International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Baada ya kushindwa kujisafisha sasa wameamua kuisingizia Iran kuwa ndo inataka kumuua Trump [emoji631][emoji1130]#BREAKING: The US Received Intel of an Iranian Plot to Assassinate Donald Trump -...
5 Reactions
78 Replies
5K Views
Wabunge wa Marekani hivi karibuni walitoa miswada mitatu, ili “kupinga China katika suala la Fentanyl”. Kabla ya hapo, rais mteule wa Marekani Donald Trump alitishia kuwa baada ya kuwa...
0 Reactions
2 Replies
351 Views
Shirika la ndege la Azerbaijan Ndege yao imeanguka ikiwa na watu zaidi ya 70 nchini Kazakhstan. Ndege ya shirika la ndege ya Azerbaijan namba J2 - 8243, iliyokuwa ikisafiri kutoka Baku kwenda...
2 Reactions
7 Replies
861 Views
Marafiki zangu wapendwa Wakristo, mnapokusanyika pamoja na familia na marafiki zako Krismasi hii, ninawatakia jumuiya ya Wakristo katika Israeli na ulimwenguni kote baraka za Krismasi Njema kutoka...
15 Reactions
60 Replies
2K Views
Wabunge wa Marekani hivi karibuni walitoa miswada mitatu, ili “kupinga China katika suala la Fentanyl”. Kabla ya hapo, rais mteule wa Marekani Donald Trump alitishia kuwa baada ya kuwa madarakani...
1 Reactions
0 Replies
303 Views
Wanaukumbi. Yemen warned the settlers that Tel Aviv has been designated as an unsafe area and will be targeted by the Yemeni Armed Forces, they didn’t listen🤷🏻‍♂️ ========================= Yemen...
7 Reactions
87 Replies
4K Views
Hamjamboni nyote Suluhu pekee ya kuleta amani ya kudumu kwa taifa takatifu la Israel ni kuitandika Iran, Ben Ganz Waziri wa ulinzi Mstaafu Israel December 23, 2024 Gantz: Israel must target...
8 Reactions
54 Replies
3K Views
"Nilibakwa na majambazi wa Assad - lakini siogopi tena kuonyesha uso wangu". **************************************** https://www.bbc.com/news/articles/c89xgdyk597o
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Maandamano yameibuka nchini Syria kufuatia kuchomwa kwa mti wa Krismasi karibu na jiji la Hama. Video iliyochapishwa kwenye mitandao ya kijamii ilionyesha wapiganaji waliovaa barakoa wakichoma...
2 Reactions
13 Replies
993 Views
Mara ooh "mashoga", mara mashetani, mara illuminati ila wanapoeletewa shari na watu wa itikadi yao wenyewe tena wanakimbilia kule kwa mashoga kupata hifadhi zidi ya majanga na vifo wanavyoletewa...
2 Reactions
9 Replies
713 Views
Tangu October 7 2023 tumeshuhudia vurugu za kijeshi za Israeli kujibu unyama waliofanyiwa na Hamasi,idadi kubwa ya raia wakiuwawa na kuteseka kutokana na mapigano kati ya Israel na Hamas...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Iran sasa imeamua kutumia njia ya anga kupitia uwanja wa ndege wa Beirut kusafisha silaha nzito kwa washirika wao ambao ni magaidi ya Hezbollah Mazungumzo...
3 Reactions
73 Replies
3K Views
Wakati ambao Poland (wanaopinga kupokea uhamiaji holela) wana enjoy kwa amani maandalizi ya Christmas... Wao Ujerumani wanalipia kwa damu kutokana na huruma na msaada wao wenyewe. Huyu jamaa...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Huyu tapeli wa jihad anashindwa kuijenga Yemen alioibomoa ila hakosi pesa ya kurusha makombora kwenda Israel na meli zinazopita Red Sea. Hio yote inaonesha ni jinsi gani hawa watu walivyo wahanga...
16 Reactions
48 Replies
2K Views
Mwanamke mmoja aitwaye Althia Bryden kutoka London Nchini Uingereza ambaye alikua hawezi kuzungumza kwa miezi kadhaa kutokana na kupooza, ameripotiwa kuzinduka akiwa anazungumza lafudhi ya...
2 Reactions
5 Replies
577 Views
Wadau hamjamboni nyote? Mume wake aliuawa siku hiyo aliyotekwa. Mtoto wake alitekwa na kisha kuuawa Changamoto za kiafya alipata akiwa mateka zapelekea kifo chake Ameacha Watoto watatu na...
2 Reactions
6 Replies
802 Views
Wadau hamjamboni nyote? Nimeona niwawekee angalao picha yake mumfahamu Anezaliwa 22 May 1979 Nihayo kwaleo, niwatakie siku njema
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Hundreds of demonstrators have taken to the streets in Christian areas of Damascus to protest the burning of a Christmas tree near...
2 Reactions
8 Replies
886 Views
Amesema kuwa amechoka kupigana kwasababu zisizo na mbele wala nyuma, ameomba kuungwa mkono na Israel, Ulaya na Marekani. Huu ni ushindi mkubwa na ukombozi kwa makobazi. Chanzo: Adhuhuri Live (UTV).
9 Reactions
30 Replies
2K Views
Back
Top Bottom