Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (IAEO), Ali Akbar Salehi, amesema shehena ya tani 32 za maji mazito inatazamiwa kusafirishwa kupelekwa nchini Marekani katika wiki zijazo.
Hata hivyo...
Hili jamaa linakera sana. Utadhani yeye sasa ndio rais mteuliwa siyo Trump tena.
Alizidisha sana kujipendekeza kila sehemu Trump yupo naye yupo.
Katika teuzi za watu yeye kimbelembele.
Sasa...
Wadau hamjamboni nyote?
Magaidi yameanza kurudi lakini IDF haipoi na haijaribiwi
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
The Israel Defense Forces said Sunday that a military raid, completed...
Influence is not about climbing the corporate ladder; it's about climbing into the hearts of those around you. When you earn the right to be heard, you'll be amazed at the influence you can have...
Ripoti zinasema, tangu uvamizi wa Marekani nchini Afghanistan na Iraq uliotokea baada ya Shambulio la September 11:
1. Zaidi ya askari 30,000 walioshiriki uvamizi huo wamejiua. Hii ni mara nne...
Akizungumza katika Televisheni ya Taifa, Rais Vladimir Putin ameitaja ajali ya Ndege hiyo kuwa mbaya na imeua Watu 10 ambao ni Wafanyakazi wa Jeshi Binafsi la Wagner akiwemo Kiongozi wake, Yevgeny...
Wanajeshi wa Uingereza wanaacha kazi ya jeshi bila sababu za msingi,licha ya mshahara mzuri wanaolipwa,sababu. Ni Nini?
UK soldiers quit in thousands despite Labour's pay rise
Soldiers are...
Ndege binafsi za Viongozi mashuhuri zaidi Duniani!
Sio siri kwamba viongozi mashuhuri zaidi duniani huwa wakisafirishwa kwa ndege maalumu sana. Wengine humiliki moja tu, wakati wengine wana...
Waziri wa ulinzi Israel Katz, IDF kuanzaasa kuwashughulikia moja kwa moja ua Viongozi wakuu wa magaidi wa kihouthi Yemen popote walipo kama ilivyofanya kwa Sinwar, Haniyeh na Nasrallah
Wadau...
Majasusi wa Urusi wamebaini mpango wa siri unaosukwa na mataifa ya Magharibi yanayopanga ku "freez" mzozo kwa a fake "cease fire deal"na kisha kutumia muda huo kisha kupeleka majeshi yake ya...
Elon Musk anataka SpaceX kuongeza majaribio ya kurusha roketi ya Starship kutoka mala 5, 2024 hadi 25 kwa mwaka 2025. Hata hivyo mpango huo wa kuongeza hiyo idadi unahitaji idhini ya FAA.FAA...
Historia ya Marekani ilianza kwa raia walioondoka Ulaya hasa Uingereza kuanzia karne ya 16 kwa sababu mbalimbali lakini kubwa zaidi zikiwa ni mbili, fursa za uchumi na mkandamizo wa dini...
Wadau hamjamboni nyote?
Msako wa magaidi ya Hamas unaendelea huko Gaza
Hospital husika ilianza kutumika upya kuwa makao ya magaidi ya Hamas hivyo IDF baada ya kupata taarifa za kiinteligensia...
Kama video inavyoonekana hamas akimshambulia kwa kisu mwanajeshi wa Israel na jinsi mwanajeshi alivyo react kwa bunduki
Swali kubwa na lengo la thread hii je Ni Sawa Kwa Mwanajeshi mwenye mafunzo...
Takriban watu 167 wamefariki dunia baada ya ndege moja iliyokuwa imebeba abiria 181 na wafanyakazi 6 kuacha njia ya kurukia (runway) na kubomoa ukuta katika uwanja wa ndege nchini Korea Kusini...
Kwa uovu na ujahili unaoufanya kwa wapalestina,fimbo ya Mungu inakusuburi,utakufa vibaya na kaburi lako halitajaa mchanga,unaua watoto,wazee,waandishi wa habari,modokta,manesi,wanawake wenye...
Kwa wale wenye ndoto kwamba Uchumi wa MAREKANI utaanguka watasubiri Sana
Projection bado Zinatabiri Bado USA itakuwa na Uchumi mkubwa duniani. Uchumi wa marekani mwaka 2075 utakuwa 56 trillion...
Kwa wale msiojua Rais wa Turkey Recep Tayyip Erdoğan ni Islamist kindakindaki.
Kwa sasa Rais huyo kupitia chama chake cha Adalet ve Kalkınma Partisi, (AK Parti) ni muumini mkubwa wa Muslim...
Napenda Kuuliza Tumezoea kuona Taasisi kubwa Duniani zikiwa na uongozi kamili kuanzia Ngazi ya juu hadi ngazi ya Mwisho leo napenda kuuliza je Ni nani Mwenyekiti wa Umoja wa Mataifa
Maana...
Rais Mteule Donald Trump, ametoa wito kwa Mahakama ya Juu kuchelewesha uamuzi wa kuufungia Mtandao wa Tiktok unaomilikiwa na kampuni ya ByteDance ya China, hadi atakapoingia rasmi madarakani na...