Donald Trump (78) ndiye rais mteule wa Marekani baada ya kuibuka mshindi kwenye uchaguzi ulifanyika Jumanne ya Novemba 5 mwaka huu nchini humo
Kabla ya ushindi wake mwamba huyo Trump alikuwa...
Haya ndiyo yanayomsibu Natenyahu huko Israel.
Zipo gharama za kulipa kwa kutokuwasikiliza wananchi ambapo madaraka ni dhamana tu.
Wenye nchi wananchi.
Mara zote wasio busara hukumbuka...
Wadau hamjamboni nyote?
Haiishi Hadi iishe mayahudi wamechefukwa na wameamua kufanya kweli
Muda mfupi uliopita wameshambulia na kuteketeza Msafara wa magari ya kijeshi uliobeba silaha kuelekea...
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa siku ya Jumatatu imedokeza kuwa mitandao ya kihalifu kote Kusini Mashariki mwa Asia inategemea zaidi app ya ujumbe wa Telegram kwa ajili ya kutekeleza...
Channel 12 waachia habari kuhusiana na ushujaa wa wapiganaji watatu wa hizbullah dhidi ya kikosi cha idf huko AItaroun.
Kituo cha radio cha IDF kimetoa habari siku ya jana ijumaa kuonyesha...
Sera ya MAREKANI ni ileile.
1) Ulinzi wa Israel
2) Ulinzi wa western Europe
3) NATO
4) Middle East
5) Far East
Kila kiongozi wa MAREKANI anahakikisha anatimiza hizo Sera.
Wanatofautiana...
Zenón Avomo ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) akichukua nafasi ya Baltasar Engonga, aliyeng’olewa kufuatia kashfa ya ukiukaji wa maadili...
Rais anachaguliwa kwenye kura na kwa hali ilivyo computer zinazotumika kupiha kura zimeonyesha kuwa na hirilafu inayompa kura nyingi zaidi Kamala, uwezekano mkubwa zaidi Kamala Harris awe rais wa...
Sijawahi kuona Rais wa USA duni kama huyu.
Mfumo wa USA, Biden angemaliza kipindi chake vizuri tu.
Afya ya Biden haina tatizo lolote
Ila toka yule Obama abahatike kuwa Rais basi anajiona ndio...
aljazeeraenglish
The fact that the cumulative weight of bombs dropped on #Gaza exceeds that of those dropped during World War II is “extraordinary”, Will Hutton, political economist and...
Vurugu baada ya uchaguzi nchini Msumbiji zimeibuka. Tayari watu 18 wameuawa.
Tuchukue tahadhari kwenye mipaka (Mtambaswala) yetu na hawa jamaa.
Mshindi wa Tume (FRELIMO) kajifungia ndani...
Katika mahojiano yake ya kwanza tangu alipate ushindi wake, rais mteule Donald Trump alisema "hakuna bei" kwa mipango yake ya kufukuzwa nchini. Akizungumza na NBC News jana, alisema:
Kipaumbele...
Mdahalo huu mkubwa sana na Unaosubiriwa na Watu wenye Akili Kubwa (tulio na Akili zilizotukuka) utaanza Saa 10 Kamili Alfajiri (Kesho Jumatano) na kumalizika Saa 11 na Nusu.
Haya mtaarifu na...
Waajemi wasitumie nguvu kubwa sana wakati wa kuidhibu Israel ambayo ni dhaifu sana imetepeta vibaya makombora ya Hizbollah yameiharibu kabisa na mifumo yao ya ulinzi imeparalaizi haina uwezo wa...
Idadi kamili ya kura kwa wgombea wa Democrat, kulingana na Wikipedia ni kama ifuatavyo:
2008: Obama alipata kura milioni 69
2012: Obama alipata kura milioni 65
2016: Hillary alipata kura milioni...
Live Updates ya majibu ya kura kati ya Trump na Kamala
Rasmi Fox News yatangaza kuwa Donald Trump ameshinda Urais wa Marekani dhidi ya Kamala Harris
Kulingana na kituo cha habari NBC, Donald...
Wakuu,
Serikali ya Zimbabwe imetangaza kwamba Admins wa makundi ya WhatsApp yanayofanya kazi ndani ya mipaka ya nchi hiyo sasa wanatakiwa kusajili na kupata leseni kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti...
Mikwala Miiiiiiiiiingi kama Russia.
Nakumbuka zamani mtu anatishia kupigana huku akivua shati na kutema mate chini halafu harushi hata ngumi moja.
Samaleko ndugu zangu wavaa kobasi na suruali za...
Habarini wakuu.
Nisaidie wakuu, yawezekana mkawa na majibu ya kueleweka kuhusu hili linaloendelea .
Serikali ya Guinea ilikuwa na makusudi gani kuachia hizi video 400 za ngono?
Kwa Nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.