Wadau hamjamboni nyote?
IDF imesema kuwa imewakamata wapiganaji watatu wa kundi la Hezbollah wakati wa operesheni zake kusini mwa Lebanon.
Wapiganaji hao watatu wa kikosi cha Radwan walipatikana...
BREAKING NEWS 🚨
Iran's nuclear sites under massive cyber-attack.
Almost all services of the Iranian Government have been disrupted.
Important information has also been stolen as a result. Iran's...
Picha: Rais wa Rwanda, Paul Kagame
Rais wa Rwanda, Paul Kagame amefanya mabadiliko hayo makubwa pasipo kuweka kwa sababu ya kuchukua maamuzi hayo yaliyohusisha Mkuu wa Jeshi na Waziri wa Ulinzi...
Au Dunia iko mtegoni ilikuyafikia yaliyosikika kabla, yasioonekana ambayo hayana budi kutokea na na kuipata Dunia? Namaanisha USA! Nawaza kuhusu Hilary nakumbuka Winnie Nov 4!
Wadau hamjamboni nyote?
Israel imeamua na haipoi
Kuanzia saa 2:30 usiku huu Waziri Mkuu Benjamin Netanyau ataongoza kikao maalumu cha baraza la mawaziri kujadili maandalizi ya kujibu shambulizi...
Inakuwaje ndani ya nchi moja wao kuwa na kauli ya "nchi yetu" wakati nchi ni China.
Na hii hata hapa Tanzania wenzetu hawa Wazanzibari na kauli zao za kusema "nchi yetu" inakera sana!
Kwa hiyo...
Kwa hizi akili za Kim Jong Un na namna ambavyo anahangaika kutafuta vita na the Western world ni dhahir kuwa nchi imemshinda na tusipokaa vizuri mjinga huyu atatupeleka kwenye WWIII
Kwanza Kim...
Wadau hamjamboni nyote?
Shughuli inaendelea huko Lebanon
Gaidi anaswa live chini ya ardhi huko Lebanon, apelekwa sehemu maalumu kwa ajili ya mahojiano
Mungu ibariki Israel
Taarifa zaidi kwa...
Kwanza naanza kwa kuwapa pole Iran kwa kile kitakacho wajia hivi karibuni.
Pili nataka kujua sababu iliyopelekea vita vya wenyewe kwa wenyewe za wazungu kuitwa vita kuu za dunia wakati vita za...
Guterres asema shambulizi la jeshi la Israel dhidi ya kikosi cha muda cha UM nchini Lebanon linaweza kuwa uhalifu wa vita.
Msemaji wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres tarehe...
Nigeria, nchi tajiri kwa mafuta na gesi barani Afrika, imetangaza pia kuwa itaanza kuuza mafuta ghafi kwa sarafu ya ndani badala ya dola ya Marekani, ambayo bado inatumika sana katika biashara za...
Sisi waafrika tumelaaniwa na sidhani kama Mwenyezi Mungu alituumba na akili sawasawa.
Ona Paul Kagame anavyotumiwa na nchi za Magahribi kuiba na kuua wacongo.
Ninavyojua mimi wanamtumia ti...
Wanaukumbi.
⚡️Vyombo vya habari vya Kiebrania:
Hillel Bitton Rosen: Ndani ya bomba la maji taka-hivi ndivyo askari wetu walivyoonekana leo, mara mbili, wakati wa operesheni za kengele katika...
Mfumo wa Arrow 1,2,3 na Iron dome kushindwa kuzuia makombora ya Ballistic ya Iran kwenye anga la Israel na mwishowe baadhi kupenya na kufikia ardhi ya Israel kamati ya vita ya IDF ilikubalina na...
Wadau hamjamboni nyote?
Netanyau atembelea kambi ya Jeshi la Israel huko milima ya Golan. Ni kambi ile ilotandikwa Kwa drone za Hezbollah na kuleta maafa Kwa Jeshi la Israel.
Netanyau amesema...
Wadau hamjamboni nyote? IDF inaendelea na majukumu yake bila kupoa
MUHAMMAD KAMEI NAIM Kamanda Mkuu kitengo cha makombora ya kulipua vifaru cha Hezbollah ameliwa kichwa muda mfupi uliopita
Mungu...
Hezbollah wamefanya shambulio la drone kutokea Lebanon na kupiga kambi ya jeshi ya Golan Brigade Base katika Jiji la Haifa ambapo wanajeshi zaidi ya 40 wamejeruhiwa na wengi wakiwa kwenye hali...
Libya kama kawaida yao, wamewalaza wachezaji wa timu ya taifa, Nigeria Uwanja wa Ndege kwa zaidi ya saa 12 bila chakula wala vinywaji, wakaona haitoshi wamewapa Hiace (basi dogo) kuchukua timu...
Utafiti mpya uliofanywa na Chuo Kikuu cha Queen’s, Belfast, umebaini kuwa nchini Uingereza, idadi ya watu wasioamini uwepo wa Mungu imezidi wale wanaoamini.
Matokeo haya yanatokana na utafiti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.