
175 Views
Shirika la habari la serikali IRNA latangaza jana kwamba Iran ilituma pendekezo lake la hivi karibuni la mazungumzo na Marekani kupitia wapatanishi wa Pakistani. Hii inakuja baaba ya mzingiro wa...
3 Reactions
24 Replies
580 Views
Video hii inazua hasira katika ulimwengu wa Wafuga Midevu na Majini!! Mke wa Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israeli, Itamar Ben-Gvir, alimpa mumewe keki ya siku ya kuzaliwa yenye picha ya ishara...
1 Reactions
2 Replies
157 Views
Habari mbaya sana kwa watetezi wa Magaidi wa Iran Kwa mara ya kwanza, Amri Kuu Central-Command ya Marekani inaomba kupeleka Mifumo ya kombora jipya la hypersonic la Marekani, Dark Eagle katika...
1 Reactions
18 Replies
392 Views
Baraza la mawaziri la vita la Israeli litakutana leo kuamua kurudi kupigana na Hamas huko Gaza. Baada ya wiki kadhaa za uongo wa Hamas, ahadi zilizovunjwa kuhusu upokonyaji silaha kabisa, na...
1 Reactions
1 Replies
106 Views
Wiki iliyopita (Jumatatu), IDF, ikiongozwa na Amri ya Kusini na ISA, iliwashambulia magaidi kadhaa wenye silaha wa Hamas waliokuwa wamekaribia Mstari wa Njano na walikuwa wakipanga shambulio la...
2 Reactions
18 Replies
319 Views
Ghana has rejected a $109m US health deal over data protection concerns. Zimbabwe has also turned down a similar offer. The BBC’s Thomas Naadi explains why some African nations are pushing back
1 Reactions
1 Replies
109 Views
Wanaukumbi. 🇮🇷 Khamenei amewaambia mataifa ya Ghuba kwamba Amerika haiwezi kuwalinda. Iran inaweza. Anasema "usimamizi mpya" wa Mlango-Bahari wa Hormuz utaleta utulivu na faida za kiuchumi kwa...
7 Reactions
125 Replies
2K Views
Serikali ya China imekabidhi rasmi jengo jipya la makao makuu ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS) mjini Abuja kama msaada wa bure (zawadi). Jengo hilo la kisasa...
3 Reactions
35 Replies
762 Views
Kenya imekuwa ni Nchi ya hivi karibuni ya Africa kupiga marufuku Kuuza Madini yeyote yakiwa Ghafi Nchi za Nje na hasa Madini adimu ya kimkakati duniani...
1 Reactions
4 Replies
170 Views
Ni mmojawapo wa watendaji wandaamizi wa benki hiyo, mambo anayotuhumiwa nayo ni unyanyasaji wa kingono wa mmoja wa wanaume ambaye ni mfanyakazi wa chini yake katika benki hiyo. Pamoja na mambo...
3 Reactions
20 Replies
513 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…