March, 19-2000. TV show THE SIMPSONS wali'release SEASON 11
S0 11, Episode ya 17 "BART TO THE FUTURE" ilionyesha RAIS mwanamke akiongoza USA 🇺🇸
Scenes zinaonesha characters waliopo sasa kina...
Lara Trump, mkwe Donald Trump na Mwenyekiti mwenza wa kamati kuu ya chama cha Republican kitaifa ameanza kwa kuibua mzozo baada ya kupendekeza ni wakati sasa kufuatia ushindi wa Republicans...
Makamu wa Rais wa Marekani ambaye alikuwa Mgombea Urais wa Marekani 2024 aliyeshindwa dhidi ya Rais Mteule Donald Trump, amempigia simu Trump na kumpongeza kwa ushindi kitendo kinachoashiria...
Hakuna vitu vilimuangusha mgombea wa chama cha Democrat Kamala Harris kama kutetea ushoga na kuhusishwa na uhuria wa mipaka iliyoruhusu wakimbizi kuingia Marekani akiwa makama wa rais wa Joe Biden...
Kuna kundi kubwa la Waafrika waliofurahia na kushangilia sana ushindi wa Trump, kila nikisikia au nikisoma sababu wanazozitoa kumuhusudu Trump naona kama mfumo wao wa umeme kichwani una hitilafu...
Wanajeshi wa Korea Kaskazini ambao wamejiunga na vita vya Ukraine kwa niaba ya Urusi wamepata uhuru wa kutumia intaneti isiyo na vikwazo kwa mara ya kwanza na kujikuta wakitumia uhuru huo kutazama...
Ni kwamba mifumo inavipa nguvu vyama vichache ili kurahisisha vetting, mifumo inachagua yupi atafaa zaidi kuongoza taifa, hii ni Demokrasia ya aina yao.
Kwa kifupi ni kwamba mifumo ya kiusalama...
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump (78), amesema hatarajii kugombea tena kwenye uchaguzi wa urais mwaka 2028 iwapo atashindwa katika uchaguzi wa Novemba 2024.
Akizungumza na Sinclair Media...
Wanaukumbi.
CNN imeripoti kwamba wanajeshi wa Israeli wanaorejea kutoka Gaza "wanakumbwa na kujiua."
Kuongezeka kwa viwango vya kujitoa mhanga miongoni mwa wanajeshi hao kunaonyesha hali mbaya...
Kilichopigiwa kura zaidi ni sera ya kuilinda Marekani, Sera za Democrats zimeiharibu sana Marekani,
Haya ni baadhi ya mambo waliyofanya Bidden na Haris kwenye awamu yao, Trump kashinda kwasababu...
Wanaukumbi.
Genocide Joe, Holocaust Harris, and Butcher Blinken
Their legacy?
A pointless proxy war in Ukraine that failed to defeat Russia🇷🇺, hundreds of thousands dead in a completely...
Uchaguzi duniani kote una Mbinu mbalimbali za Ushindi
Mbinu mojawapo ni kutumia Dola kubakia madarakani na Mbinu nyingine ni Chama tawala na Tume Huru ya uchaguzi kuchezea Data za Kiuchaguzi au...
Uchaguzi wa Marekani wa mwaka 2016 kati ya Hilary Cliton na Trump, Hilary alibwagwa.
Mwaka huu 2024 uchaguzi kati ya Trumph na Kamala Haris, Kamala kabwagwa.
Ni wazi kabisa kuwa wamarekani bado...
Siyo siri kwa sasa. Inaelekea Vita ya Ukraine haiungwi mkono na wamarekani. Na Trump aliahidi kuimaliza vita hii ndani ya siku moja kwa kukata misaada yote ya kivita kwa Ukraine.
Trump mara kwa...
Kinyang'anyiro cha mbio za urais huko Marekani kimeshika kasi, na upepo wa kisiasa ukibadilika karibu kila wiki. Na sasa habari kubwa ni kuhusu Kamala Harris kuanza kuuvuta upepo wa kisiasa...
Waziri wa mambo ya nje wa Irian Bwana Esmaeil Baghaei, leo Jumatatu amesema Tehran itatumia silaha zozote kushambulia Israel mwishoni mwa wiki hii, kutokana na mashambulio waliyoyafanya kwa Iran...
Bwana Trump ana viporo vingi mahakamani.
Je nini kitatokea kama bwana Trump ataenda jela?
Nani atakuwa rais? Au watamsubiri mpaka amalize hukumu kwanza au vipi, au nchi itabidi irudie uchaguzi...
Wamarekani ni wabaguzi sana hasa hawa weupe wanaojiona ndo binadamu, si ajabu ndo mana wamarekani weusi wanabaguliwa mpaka Dunia ya Leo ya mwangaza.
Wamempiga chini Kamala kwa sababu ya uanamke...
Wakuu hali imekuwa tofauti kabisa na matarajio ya wengi. Madikteta kutoka nchi nyingi ikiwemo Tanzania hawajafurahishwa na ushindi wa D Trump.
Wakati wa utawala wa awamu ya kwanza uliomalizika...
He has been restored on the ballot for president in the state after the court rejected claims he was accountable for the Capitol riots in 2021.
On his social media platform after the ruling...