International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Hii dunia ina maajabu na vichekesho vingi sana. Inaaminika kuwa huwezi kuwa raisi wa Marekani na hata Uiengereza bila kuwaunga mkono Israel na bila kujali jina la chama kinachogombea katika...
9 Reactions
91 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa ambazo hazijathibitishwa - Kamanda huyo Jeshi la Iran Meja Jenerali Esmail Qaani hajaonekana hadharani na hajulikani alipo tokea kuuawa Kwa Kiongozi Mkuu wa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Dunia ilipiga sana kelele na bado inamshutumu Hittler juu ya mauaji ya wayahudi pale Germany aka Holocaust. Leo hii Ulaya manazi wanaonekana ni chukizo na wanaandamwa kila mahala juu ya mauaji...
0 Reactions
24 Replies
878 Views
P.L.O. Lumumba ni profesa wa Kenya anayejulikana kwa maoni yake makali kuhusu masuala ya kisiasa. Katika mazungumzo kuhusu vita vya Israeli na Wapalestina, anasisitiza mengi muhimu kwa mataifa...
1 Reactions
2 Replies
492 Views
Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel limefanya shambulizi Jirani na ubalozi wa Iran uliopo Damascus Syria na kumuua Jenerali Mohammad Reza Fallahzadeh ambaye ni naibu kamanda kikosi cha Quds...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Hizibolla bhana! Kile kipindi wakati Israel akishughurikia ipasavyo vile vigaidi vya Gaza, Hizibolla nayo ikiendelea kufanya opereshen kwenye bahari ikipiga na kulipua kila meri iliyotaka...
11 Reactions
37 Replies
2K Views
Ujerumani itasambaza silaha zaidi kwa Israeli hivi karibuni, Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz anasema, baada ya kupungua kwa kiasi kikubwa cha silaha mwaka huu na kusababisha shutuma za upinzani...
4 Reactions
50 Replies
2K Views
Wayahudi wameokoka na Kuponea : Washindi Waashuru (722 KK) Washindi wa Babiloni (586 KK) Washindi wa Kirumi (70 BK) Uhamisho kutoka nchi yetu (70 CE - 1948) ⁠Karne za uraia wa daraja la pili...
8 Reactions
79 Replies
2K Views
Hii ni ETHIOPIA, wanaongoza kwa kupata treni ya kisasa mapema, ndege nyingi, barabara za juu kwa juu, nk ktk Africa Mashariki. Lakini najiuliza kwanini Waethiopia wanaongoza kwa kukimbia nchi yao...
16 Reactions
172 Replies
7K Views
Kwa mujibu wa gazeti la Haretz la nchini israeli lafichua hali ya kushangaza kuwa baadhi ya vikosi kadhaa vya IDF huko GAZA vilivyohudumu kwa takriban mwaka sasa vyasaini barua ya kutaka kugomea...
2 Reactions
22 Replies
774 Views
Hezbollah imeripoti kuwa imefanikiwa kubamiza vituo muhimu vya kijeshi vya Israel, ikiwa ni pamoja na makao makuu ya upelelezi ya Mossad na kambi muhimu ya IDF, wakati wa mgogoro unaoendelea...
25 Reactions
188 Replies
8K Views
Nimekuwa nikiona baadhi ya wanaJamiiForums wakiita hayo makundi ya wanamgambo kuwa ni magaidi. Je, wale ni Magaidi kweli?Je wanapigana kwa sababu gani? Na kwanini wanaipigania Palestina? Je...
6 Reactions
44 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Magaidi watano wenye uraia wa Israel na asili ya kiarabu wamenaswa wakipanga kulipua majengo makubwa zaidi ya kibiashara jijini Tel Aviv Yasemekana mpango huo...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Rubani huyo (İlçehin Pehlivan, 59) wa Ndege ya Shirika la Turkish Airlines Jetliner iliyokuwa ikItoka Seattle Marekani kwenda Istanbul ameripotiwa kufariki wakati akipewa huduma ya kwanza kabla ya...
9 Reactions
70 Replies
5K Views
October 11, 2024 LATEST UPDATES ON WAFIW SAFA CONDITION FOLLOWING IDF AIRSTRIKE IN BEIRUT Report: Hezbollah official Wafiq Safa in critical condition after airstrike in Beirut Today, 1:55 pm...
0 Reactions
6 Replies
625 Views
Wadau hamjamboni nyote? Muhammad Abdullah Kiongozi Mkuu Islamic jihad ameuawa na shambulizi la ndege za Israel Mtangulizi wake Muhhamad Jabber aliuawa hivyohivyo mwezi agosti Taarifa kamili...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakuu, Kuna hii clip ya Kamala Harris inatembea sana huko kwenye mtandao wa X na Republicans wanaishare kwenye akaunti zao. Jana Harris alikuwa anafanya Town Hall. Town Hall ni kipindi cha...
0 Reactions
1 Replies
453 Views
Picha linaanza kwa ndege kunusa hatari! Mpe Mungu maua yake! Angalia urefu wa hilo wimbi! Mpe Mungu maua yake! Kisha mwamba Milton akatua! Mpe Mungu maua yake! https://twitter.com/home...
11 Reactions
72 Replies
4K Views
China na nchi za Afrika zinaendelea kufurahia ushirikiano na urafiki wao wa kudumu ambao uliwekewa jiwe la msingi na mwasisi wa China Mwenyekiti Mao Zedong na viongozi wengine waasisi wa Afrika...
1 Reactions
5 Replies
520 Views
Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la IDF limeendeleza zoezi la kuangamiza makamanda waandamizi wa kundi la magaidi ya Hezbollah Muhammad Ali Hamdan Kamanda mwandamizi aliongoza kikosi cha anti- tank...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom