International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameonya kuongeza ushuru kwa bidhaa za jumuiya ya Ulaya zinazoingia Marekani endapo jumuiya hiyo haitaongeza viwango vya mafuta na gesi inavyonunua kutoka...
1 Reactions
7 Replies
912 Views
Ndoa na talaka imekuwa biashara kubwa kwa wanawake nchini marekani, haimaanishi ukiolewa na tajiri ndio uondoke na mali zake punde mkiachana nataka nikomeshe tabia hii kwamba mkiachana kuna kiasi...
2 Reactions
12 Replies
723 Views
Ikiwa ni mwendelezo wake juu ya kupinga masuala ya wanaharakati wa LGBTQ+ amepiga marufuku bendera za upinde kuendelea kupepea. Amesema kwamba bendera ya taifa hilo inatosha kulinda haki zote za...
55 Reactions
122 Replies
5K Views
Kwa nini huyu Rais dikteta wa Burkina Faso Waafrika wanapenda kumpamba sana kwa taarifa za uongo na propaganda? Ana maajabu gani? Hapa wanasema alialikwa katika uapisho wa Trump akakataa!🤣
8 Reactions
72 Replies
4K Views
Vyombo vya habari vya kimataifa na wanaharakati wa haki za binadamu wameishutumu vikali Iraq kwa muswaada unaojadiliwa na bunge la nchi hiyo unaokusudia kushusha umri wa wanawake kuolewa kutoka...
6 Reactions
276 Replies
9K Views
Marekani kujiondoa WHO ni kama kete ya kuiachia mzigo wa gharama China inayotaka kujipanua kiuchumi duniani. Wakati marekani ina watu milioni 400 , China ina watu 1.5 bilioni lakini inachangia...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Waafrika dini zetu kuu ni 2, Uislam na Ukristo. Japo dini mbili hizi zinatofautiana ila misingi yake mikuu ni kuleta amani na upendo baina ya watu na si vingine. So kimsingi mifumo yetu ya...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Yani kila linalotokea huko Gaza, wao watakwambia Israel inajua inachokifanya. Waliposhambuliwa na kuuwawa zaidi ya raia wao elf 1 pamoja na wengine zaidi ya miamoja kutekwa, wapo waliosema 'eti...
13 Reactions
69 Replies
2K Views
Wanaukumbi. ⚡️🇾🇪BREAKING: Yemen itaachia meli ya Israel Galaxy Leader. Katika taarifa ya Ansarallah "Houthis" VP ya vyombo vya habari: “Kwa ombi la ndugu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Wenyewe wanaita the Commander-In-Chief inaugural ball
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Serikali ya Sudan Kusini imetoa agizo la kuzuia upatikanaji wa mitandao ya kijamii ikiwamo Facebook na Tiktok nchini humo kwa muda wa hadi miezi mitatu, huku ikitegemea udhibiti wa maudhui. Agizo...
0 Reactions
2 Replies
422 Views
Wadau hamjamboni nyote? Tumeshuhudia baadhi ya nchi duniani zikitoa matamko au misimamo yao kufuatia kifo cha aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hamas Yahys Sinwar. Kwa mfano Rais Joe Biden...
10 Reactions
63 Replies
16K Views
Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara Kuu ya Takwimu ya China zinaonesha kuwa, mwaka 2024 pato la Taifa la China lilikua kwa asilimia 5, na kufikia yuan trilioni 134.9, sawa na dola trilioni...
0 Reactions
0 Replies
503 Views
"Kwa sababu tu unaolewa na mtu tajiri haimaanishi kwamba unapaswa kupata nusu ya mali yake na hatimaye kuwa tajiri baada ya talaka. "Talaka imekuwa ni biashara yenye faida kubwa kwa wanawake...
34 Reactions
41 Replies
2K Views
Mamlaka ya Mawasiliano ya Sudan Kusini imepiga marufuku matumizi ya mitandao ya kijamii kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia Januari 22, 2025. Katazo hilo linafuatia kusambaa kwa picha za video...
0 Reactions
1 Replies
438 Views
Wadau hamjamboni nyote? Wahamiaji haramu hawana kinga tena wakijificha maeneo hayo kama ilivyokuwa zamani Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Guardian staff and agencies Wed 22 Jan 2025...
3 Reactions
8 Replies
996 Views
Rasmi, Rais Trump ameanza kuwaondoa Maafisa wa Pentagon waliopo Ukraine na wahusikao na misaada pia kwa Ukraine. Hiyo ni kwa mujibu wa Vyombo vya habari huko Kiev.
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Katika hali ya kustaajabisha leo wakati wa uapisho wa Raisi Trump matajiri watatu wakubwa zaidi marekani na dunia nzima, Elon Musk, Mark Zuckerberg, na Jeff Bezos na demu wake Sanchez, Boss wa...
14 Reactions
62 Replies
5K Views
Ujumbe ndio huo. https://youtu.be/13P5MJC41TA?si=_U25y5IajNMq_7xx https://youtube.com/shorts/tUU3xoc4lfo?si=wL7IHFe-eWhdeudq
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nchini Rwanda, wasichana sita na mwanaume mmoja wamekamatwa na Kitengo cha kuchunguza uhalifu - RIB kwa tuhuma za kuchapisha video za utupu mitandaoni. Video ya mrembo mmoja anayeitwa Kwizera...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom