International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Tangu vita vianze hakuna hata nchi moja ambayo imetoa maneno ya kuikemea Israel kikamilifu au kutaja matendo yao kuwa ni haramu. Badala yake utasikia maneno kama ilichofanya Israel huko Gaza...
3 Reactions
84 Replies
5K Views
jeshi la israel waingia mitaa ya Gaza kusaidia wenye njaa misaada na pesa za umoja wa mataifa inaishia kwa magaidi na family zao raia wanaopinga hufyatuliwa Misaada ya umoja wa mataifa inaingia...
2 Reactions
40 Replies
16K Views
Mbunge Lidia Thorpe wa Australia ametolewa nje ya Bunge la Nchi hiyo baada ya kupiga kelele na kumfokea Mfalme wa Uingereza, Charles III alipolitembelea Bunge hilo jana Jumatatu. Thorpe...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Baada ya ngome kadhaa za kijeshi za Israel kutandikwa na makombora ya balistiki ya Iran, Israel imefanya uchunguzi na kukamata raia wake saba waliofanya ujasusi kwa ajili ya Iran ktk maeneo nyeti...
6 Reactions
27 Replies
5K Views
Ukraine na Palestina wote wako katika vita vya muda mrefu dhidi ya mataifa makubwa yenye nguvu na yanayopigana vita kwa ukatili mkubwa sana. Kati ya hawa wawili nani angalau ana ishara ya...
2 Reactions
11 Replies
655 Views
Nilipoliona hili swali nilitatizika Sana. Kwamba Kila wakati Palestina wanaosaidiwa kupata chakula na maji, lakini fedha za kununua roketi za kuishambulia Israeli wanazo.
21 Reactions
62 Replies
23K Views
Rais wa zamani wa Peru mwenye umri wa miaka 78, Alejandro Toledo amehuhukumiwa hapo jana miaka 20 na miezi sita jela kwa kosa la kula rushwa. Hukumu hiyo ni kutokana na kashfa ya ufisadi...
0 Reactions
3 Replies
962 Views
Chaguzi hushindwa kwa kuwavutia wapiga kura: Chaguzi hazishidwi kwa shinikizo au wizi: Kuna ya kujifunza hapa kama tuna macho lau masikio!
5 Reactions
71 Replies
4K Views
Unaweza kushangaa kwa nini taarifa za askari wa Korea ya Kaskazini kuhusika kwenye vita upande wa urusi zimemshtua sana Korea ya kusini!! po hivi : Kama korea ya kaskazini inamsaidia urusi maana...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Ama kweli mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu, Yahya Sinwar na familia yake walikuwa wakiishi chini kwenye mahandaki maisha ghali kwa kufuja pesa na misaada ya umoja wa kimataifa huku...
18 Reactions
94 Replies
10K Views
Khalid bin Walid, maarufu kama "Upanga wa Mwenyezi Mungu," alijulikana kwa ushujaa wake katika vita. Alipigana vita zaidi ya mia moja na hakuwahi kushindwa. Lakini licha ya umahiri wake vitani...
11 Reactions
81 Replies
18K Views
Haya mambo ya dini haya aisee noma sana. Hapa hata uwe mpagani aisee huwezi sema anae sababisha Yuko sahihi. A Palestinian girl from #Gaza carried her injured sister on her back, barefoot, to...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari ya wakati huu nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano🖐️🖐️🖐️, Isee kwa wale mnaofuatilia au kufahamu maswala ya kijeshi kuna jambo huwa naliona ama kulisikia linanichanganya nisijue...
6 Reactions
53 Replies
5K Views
Amani ya Bwana iwe nanyi. Tilionea Elon Musk alikusudia kutuletea intaneti ya bei rahisi ya setilaiti. Nimemfuatilia huyu Bwana licha ya wema wake ni kama mafia sana na anaingilia hadi mambo ya...
15 Reactions
67 Replies
3K Views
ZAMBIA: Rais Hakainde Hichilema amewafuta kazi Majaji watatu ambao awali aliwasimamisha kazi kwa madai ya Kukiuka Maadili ya Mahakama, hali iliyoibua shutuma kuwa Rais anaingilia Kisiasa kwenye...
1 Reactions
2 Replies
977 Views
Ulaya magharibi hawana ujanja!! Wamejikuta wanalazimishwa na mazingira kutawaliwa na Marekani!! Hawana maamuzi yanayozingatia maslahi yao tu, bali wanalazimika kutekeleza sera zenye maslahi kwa...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
Waziri mkuu wa Israel hapana shaka ataingia kwenye rekodi za dunia kama mtu aliyeleta mateso makubwa si kwa wapalestina peke yao bali kwa dunia yote.Tayari ameshampiku Hitler na wengine waliotajwa...
6 Reactions
111 Replies
7K Views
Uvamizi wa Hamas wa October 7 ulikuwa ni kujipatia Mateka wa kutosha Ili baadae waweze kuswap na wafungwa wa kipalestina walioko kwenye Magereza ya Israel Lengo la Hamas lilifanikiwa kwani...
8 Reactions
68 Replies
21K Views
Mambo yanazidi kuwa moto kwenye baadhi ya mataifa. Matukio ya kuuwana yamendele kushika kasi sana Watu wenye silaha wamewaua watu saba waliokuwa wakifanya kazi kwenye mradi wa ujenzi wa handaki...
1 Reactions
5 Replies
384 Views
Israel iliwashikilia raia wake zaidi ya sita, akiwemo askari muasi wa jeshi,kwa tuhuma za kufanya ujasusi ndani ya israel kwa ajili ya Iran. Watuhumiwa hao walipiga picha kambi za jeshi, taarifa...
4 Reactions
12 Replies
26K Views
Back
Top Bottom