International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

leo ndio mtambo wa ulinzi wa anga wa THAAD unaanza kufanya kazi Israel. Huku kundi la Hezbollah wakijibu kauli ya msemaji wa Idf aliyesema watashambulia benki na mali zinazohusiana na...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Sifichi, ile mara ya kwanza nasikia kuwa Iran kamshambulia Israel nilibisha sana na kuapa kabisa kuwa kamwe hawezi. Hana ujanja huo. Nilipotembelea vyombo vyA habari kujiridhisha na kukuta ni...
18 Reactions
73 Replies
4K Views
Naona mkakati wa NATO unafanikiwa sana. Kumdhoofisha Putin. Sasa imenyesha paananza kuonekana panapovuja.
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Marekani inachunguza uvujaji wa taarifa za siri za kijasusi kuhusu mipango ya Israel ya kulipiza kisasi dhidi ya Iran, kulingana na watu watatu wanaofahamu suala hilo. Mmoja wa watu hao...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimeisikiliza mara mbilimbili hii Clip, imenifikirisha Sana. Imenifikirisha kwa kuwa hivi karibuni aliyekuwa Rais wa Iran, Mahmoud Ahmedinejad, alisema kuwa, kuna wakati walianzisha kitengo Cha...
8 Reactions
12 Replies
1K Views
Kisa cha kwanza. May 20, 1948 UN ilimteua Count Folke Bernadotte kuwa mpatanishi mkuu katika mgogoro wa Israel na Palestina. Mapendekezo ya Count Folke Bernadotte 1. Kurejesha wakimbizi wa...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Chanzo cha picha,EPA Maelezo ya picha,Viongozi wa Hamas watakutana tena kumchagua mrithi wa Yahya Sinwar Maafisa wawili wa Hamas wameambia BBC kwamba majadiliano ya kumchagua mrithi wa kiongozi...
1 Reactions
1 Replies
456 Views
Mfalme wa Udachi (Netherlands) ameomba radhi kutokana na nchi hiyo kupata faida kubwa iliyotokana na biashara ya kuuza watu mnamo karne ya 17. Katika hotuba yake kwa taifa kuadhimisha miaka 160...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa tovuti mbali mbali za kimataifa zimesema kuwa kuna uwezekano wa Israel KUISHAMBULIA IRAN leo usiku kama Kujibu shambulio la Iran la apo juzi. Inasemekana Israel tayari umeanza...
6 Reactions
72 Replies
6K Views
Ukisoma Biblia, kuna miungu mingi ilijitokeza akina Baal/Hadad/dagon, wote hawa nia yao siku zote ilikua kufuta Wayahudi, historia yote imejaa aina ya miungu yenye chuki na hasira dhidi ya...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Naam Silaha za kutosha zimepelekwa Israel na Iran Israel yuko na USA, UK, Italy na Germany Iran yuko na Russia, China na North Korea Africa tutapaswa kuchagua upande Ahsanteni sana πŸ˜„
6 Reactions
35 Replies
1K Views
Wanaukumbi. πŸ‡°πŸ‡΅ πŸ‡·πŸ‡Ί Korea Kaskazini kutuma wanajeshi Ukraine kupigana pamoja na Urusi. Mkataba wa ulinzi uliotiwa saini kati ya Urusi na Korea Kaskazini mnamo Juni 19, 2024, unajumuisha kifungu...
12 Reactions
76 Replies
4K Views
Siku ya Leo jeshi la Israel lashambuliwa makao makuu ya ujasusi ya Hezbollah ya ujasusi, pia sehemuilikuwa ina sehemu ya kutengenezea mabomu chini ya ardhi. Jeshi la Israel limesema limefanya...
0 Reactions
5 Replies
731 Views
Ayatollah Khomen anasema Israel wana ota kama wanaweza kumshinda vita Hezbullah. Anasema Hezbullah haihitaji msada wa Iran, silaha alizo nazo ni nyingi sana. Israel amekadiria vibaya sana hawezi...
8 Reactions
47 Replies
3K Views
News alert IDF yafanya shambulizi kubwa Beirut, yalipua makao makuu ya Hezbollah, karakana ya kuunda silaha chini ya ardhi, yaua makamanda waandamizi 3 Wadau hamjamboni nyote? Jeshi la Israel...
10 Reactions
33 Replies
2K Views
Ndani ya wiki moja tumeshuhudia makombola ya Hezbollah yakitwanga kambi ya jeshi ya Israel na kusababisha vifo vya wanajeshi kadhaa na majeruhi wengi. Leo kumeripotiwa shambolio jingine...
8 Reactions
90 Replies
3K Views
Hii ni kwa ajili ya kupambana na magaidi wa Houthi wenye mlengo wa uislamu. Japo sijajua imekaa vipi maana huko Somaliland si ndio wale wale ambao wameathirika na uzombi pia...
12 Reactions
118 Replies
4K Views
Wakuu, Kuna hii video inasambaa. Baada ya taarifa kutapaka mitandaoni kwamba nyumba ya Benjamin Netanyahu imeshambuliwa na drone kutoka kwa Hezbollah na kusababisha wengi kuhoji usalama wa...
10 Reactions
54 Replies
5K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kikao kizito cha baraza la mawaziri kufanyika saa 1:30 usiku huu huko Kirya makao makuu ya Jeshi Tel Aviv. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: ======== October 20...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Esmail Qaani ni kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) la Iran, hasa tawi la Vikosi vya Quds, ambalo linahusika na operesheni za kijeshi nje ya Iran. Aliteuliwa kuwa kamanda...
10 Reactions
26 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…