International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Elon Musk anataka SpaceX kuongeza majaribio ya kurusha roketi ya Starship kutoka mala 5, 2024 hadi 25 kwa mwaka 2025. Hata hivyo mpango huo wa kuongeza hiyo idadi unahitaji idhini ya FAA.FAA...
1 Reactions
1 Replies
437 Views
Historia ya Marekani ilianza kwa raia walioondoka Ulaya hasa Uingereza kuanzia karne ya 16 kwa sababu mbalimbali lakini kubwa zaidi zikiwa ni mbili, fursa za uchumi na mkandamizo wa dini...
8 Reactions
31 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Msako wa magaidi ya Hamas unaendelea huko Gaza Hospital husika ilianza kutumika upya kuwa makao ya magaidi ya Hamas hivyo IDF baada ya kupata taarifa za kiinteligensia...
14 Reactions
46 Replies
2K Views
Kama video inavyoonekana hamas akimshambulia kwa kisu mwanajeshi wa Israel na jinsi mwanajeshi alivyo react kwa bunduki Swali kubwa na lengo la thread hii je Ni Sawa Kwa Mwanajeshi mwenye mafunzo...
12 Reactions
132 Replies
5K Views
Takriban watu 167 wamefariki dunia baada ya ndege moja iliyokuwa imebeba abiria 181 na wafanyakazi 6 kuacha njia ya kurukia (runway) na kubomoa ukuta katika uwanja wa ndege nchini Korea Kusini...
9 Reactions
105 Replies
6K Views
Kwa uovu na ujahili unaoufanya kwa wapalestina,fimbo ya Mungu inakusuburi,utakufa vibaya na kaburi lako halitajaa mchanga,unaua watoto,wazee,waandishi wa habari,modokta,manesi,wanawake wenye...
18 Reactions
178 Replies
5K Views
Kwa wale wenye ndoto kwamba Uchumi wa MAREKANI utaanguka watasubiri Sana Projection bado Zinatabiri Bado USA itakuwa na Uchumi mkubwa duniani. Uchumi wa marekani mwaka 2075 utakuwa 56 trillion...
13 Reactions
46 Replies
2K Views
Kwa wale msiojua Rais wa Turkey Recep Tayyip Erdoğan ni Islamist kindakindaki. Kwa sasa Rais huyo kupitia chama chake cha Adalet ve Kalkınma Partisi, (AK Parti) ni muumini mkubwa wa Muslim...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Napenda Kuuliza Tumezoea kuona Taasisi kubwa Duniani zikiwa na uongozi kamili kuanzia Ngazi ya juu hadi ngazi ya Mwisho leo napenda kuuliza je Ni nani Mwenyekiti wa Umoja wa Mataifa Maana...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Rais Mteule Donald Trump, ametoa wito kwa Mahakama ya Juu kuchelewesha uamuzi wa kuufungia Mtandao wa Tiktok unaomilikiwa na kampuni ya ByteDance ya China, hadi atakapoingia rasmi madarakani na...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Waandamanaji wamefanikiwa kuwafungulia wafungwa zaidi ya 6 000 na wametoroka na bunduki. Maandamano yalianza Jana baada ya mahakama kutangaza ushindi wa Chama tawala. Source: SABC
24 Reactions
107 Replies
6K Views
Kuna hoja ipo kuwa pale ilipo Israel kwa Sasa si Ardhi ya waisrael bali wapalestina. Binafsi nakubaliana na hoja hiyo. Lakini swali la kujiuliza ni kwamba, kama ilipo Israel kwa Sasa siyo nchi ya...
36 Reactions
317 Replies
104K Views
Rais wa Russia Vladimir Putin ameomba msamaha kutokana na ndege ya Shirika la Ndege la Azerbaijan kuanguka baada ya kuingia anga ya Russia huko Grozny, Chechnya siku ya Jumatano, lakini hakusema...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Tangu Oktoba 2024, vikosi vya IDF vilifanya kazi dhidi ya Hezbollah katika zaidi ya maeneo 30 kusini mwa Lebanon. Wanajeshi hao walitambua na kuharibu miundombinu ya magaidi, wakaondoa magaidi...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Wanaukumbi. ⚡️15 Israeli terrorists were eliminated by the resistance since the start of December according to Israeli announcements (the real number is more). =============== Magaidi 15 wa...
4 Reactions
50 Replies
2K Views
Hawa ndo wanajiandaa kuingia vitani na Israeli, wanataka tumia uzoefu wao wa kupambana na Saudi Arabia kuwasaidia Hamasi
10 Reactions
95 Replies
4K Views
Wadau hamjamboni nyote? Katika mahojiano na NPR inayosemekana kuwa kwa niaba ya kiongozi wa Syria Ahmed al-Sharaa, gavana wa Damascus anasema serikali mpya iliyotawazwa inataka kuwa na uhusiano...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Mmarekani na wachambuzi wake kwenye maonyesho ya SILAHA za Anga huko Uchina, walimnanga Mchina juu ya hiki Chuma, wakasema bado sanaaaa Sasa Mchina hatimaye kawa Nchi ya kwanza Duniani kufanya...
7 Reactions
38 Replies
3K Views
Sherehe za Krismasi Mwaka Huu Kwenye Baadhi ya Nchi za Kiarab ikiwemo watu wa Palestina
9 Reactions
76 Replies
3K Views
Africa is on the verge of a transformative period, fueled by technological advances in artificial intelligence (AI) and a renewed commitment to democratic government. As the continent works...
0 Reactions
0 Replies
583 Views
Back
Top Bottom