VENEZUELA: Aliyekuwa Mgombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Julai 20124, Edmundo González ameendelea kusisitiza kuwa alimshinda Raia Nicolàs Maduro lakini Mamlaka ziliamua kubadili matokeo...
Hili shambulizi ni bab-kubwa, sijui Israel kachezaje, magaidi wa Kiislamu 1,200 walipukiwa na pagers zao, wengine walitokwa na damu kwenye maskio, akiwemo balozi wa Iran.
_----------+
Iranian...
Furaha imetanda katika Kaya moja nchini Nigeria ambapo mwanamke mwenye umri wa miaka 40 amejifungua watoto 6 ikiwa watatu wa kiume na watatu wa kike baada ya kupita miaka zaidi ya 20 tangu...
Barua ya kiongozi wa Hamas iliyopatikana na televisheni ya Houth imewapongeza wapiganaji wenzao wa Houth kwa kuweza kufika mpaka ndani kabisa ya Israel.Barua hiyo aliielekeza kwa kiongozi mwenzake...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini:
Taiwanese pager manufacturer says the beepers that detonated were made by European licensee
By Reuters
Taiwan’s Gold Apollo didn’t make the...
Hawa ni wanajeshi wa Iran waliokua wanatoa misaada kwa magaidi wa waislamu, yaani Myahudi ni balaa nyingine....
Haya kama kawa njooni na povu zenu wazee wafia ile dini japo waoga wa kyeboard...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena amesimama kidete kusimamia maadili ya baraza hilo kwa kukosoa jinsi linavyoshindwa kutekeleza majukumu yake.
Bwana Gueteres amerudia kwa...
Watu zaidi ya laki moja waliohamishwa kaskazini ya Israel kwa hofu ya Hizbullah sasa wamekuwa ni ajenda kubwa inayojadiliwa na viongozi wa nchi hiyo.
Kwanza watu hao wamekuwa mzigo kwa uchumi...
Wadau hamjamboni nyote?
Hali Bado ni tete kufuatia shambulizi la kushangaza la Israel huko Lebanon
Serikali ya Iran imetuma kikosi maalumu cha madaktari bingwa wa macho kusaidia wahanga wa...
Mwanamke mmoja nchini India amewaacha watu vinywa wazi baada ya kuomba talaka kwa mumewe ikiwa ni siku siku 40 tu baada ya harusi yake, akidai kuwa mume wake hapendi kuoga na hawezi kuendelea...
Ni wazi kuwa nchi ya Sweden ipo kwenye mkakati wa kupunguza idadi ya wahamiaji wanaoishi nchini humo na hii ni baada ya nchi hiyo kutoa kiasi cha dola za Marekani 34,000 (Tshs Milioni 92) kwa kila...
Waziri mkuu wa India, Narendra Modi amesherehekea pamoja na kufanya ibada baada ya kuzaliwa ndama wa ng'ombe mwenye alama nyeupe kichwani katika makazi yake ya 7, Lok Kalyan Marg. Modi alisema...
| Jumuiya ya Madola ya Puerto Rico, Estado Libre Asociado de Puerto Rico, Commonwealth of Puerto Rico au Free Associated State of Puerto Rico
Puerto Rico ni kisiwa na mkusanyiko wa visiwa kadhaa...
Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC wa 2024 ulimalizika hivi karibuni mjini Beijing, na kupitisha "Azimio la Beijing" na "Mpango wa Utekelezaji (2025-2027)"...
Njaa isikie kwingine tu.
Ikikukumba unaweza ukamkula hata mkeo [literally 😀].
Sina uhakika na vyakula vya huko kusini mwa Afrika.
Labda nyama ya tembo ni moja ya delicacies pande hizo...
1. Kabla ya Israeli, kulikuwa na mamlaka ya Uingereza, sio taifa la Palestina.
2. Kabla ya Mamlaka ya Uingereza, kulikuwa na Ufalme wa Ottoman, sio dola ya Palestina.
3. Kabla ya Ufalme wa...
Wanaukumbi.
Israel itawapa makaazi ya kudumu takriban wakimbizi 30,000 kutoka Afrika kwa masharti kwamba watapigania jeshi la Israel huko Gaza.
Haya nafasi ndiyo hiyo Waisrael weusi wa;
Tunduma...
Ni rahisi sana kuhubiri kuhusu free market (Biashara Huria) iwapo upo kwenye advantage. Lakini ukiwa unajitafuta biashara huria ni ugonjwa mbaya sana. Nchi za magharibi zimehubiri sana kuhusu...
Kwenye mdahalo wa wagombea uchaguzi huko Marekani uliofanyika hapo jana,mgombea uraisi kupitia chama cha Democratic, Kamala Harris ameahidi kuendelea kuipa nguvu Israel kuendelea kujilinda dhidi...