TRUMP KUPOKELEWA NA MAAFISA WADOGO BEIJING BADALA YA XI JINPING: DHARAU YA KIDIPLOMASIA AU UJUMBE WA KIJASUSI KATIKA VITA VIPYA VYA DUNIA?
Wakati Donald Trump alipowasili Beijing kwa mazungumzo...
DRAMA IN THE DIASPORA
UK Nurse Challenges London Gossip Blogger Over “Cancel God” Comment as NLP UK Conference Debate Trends Online
LONDON, United Kingdom — Heated conversations erupted across...
Wanaukumbi.
Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf, amesema hakuna njia nyingine isipokuwa kukubali haki za wananchi wa Iran kama zilivyoainishwa katika pendekezo la vipengele 14...
Serikali ya Ghana imetangaza kuwahamisha raia wake 300 kutoka Afrika Kusini, kufuatia kuongezeka kwa vitendo vya chuki dhidi ya wageni nchini humo katika wiki za hivi karibuni.
Katika ujumbe...
Mwanajeshi mwingine wa Idf akutwa na tuhuma ya kudhalilisha sanamu ya mama Maria kwenye mji wa kikristo lebanon.
Mwanajeshi huyo akionekana kwenye picha akimdhihaki mama yake yesu kwa kuvutisha...
Nyaraka kutoka ufukweni kusini mwa Lebanon zinaonyesha mizoga ya magaidi wa Hezbollah waliouawa katika siku za hivi karibuni na sasa zinaozeana na kukaushwa na jua la jangwani tu.
Magaidi wa...
Habarini wandugu
Kwa sasa kinachoendelea Hormz tunasubiri tuona uingereza na ufaransa kama wataufungua mlango wa Hormz.
Wametuma meli za kubeba ndege na wanajeshi.
Hapa naona ufaransa ana hasira...
Mahakama Kuu ya FCT iliyopo Maitama, Abuja, Jumatatu ilitoa hati ya kukamatwa kwa aliyekuwa Waziri wa Nishati nchini Nigeria, Saleh Mamman, baada ya kushindwa kufika mahakamani katika kesi ya...
Idadi ya Wabunge wa Chama cha Labour wanaomtaka Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, kujiuzulu imeongezeka na kufikia 70, kwa mujibu wa taarifa zilizoripotiwa na BBC.
Miongoni mwa Viongozi...
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amekataa kujiuzulu baada ya Mahakama ya Katiba kuamua kuwa wabunge hawakupaswa kuzuia mchakato wa kumwondoa madarakani dhidi yake mwaka 2022.
Inasemekana...
Mazishi ya Azam al-Hayya, mwana wa Khalil al-Hayya, kiongozi mpya wa Hamas, ambaye alikuwa gaidi hai wa Nukhba (kitengo cha wasomi), yanafanyika leo huko Gaza.
Aliondolewa jana pamoja na magaidi...
AN OPEN LETTER TO ALL NIGERIANS: LET US PROTECT OUR NATIONAL PRIDE – AIRPEACE
My dear fellow Nigerians,
I write this not as a distant observer, but as a proud son of the soil, a patriotic...
Wanaukumbi.
TEHRAN, Mei 10 (Xinhua) -- Jeshi la Wanamaji la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) lilionya Jumamosi kwamba "uchokozi" wowote dhidi ya meli za mafuta za Iran na...
Kuna haja ya hawa viongozi wa dunia kujitafakari na kufanya maamuzi yenye faida kwa dunia .
Mgogoro mkubwa umejikita hasa kwenye kumiliki silaha sasa kama ni hivyo lazima watumie balance kumaliza...
Shirika la kutetea haki za wanahabari, Reporters Without Borders (RSF), imelaani hatua ya Niger kusitisha machapisho ya vyombo tisa vya habari vya Ufaransa. Hii inakuja wakati serikali ya kijeshi...
"Lango la Ushindi" la Bint Jbeil laangukia mikononi mwa majeshi hodari ya Israel!!
Kikosi kazi cha 'Argentina' cha IDF imekamilisha shughuli zake kwa kuuteka mji wa Bint Jbeil kufuatia kutekwa...