International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Aliyekuwa mfanyakazi wa CIA Bwana Andrew Bustamente alielezea kwenye Podcast kwamba Taasisi kali kuliko zote za kiintelijensia na kijasusi kwa pande tofauti ni kama zifatavyo; MMS( Ministry of...
1 Reactions
9 Replies
740 Views
Urusi imeto lawama kali kwa Marekani, ikisema kuwa inahusika na mambo yanyoendelea kwa sasa huko Middle East. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi, Maria Zakharova, aliita sera yawa Rais...
2 Reactions
9 Replies
916 Views
Wameshambuliwa na kuuwawa wairan ndani na nje ya Iran. Wameshambuliwa na kuuwawa hadi wageni ndani ya Iran. Katika yote mshambuliaji (Israel) anajulikana. Muda wote yakitokea, Iran imekuwa...
2 Reactions
8 Replies
520 Views
Iran’s Jewish community demands revenge after Israeli assassination of Haniyeh Saturday, 03 August 2024 10:41 AM [ Last Update: Saturday, 03 August 2024 2:56 PM ] Rabbi Younes Hamami Lalehzar...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Ripoti zinaongelea kuhusu ajali ya helikopta magharibi mwa Iran, ikiwa imebeba viongozi wa Iran na Wahouthi. Hakuna taarifa rasmi kuhusu idadi ya waliofariki au kujeruhiwa kwa sasa kwani...
30 Reactions
152 Replies
9K Views
Vita kwa kweli si jambo zuri na daima epuka kuwa mchokozi ili kukwepa kuingia vitani na ukiwa na nguvu usijifanye mbabe mbele ya wanaume wenzako. Mvua ya makombora kutoka Iran hapo jana ambapo...
10 Reactions
8 Replies
582 Views
Somalia inapata ugumu baada ya mambo kuzidi kwenda Kombo! Wakati wako kwene vita ya maneno na Taifa lenye heshima kubwa Afrika kwa kutotawaliwa na wakoloni la Ethiopia, mtanange umegeuka nakua...
3 Reactions
55 Replies
2K Views
CNN, wanarepoti kuwa Israel imeendelea kufanya mashambulizi makali ya anga usiku wa kuamkia Leo. Haya yanajili baada ya jana Iran kufanya mashambulizi kama sehemu ya onyo kwa Israel kuacha...
0 Reactions
5 Replies
564 Views
Katika mashambulio hayo mapya Hizbullah wametlumia makombora aina ya FAD 3 wamesema yamelenga yaliplokusudiwa ikithibitishwa na IDF waliosema wametungua baadhi yake, Sehemu zilizokusudiwa...
8 Reactions
52 Replies
4K Views
Msemaji wa IDF mh Hagai amesema wamekuwa wakioparate ndani ya Lebanon kwa miezi sasa hivyo wanajua kila kitu kuanzia Kijiji alichozaliwa kila Kiongozi wa Hezbollah, uwezo wao kifedha, wanakozipata...
20 Reactions
61 Replies
3K Views
Mwanzo alitokea muuaji wa watoto wasio na hatia Fashisti Nduli Benjamin Netanyahu Bibi, akatamba kuwa wanajua kila kinachoendelea ndani ya Iran. Akadai wana uwezo wa kufika mahali popte ndani ya...
4 Reactions
32 Replies
1K Views
Diego Garcia, kisiwa kilicho mbali katika Bahari ya Hindi, ni peponi kwa mimea na fukwe zenye mchanga mweupe, kwenye maji ya buluu. Lakini kisiwa hiki sio kivutio cha watalii. Ni kituo cha kambi...
0 Reactions
3 Replies
841 Views
Waziri Mkuu wa Israel mh Netanyahu amesema kamwe Israel haitakubali Uwepo wa Mataifa Mawili Malengo ya Vita ni kuifuta Hamas na kuokoa Mateka na lazima tufikie lengo hakuna wa kurudisha Nyuma...
1 Reactions
53 Replies
3K Views
Magharibi wako mbali sana kimahesabu. Westerners ni nyoko. Naona mahesabu yao ni Far East akiwemo Putin, Jon Jun, na wapuuzi wengine wasiojali haki za binadamu. Saudia Yeye hana cha kusema, UAE...
1 Reactions
4 Replies
516 Views
Rubani wa ndege ya Kivita ya Urusi alimsurprise Rubani mwenzake aliyekua anaendesha ndege ya Kivita ya Marekani F- 16 akiwa katika doria karibu na pwani ya Alaska na kumfanya apagawe kwa namna...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Hiyo ndo habari mpya watarusha makombora 1500 kwa wakati mmoja First wave itakua na makombora 1500 Second wave itakua na makombora 1500 Third wave itakua na makombora 1500 Jumla makombora...
17 Reactions
134 Replies
6K Views
Wayahudu ndio brain kubwa zinazofanya mambo makubwa huko US , Russia, Ukraine,Iran na nchi nyingine Hivyo sioni ajabu kwa US kumpa silaha Israel ,na ni lazima Israel ilindwe kwa manufaa ya wengi
9 Reactions
51 Replies
2K Views
Video: Jordan imeua raia wake wakati ikijaribu kuisaidia Israel kutungua makombora ya Iran Kupatwa kwa Jordan[emoji15] ndo wakome kabisa kuwa shield ya wazayuni kwa bahati mbaya leo wamejitahidi...
1 Reactions
0 Replies
395 Views
Israel hana kelele ni kipigo tu Russia kelele Nyingi mara atishie kutumia nyuklia na mambo mengi .. Tunataka atoe kichapo .
19 Reactions
94 Replies
4K Views
Mauaji haya yanayo tekelezwa na Israel kwenda kwa viongozi wa makundi hasimu yanayo washambulia na kuharibu mipango yao yanafanana na mauaji yaliyokuwa yakifanywa na serikali mbalimbali dhidi ya...
3 Reactions
11 Replies
517 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…